1105. JINUKA NKILA.

Akahayile kenako kahoyelile higulya ya jisumbwa ijo jigikilaga jigusija nkila gojo bho nduhu ugutumama imilimo. Yalihoyi Nva iyo ikalaga itula nkila bho nduhu nulu gumoka ulu yabhonaga ginhu josejose, kunguno ya bhobha bhoyo. Iyoyi yapelaga yagibhisa uluyukangwa na ginhu josejose mpaga abhinikili bhayo bhuyidalaha nose kunguno yalidina solobho yoseyose ukubhoyi. Hunagwene abhanhu bhenabho bhagiitana giki, “jinuka nkila.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo adalahilwe na bhiye kunguno ya bhugokolo bho kuleka gutumama milimo aha kaya yakwe. Umunhu ng’wunuyo, agikikalaga wigashije duhu kunguno ya bhugokolo bhokwe ubho kulema gutumama nimo gosegose umuwikaji bhokwe. Uweyi agikalaga ukoya na nzala bhuli makanza aha kaya yakwe kunguno ya bhujidatumama milimo bhokwe bhunubho umukikalile kakwe.

Umunhu ung’wunuyo agikolaga ni Nva iyo yalidatumamaga nimo gose jose, kunguno nuweyi alingokolo ugutumama imilimo aha kaya yakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, “Jinuka Nkila.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kuleka nhungwa ja bhugokolo bho guleka gutumama milimo bho gwigulambija guitumama chiza imilimo yabho yiniyo, kugiki bhadule gupandika jiliwa ja gubhambilija chiza umuwikaji bhobho.

 

KISWAHILI: KICHAPA MKIA.

Msemo huo huongelea juu ya kiumbe ambacho huwa kinachezea mkia wake bila kufanya kazi. Alikuwepo mbwa mmoja aliyekuwa akichezea mkia wake bila hata kubweka anapoona kitu chochote, kwa sababu ya uoga wake. Mbwa huyo alidharauliwa na wamiliki wake akionekana kuwa hana faida yoyote kwao kwa sababu ya uoga wake huo wa kukimbia kujificha kila anashitulilwa na kitu fulani. Ndiyo maana watu hao walimuita kuwa ni “kichapa mkia.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni mvivu wa kutokufanya kazi nyumbani kwake hali ambayo hupelekea kudharauliwa na wanafamilia wa hapo. Mtu huyo, hupendelea kukaa tu bila kufanya kazi kwa sababu ya uvivu wake huo wa kuogopa kufanya kazi yoyote katika maisha yake. Yeye husumbuliwa na tatizo la njaa kwa kwa sababu ya kukosa chakula hali ambayo husababishwa na tabia yake ya uvivu wa kutokufanya kazi, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule mbwa asiyefanya kazi yoyote, kwa sababu naye na uvivu wa kutokufanya kazi katika familia yake. Ndiyo maana watu humuita jila la “kichapa mkia.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuachana na tabia ya uvivu katika kazi, kwa kujibisha kuzitekeleza vizuri kazi zao, ili waweze kupata chakula cha kuwasaidia vizuri katika maisha yao.

Zaburi 38:7.

Zaburi 46:1-3.

2Wakorintho 6:5-6.

puppy-2785074__480

One comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.