1084. DANGATA LIGULILA ULU WIPUJA.

Imbuki ya kahayile kenako, ihoyelile higulya ya lintego ilo ligapujaga ndimu. Ilintego linilo ligategaga ginhu ijo bhalijichola abhategi bhalyo ilo ligayoganyaga bho gulila ulu lyapuja ginhu. Ubhuyoganya bholyo bhunubho, bhugabhigwilijaga abhategi igiki bhapujaga. Hunagwene bhagayombaga giki, “dangata ligulila ulu wipuja.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agapandikaga mamihayo ga gujinjimaja, umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo agakumukaga noyi umuchalo jakwe kunguno ya mamihayo genayo ayo agapandikaga, umuwikaji bhokwe. Uweyi agabhizaga na miganiko mingi noyi ayo gagansunduhajaga kunguno ya gwigwa bhalinhoyela bhuli kwene uko alibhitila, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni lidangata ilo ligalilaga ulu lyapujaga ginhu, kunguno nuweyi agakumukaga noyi ulu opandikaga mamihayo genayo agagujinjimaja. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “dangata ligulila ulu wipuja.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwilalanhana na mitego yoseyose iyagubhenheleja gwinga umukikalile akawiza, kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Zaburi 31:4-5.

Luka 4:1-9.

Mathayo 22:15-22.

KISWAHILI: MTEGO HULIA UNAPONASA.

Chanzo cha msemo huo huongelea juu ya mtego wa kunasia wanyama fulani. Mtego huo, ni kifaa kilichoandalia kwa lengo na kumnasa mnyama atakayeugusa ambayo hulia unaponasa kitu. Mlio huo huwajulisha wategaji kwamba wamenasa kitu kiasi cha kutosha kuwahi pale uliko mtego huo. Ndiyo maana wao husema kwamba, “mtego hulia unaponasa.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hukumbwa na maneno ya kushangaza, maishani mwake. Mtu huyo, hujulikana sana kwa watu waishio kwenye kijiji chake, kwa sababu ya kukumbwa na maneno hayo ya kushangaza, katika maisha yake. Yeye huishi kwa masikitiko katika familia yake kwa sababu ya kuwasikia watu wengi wakimuongelea yeye, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na ule mtego ambao hulia unaponasa kitu, kwa sababu naye hujulikana kwa watu wengi waishio kwenye kijiji chake, anapokumbwa na maneno hayo ya kushangaza. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “mtego hulia unaponasa.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa makini kwa kujilinda ili wasikumbwe na maneno ya kuwahalibia sifa katika utumishi wao, maishani mwao.

Zaburi 31:4-5.

Luka 4:1-9.

Mathayo 22:15-22.

hare-6063733__480

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.