1067. MUNHU NDUMA ALIYO IKAYA ADINAYO.

Akahayile kenako, kahoyelile munhu ntale uyo adina kaya. Alihoyi munhu umuchalo ja Ng’watuju uyo otumamaga milimo yakwe bhuli makanza kunguno ya bhukamu bho gutumama milimo yakwe yiniyo. Uweyi oliadatolile kunguno ya kutumama milimo yakwe yiniyo, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “Munhu nduma aliyo ikaya adinayo.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo wiyangula guntumamila Mulungu, bho nduhu ugutola umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agifunyaga kuleka wikaji bho witoji bho gulitumila ilikanza lyakwe chiza ijinaguntumamila Sebha, kunguno ya guzunya gokwe gutale ukuli Mulungu, umuwikaji bhokwe bhunubho. Uweyi agabhambilijaga bhanhu bhingi ugulitumila ilikanza lyabho bho gwikala na Mulungu na gunzunilija bhuli ng’wene uguwikalana chiza uwitangwa bhokwe, kunguno ya bhutengeke bhokwe bhunubho.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agaleka nzila ya witoji kugiki atumame milimo yakwe chiza, kunguno nuweyi agantumamilaga Sebha bho guleka nzila ya witoji chiniko umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “munhu nduma aliyo adina kaya.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhudebha chiza uwitanwa bhobho na guwikalana chiza, kugiki bhadule gushiga Ng’wigulu, umuwikaji bhobho.

Zaburi 55:22-23.

Mathayo 19:1-12.

KISWAHILI: MTU MKUBWA LAKINI HANA MJI.

Msemo huo, huongelea mtu mkubwa ambaye hana mji. Alikuwepo mtu kwenye kijiji cha Ng’watuju aliyekuwa akifanya kazi zake kila wakati kwa sababu ya bidii yake kuyatekeleza majukumu hayo. Yeye hakuoa kwa sababu ya kazi zake hizo maishani mwake. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “mtu mkubwa lakini hana mji.”

 Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule aliyeamua kumtumikia Mungu kwa kuishi maisha bila ndoa, katika maisha yake. Mtu huyo, hujitolea kwa Mungu kwa kuishi maisha ya kumtumikia Yeye peke yake bila ndoa kwa sababu ya imani yake hiyo kubwa kwa Mungu, maishani mwake. Yeye huwasaidia watu wengi katika kumtumikia Mungu vizuri kwa kunruhusu kila mmoja kufuata wito wake, kwa sababu ya uaminifu wake huo, maishani kwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyeacha maisha ya ndoa ili apate nafasi ya kufanya kazi zake vizuri, kwa sababu naye humtumikia Mungu kwa kuacha maisha hayo ya ndoa, katika maisha yake. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “mtu mkubwa lakini hana mji.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuuelewa wito wao na kuuishi vizuri, ili waweze kufika mbinguni, baada ya maisha haya ya hapa duniani.

Zaburi 55:22-23.

Mathayo 19:1-12.

ENGLISH: A BIG MAN BUT HAS NO FAMILY.

This saying speaks of a great man who has no family. There was a man in the village of Ng’watuju who was always doing his daily works because of his diligence in carrying out those duties. He did not marry because of his works in his life. That is why people told him that, “a big man but has no family.”

 This saying is related to man who decided to serve God by living a life without marriage, in his life. This man dedicates himself to God by living a life of serving Him alone without marriage because of his great faith in God, in his life. He helps many people in serving God well by allowing each one to follow his/her calling, because of his faithfulness in life.

This person resembles the one who left the married life so that he could have a chance to do his works well, because he also serves God by leaving that married life, in his life. That is why people told him that, “a big man but has no family.”

This saying teaches people about understanding their calling and living it well, so that they can reach heaven after passing away.

Psalm 55:22-23.

Matthew 19:1-12.

king1

portrait-734904__480

african-man-6777915__480

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.