1103. IGOGO LYAB’ULAGA NZILA.

Akahayile kenako, kahoyelile higulya ya b’ub’ulagi bho nzila bho ligogo. Iligogo linilo lililinti ilo lyalilyazwila bihi na nzila. Ilinti linilo ligagwa lyuyichib’a nzila iyo bhabhitilaga abhanhu kunguno ya bhutale bholyo mpaga bhushesha yingi. Hunagwene abhanhu bhagayomba giki, “igogo lyab’ulaga nzila.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agikalaga na nguzu ja gulemeja mihayo iyo idiyawiza, umukikalile kakwe. Umunhu ung’wunuyo agabhalemejaga abhana bhakwe agwikala na nhungwa ija bhubhi bho gubhalela mugwita mihayo ya wiza iyo idulile gubhambilija gwitogwa chiza kunguno ya bhutungilija bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe. Uweyi agayibhejaga chiza ikaya yakwe bho gwiyambilija chiza umubhutumami bho milimo yabho, kunguno ya bhunhana bhokwe bhunubho, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga niligogo ilo ligachib’a nzila aho lyagwa, mpaga abhanhu bhushesha nzila yingi iyagubhitila, kunguno nuweyi agayilemaga imihayo iyabhubhi bho gubhalanga nhungwa jawiza abhanhu bhakwe, mpaga bhapandika solobho ya gwikala chiza. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “igogo lyachib’a nzila.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya guleka nhungwa ja bhubhi bho gulidimila lililange lya wiza, kugiki bhadule gutumama milimo yabho bho gwiyambilija chiza umuwikaji bhobho.

Waroma 3:21 – 24.

Luka 3: 21 – 22.

Mhubiri 11:36.

Luka 3:16.

KISWAHILI: GOGO LIMEUA NJIA.

Msemo huo, huongelea juu ya uuaji wa njia wa gogo. Gogo hilo ni mti ulioota na kukua karibu na njia. Mti huo, ulianguka ukaiziba njia ile waliokuwa wakiipitia watu kwa sababu ya ukubwa wake huo mpaga ikawabidi kutengezeka njia nyingine ya kupitia. Ndiyo maana watu hao walisema kwamba, “gogo limeua njia.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana nguzo na uwezo wa kupinga maovu katika maisha yake. Mtu huyo, huwalea watoto wake katika maadili ya kukataa uovu kwa kutenda matendo wema uwasaidiayo kuishi maisha ya upendo kati yao, kwa sababu ya uaminifu wake huo, maishani mwake. Yeye huilea vyema familia yake kwa kuishi maisha ya kusaidiana vizuri katika kazi zao, kwa sababu ya kuyaishi kwake vizuri maadili hayo mema, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na lile gogo lililoziba njia baada ya kuanguka, kwa sababu naye huyakataa maovu kwa kuwafundisha watoto wake kutenda mema siku zote. Ndiyo maana watu humuita kwamba “gogo limeua njia.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kukataa uovu kwa kuyashikilia malezi ya kutenda wema, ili waweze kusaidiana vizuri katika kazi zao, maishani mwao.

Waroma 3:21 – 24.

Luka 3: 21 – 22.

Mhubiri 11:36.

Luka 3:16.

blockage-2751236__480

ENGLISH: A LOG KILLED A PATHWAY.

This saying talks about a road blocking of the log. This was the log which is a tree that grew near the path. Such tree fell and blocked the way which people were going through because of its size, so they had to make another way through. That is why those people said that, “a log killed a pathway.”

This saying is related to a person who has an ability to resist evil in his life. Such person raises his children in values ​​of rejecting evil by doing good deeds that help them to live a life of love among themselves, because of his honesty in his life. He brings up his family well by living a life of helping each other well in their daily works, because of his living those good values ​​well, in his life.

This person is like the log that blocked the way after falling, because he also rejects evil by teaching his children to do good all the time. That is why people call him “a log killed a pathway.”

This saying teaches people about rejecting evil by upholding the formation of doing good deeds, so that they can help each other well in their daily works.

Romans 3:21 – 24.

Luke 3: 21 – 22.

Ecclesiastes 11:36.

Luke 3:16.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.