1069. MUNHU NTALE NA WITABYA BHOKWE.

Akahayile kenako, kalolile witabya bho ng’wa munhu uyo alintale. Uwitabya bhunubho, bhuli bhubhucha bho miligo ilibhili ukumabhega gakwe umunhu ng’wunuyo. Imiligo yiniyo, igadimilagwa na linti ilo agalizwalaga ukumabheja gakwe bho gukingwa hagati uweyi ni miligo yakwe yiniyo. Iyoyi igabhuchuyagwa na munhu uyo alintale kunguno ili midito. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “munhu ntale na witabya bhokwe.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agikalaga utumama milimo mingi umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agikalaga atingatilwe na milimo bhuli makanza mpaga agagayiyagwa ni likanza ilyagwifula, kunguno ya bhukamu bhokwe ubho gutumama milimo yakwe bhunubho, umuwikaji bhokwe. Uweyi agapandikaga sabho ningi noyi aha kaya yakwe kunguno ya wigulambija bhokwe bhunubho ubho gutumama milimo yakwe, umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo oliwitabya miligo ukumabheja gakwe, kunguno nuweyi agikalaga utumama milimo mingi bhuli makanza, umuwikaji bhokwe bhunubho.

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gwigulambija gutumama milimo yabho bho bhukamu bhutale, kugiki bhadule kupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Matendo ya Mitume 10:42 – 43.

Mteando ya Mitume 17:25,

1Petro 2:4.

1Thimoteo 3:1-5.

Waefesso 5: 21-23.

KIWAHILI: MTU MKUBWA ANA MIZEGA MIZEGA YAKE.

Msemo huo, huangalia ubebaji wa mizega mizega wa mtu mkubwa. Mizega mizega hiyo, ni ubebaji wa mizigo miwili mabegani mwake mtu huyo. Mizigo hiyo, hushikiriwa na mti ambao huwekwa mabegani mwa mtu hiyo anapoibeba mizigo yake hiyo. Yenyewe hubebwa na mtu mkubwa kwa sababu ya uzito wake. Ndiyo maana watu husema kwamba, “mtu mkubwa ana mizega mizega yake.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya kazi nyingi, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa ametingwa na kazi nyingi kila wakati mpaga hufikia hatua ya kukosa hata muda wa kupumzika, kwa sababu ya juhudi yake hiyo kubwa ya kufanya kazi. Yeye hupata mafanikio mengi kwenye familia yake kwa sababu ya kujibidisha kwake kufanya kazi hizo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyekuwa amebeba mizega mizeka mabegani mwake, kwa sababu naye hufanya kazi nyingi kila wakati maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “mtu mkubwa ana mizega mizega yake.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kujibidisha kufanya kazi zao vizuri kwa kuongeza bidii ya utekelezaji wa majukumu yao, ili waweze kupata mafanikio mengi zaidi, maishani mwao.

Matendo ya Mitume 10:42 – 43.

Mteando ya Mitume 17:25,

1Petro 2:4.

1Thimoteo 3:1-5.

Waefesso 5: 21-23.

workers-754583__480

IN ENGLISH: AN ADULT HAS LUGGAGE ON HIS/HER SHOULDERS.

This saying looks at the carrying of two luggage on shoulders of the mature man. The two luggage is the carrying of two loads on the person’s shoulders. Those loads are held by a tree which is placed on the person’s shoulders when he carries his loads. They are carried by a mature person because of their weight. That is why people say that, “an adult has luggage on his/her shoulders.”

This saying is equaled to the person who does a lot of works, in his life. This person is always overwhelmed with a lot of works to the point of missing even have time to rest, because of his great effort to work. He gets a lot of success in his family because of his hard working mentality in his life.

This person resembles the one who was carrying the two luggage on his shoulders, because he also does a lot of works every time in his life. That is why people tell him that, “an adult has luggage on his/her shoulders.”

This saying teaches people about forcing themselves to do their jobs well by increasing the effort in fulfilling their responsibilities, so that they can get more success in their lives.

Acts 10:42-43.

Acts 17:25,

1 Peter 2:4.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.