1085. NG’WENUYU NSANGA YASHILA.

Akahayile kenako, kingilile kubhukeleja bho ng’wa munhu guja gujuhoyela mihayo. Olihoyi munhu uyo oliwitanwa gujuhoya na bhanhu higulya ya mihayo ya kigasije kasoga. Umunhu ng’wunuyo agakeleja uguja aha kaya yiniyo mpaga nose imihayo yiniyo yushila na ushiga nang’hwe lulu. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “ng’wenuyu nsanga yashila.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo adashingimukaga wangu uliuwilwa mhayo umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agakeleja gwa nulu agawilwa gwanguha nduhu, agusanga abhiye bhamalaga nulu gutumama nimo gosese kunguno ya bhugokolo na bhujidalonja bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe. Uweyi agikalaga akelile bhuli ng’waka aha kaya yakwe kunguno ya bhukeleja bho gujutumama milimo bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agakeleja kuja kumahoya mpaga nose usanga abhiye bhamalaga uguhoya, kunguno nuweyi agakelejaga bhuli kwene uko ajile mpaga nose oduma ugupandika ijiliwa umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ng’wenuyo nsanga yashila.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwanguha ugujutumama imilimo yabho bho gwiyambilija chiza, kugiki bhadule kupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Mathayo 25:1-13.

Mathayo 19:30.

Mathayo 20:16.

KISWAHILI: HUYU HUKUTA YAMEISHA.

Msemo huo, ulianzia kwenye uchelewaji wa mtu aliyealikwa kufika kwenye maongezi. Alikuwepo mtu mmoja ambaye alialikwa kwenda kuongea na watu juu ya mwenendo wa kuishi vizuri. Mtu huyo, alichelewa kufika kwenye familia hiyo mpaga mwishowe yale maongezi yakaisha ndipo naye akafika. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “huyu hukuta yameisha.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwa hashituki upesi akiambiwa neno, katika masha yake. Mtu huyo, huchelewa kila siku akiambiwa awahi sehemu fulani, atakuta wenzake wamemaliza hata kazi yoyote kwa sababu ya uvivu na kutojali kwake huko, katika maisha yake. Yeye hukosa chakula kila mwaka kwenye familia yake kwa sababu ya uchelewaji wake huo wa kufanya kazi zake, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyechelewa kwenda kwenye maongezi mpaga akakuta wenzake wamemaliza, kwa sababu naye pia huchelewa kufika kule aendako mwishowe hushindwa hata kupata chakula katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “huyu hukuta yameisha.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwahi kwenda kuyatekeleza majukumu yao kwa kusaidiana na wenzao vizuri, ili waweze kupata maendeleo mengi, maishani mwao.

Mathayo 25:1-13.

Mathayo 19:30.

Mathayo 20:16.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.