1104. SAMA YA NGALU PA IJITUMAMILO UMU MUNDUKA, UWEYI USIMIZA BHO MAGULU.

Imbuki ya kahayile kenako, ilolile ubhusami bho mbula. Imbula yiniyo ulu lyushiga ilikanza lya goya gutula, amalunde gagandyaga guselema gayuja ng’weli.

Abhanhu ulubhugabhona amalunde genayo gagujaga ng’weli bhagamanaga iki imbula ilisama. Hunagwene bhagayombaga giki, “sama ya ngalu pa ijitumamilo umu munduka, uweyi usimiza bho magulu.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agadililaga jikolo jakwe bho gugulekanija umili gokwe, umukikalile kakwe kenako. Umunhu ng’uwunuyo, agikalaga na jizwalo jishilile na  jiliwa jigehu aha kaya yake, aliyo isabho alinajo, kunguno ya gudilila jikolo kulebha umili gokwe, umuwikaji bhokwe bhunubho. Uweyi agikalaga ukoya na nzala aha kaya bho jigugila isabho jakwe jiniyo, kunguno ya bhujidalonja bho mili gokwe bhunubho.

Umunhu ung’winuyo agikolaga nu ntuji ojitumamilo muloli uweyi oja bho gusimiza, kunguno nuweyi agadililaga jikolo jakwe bho gugulekanijia umili gokwe gunuyo, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “sama ya ngalu pa ijitumamilo umu munduka, uweyi usimiza bho magulu.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gujitumamila isabho jabho bho guidilila chiza imimili yabho, kugiki bhadule guyilang’hana chiza, umukikalile kabho.

Mathayo 24:32-35.

Ufunuo 14:14-16.

KISWAHILI: UHAMAMI WA MGALU KUJAZA VITENDEA KAZI VYAKE KWENYE GARI, YEYE KUTEMBEA KWA MIGUU.

Chanzo cha msemo huo, huangalia uhamaji wa mvua. Mvua hiyo ikifikia muda wake wa kuacha kunyesha, mawingu huanza kuelekea magharibi.

Watu wakiyaoana mawingu hayo yakielekea magharibi huelewa kwamba, mvua inahama. Ndiyo maana husema kwamba, “uhamaji wa mgalu kujaza vitendea kazi vyake kwenye gari, yeye kutembea kwa miguu.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwa haujali vizuri mwili wake, katika maisha yake. Mtu huyo, huvaa nguo zilizochakaa na hukosa chakula kwenye familia yake wakati mali anazo, kwa sababu ya kutokuujali vizuri mwili wake huo. Yeye husumbulia na tatizo la njaa kwenye familia yake hiyo kwa kutokuzitumia mali hizo kununua chakula, kwa sababu ya kutokuujali vizuri mwili wake huo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule muwekaji wa vitendea kazi vyake kwenye gari na yeye akitembea kwa miguu, maishani mwake, kwa sababu naye huvaa nguo zilizochakaa na kukosa chakula kwenye familia yake hiyo. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “uhamaji wa mgalu kujaza vitendea kazi vyake kwenye gari, yeye kutembea kwa miguu.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuzitumia mali zao kwa kuitunza vizuri miili yao, ili waweze kuilinda vizuri, maishani mwao.

Mathayo 24:32-35.

Ufunuo 14:14-16.

bottle-88156__480

fiat-500-4322521__480

man-6900166__480

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.