Imbuki ya kahayile kenako yingilile kubhulinganija bho bhutale bho lugulu na jigulu. Ulugulu lili liwe ilo lyingilile hasi guja ng’wigulya. Ilyoyi lililyagulolela bho kule kunguno ya bhulihu bholyo umo lyasumbilwa nu Mulungu.
Ijigulu jili jib’umbi ilo ligabhumbagwa na miswa gwingila hasi guja ng’wigula. Ilyoyi ligagwishiyagwa wangu kulebha ulugulu, kunguno lililyabhulolo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “lugulu itijigulu.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu myaji uyo bhang’wisanije abhana bhakwe kunguno ya gubhambilija chiza umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agikalaga aidebhile chiza imilimo yakwe ya gubhambilija ugwikala chiza abhanhu bhakwe, kunguno ya likujo lyake ilya gwikala chiza na bhanhu, umuwikaji bhokwe. Uweyi agabhakujaga bho lilange lyawiza abhanhu bhakwe kunguno ya nhungwa jakwe ijawiza jinijo, umukikalile kakwe kenako.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu lugulu ulo lulilulihu kukila ijigulu, kunguno nuweyi adebhile ugubhalanga abhana akikalile akawiza iki uweyi ali ntale kulebha abhana bhakwe bhenabho, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhang’wilaga giki, “lugulu itijigulu.”
Akahayile kenako, kalanga bhabyaji higulya ya kubhalelela kikalile kawiza abhana bhabho bho gwiyambilija chiza umubhutumami bhobho, kugiki bhadule kupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.
Mathayo 17:1-8.
Waefeso 6: 1-4.
Zaburi 27: 1-3.
KISWAHILI: KILIMA SI KICHUGUU.
Chanzo cha msemo huo kilianzia kwenye ulinganishaji wa ukubwa wa mlima na kichuguu. Mlima ni jiwe ambalo limetokea chini kuja juu. Wenyewe huonekana kwa mbali kwa sababu ya urefu wake kutokana na kuumbwa kwake hivyo na Mungu.
Kichuguu ni udongo ulioumbwa na mchwa kutoka chini kuja juu ambacho chaweza kubomolewa kiurahisi tu, ukilinganisha na kilima. Ndiyo maana watu husema kwamba, “kilima si kichuguu.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule mbaye ni mzazi anayetegemewa na watoto kwa sababu ya kuwasaidia kwake vizuri maishani mwake. Mtu huyo, anazielewa vizuri kazi zake za kuwasaidia watu wake hao juu ya kuishi vizuri na wenzao, kwa sababu ya hekima yake ya kuishi vizuri na watu maishani mwake. Yeye huwakuza watoto wake katika malezi yenye maadili mema kwa sababu ya tabia yake hiyo njema, katika maisha yake.
Mtu huyo, hufanana na mlima ulivyo mrefu kuliko kichuguu, kwa sababu naye anafahamu kuwafundisha watoto namna ya kuishi vizuri kwa vile yeye ni mkubwa kuliko wao. Ndiyo maana watu humuambia kwamba, “kilima si kichuguu.”
Msemo huo, hufundisha wazazi juu ya kuwafundisha watoto wao namna ya kuishi vyema kwa kusaidiana vizuri katika utekelezaji wa majukumu yao, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.
Mathayo 17:1-8.
Waefeso 6: 1-4.
Zaburi 27: 1-3.
ENGLISH: A HILL IS NOT AN ANTHILL.
This saying originated from the comparison of a hill and an anthill. A hill is a stone that has come up from the ground. It is visible from a distance because of its height due to its creation by God.
An anthill on the other hand, is soil created by ants from the ground up, which can be demolished easily, compared to a hill. That is why people say that, “a hill is not an anthill.”
This saying is compared to a parent who is trusted by children because of his good support in his life. This person understands well his work enough to help his people in living well with their peers, because of his wisdom that enables him to live well with the people in his life. He raises his children in an upbringing with good morals because of his good character, in his life.
This person is like a hill that is taller than anthill, because he also knows how to teach children ways of living well because of his humility. That is why people tell him that, “a hill is not an anthill.”
This saying teaches parents about on how to upbringing their children for living well by helping each other well in the implementation of their responsibilities, so that they can achieve many successes in their lives.
Matthew 17:1-8.
Ephesians 6: 1-4.
Psalm 27: 1-3.