1074. NZUGU NAYO IBHILI.

Akahayile kenako, kahoyelile higulya ya bhulombi bho gunhi kulimunhu nhebhe. Olihoyi munhu umo uyo agaja gujulomba igembe habhuzenganwa bho gwiganika giki agupandika duhu kunguno ya widebhi bhokwe nu nzenganwa okwe ng’wunuyo.

Aliyo lulu aho oshiga ahakaya yiniyo, agagayiwa iligembe linilo kunguno bhalibhaja gujugalimia amagembe gabho pye agose abhanhu abha ha kaya yiniyo. Aho ogayiwa umunhu ng’wunuyo, agadebha igiki unombi ojikolo adulile gupandika nulu gugayiwa. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “nzugu nayo ibhili.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agapangaga milimo yakwe bho nduhu ugumwisanya Mulungu uyo ayidebhile pye iyose. Umunhu ng’wunuyo agatumamaga milimo yakwe bho gwipangila weyi ng’winikili duhu kunguno ya gugayiwa guzunya gokwe ukuli Mulungu. Uweyi agadumaga uguimala chiza imilimo yakwe kunguno ya gwiisanya weyi ng’wikili duhu bho nduhu ugwiiganika iyo apangile Mulungu uyo agayimalaga pye iyose, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo agajuugayiwa ijikolo ijo olandaga aha bhuzenganwa, kunguno nuweyi agiisanyaga weyi duhu umubhutumami bhokwe bho nduhu ugumana umo apangilile umulungu, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “nzugu nayo ibhili.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwita iyo atogilwe UMulungu bho gung’wisanya weyi ubhutumami bho milimo yabho, kugiki bhadule gupandika mbango ja guimala chiza imilimo yabho yiniyo na gwikala chiza na bhichabho, umuwikaji bhobho.

1Samweli 17:38 – 51.

Yohana 21: 1-14.

Mathayo 4: 1- 14.

KISWAHILI: NJOO NAYO MAWILI.

Msemo huo, huongelea juu ya uombaji wa kitu fulani kwa mtu. Alikuwepo mtu mmoja ambaye alienda kuomba jembe kwa jirani yake akiwa na wazo la kupata bila kukosa kwa sababu ya uelewano waliokuwa nao kati yake na yule jirani.

Lakini basi alipofika kwenye familia hiyo, alikosa hilo jembe kwa sababu watu wa pale walikuwa wameenda kuyalimia majembe yote. Alipokosa alielewa kuwa, kumbe muombaji anaweza kupata au kukosa. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “njoo nayo mawali.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hupanga kazi zake bila kumshirikisha Mungu ambaye huikamilia yote. Mtu huyo, hufanya kazi zake kwa kujipangia mwenyewe tu bila kutegemea mpango wa Mungu kwa sababu ya kukosa imani kwa Muumba wake huyo. Yeye hushindwa kufanikwa katika kazi zake kwa sababu ya kukosa msaada ya Mungu awezaye kumpatia mafanikio hayo yote, maishani mwake.

Mtu huyo hufanana na yule aliyeenda kuazima kitu akitegemea kupata lakini akakosa, kwa sababu naye hufanya kazi zake kwa kujitegemea mwenyewe tu bila kumshirikisha Mungu, katika kazi zake hizo. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “njoo nayo mawili.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuuelewa na kutimiza mpango wa Mungu kwa kumtegemea Yeye katika utekelezaji wa majukumu yao, ili waweze kupata Baraka za kufanikiwa vizuri katika kazi zao na kuishi vizuri na wenzao, maishani mwao.

1Samweli 17:38 – 51.

Yohana 21: 1-14.

Mathayo 4: 1- 14.

black-women-7047086__480

women-5935801__480

fight-1564959__480

ENGLISH: COME WITH BOTH TWO.

This saying talks about the request of something for someone. There was a man who went to ask his neighbor for a hoe with the idea of ​​getting one without missing because of the understanding they had between him and the neighbor.

But then when he arrived at the family, he missed the hoe because the people there had gone to work with all hoes. When he missed, he understood that, well, the applicant can get or miss. That is why people told him that, “come with both two.”

This saying is compared to the person who plans his work without involving God who completes it all. Such person does his work by planning for himself without relying on God’s plan because of his lack of faith in his Creator. He fails to succeed in his works because of the lack of God’s help who can give him all that success in his life.

This person is like the one who went to borrow something hoping to get it but failed, because he also does his work independently without involving God in his work. That is why people told him that, “come with both two.”

This saying teaches people about understanding and fulfilling God’s plan by relying on Him in the implementation of their responsibilities, so that they can get the Blessings of being successful in their work and living well with their nobles in their lives.

1 Samuel 17:38 – 51.

John 21: 1-14.

Matthew 4:1-14.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.