Ikalagu yiniyo, yilolile leli iyo ili nzila ya gubhitila ilingongo linilo. Ileli yiniyo igalilanghanaga lingongono linilo lulu kunguno bhuli bhulitilo moblo ilyoyi. Ligabhizaga guti zipu iyo yigabhitilaga munzila yayo uluilifunga jose jose. Hunagwene abhanhu bhagayomba giki “lingongongo lilimunzila yalyo – lileli.”
Ikalagu yiniyo, igalengajiyagwa kuli munhu uyo agabhudimilaga chiza uwitanwa bhobho, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agagikalanaga chiza amalagilo ga witanwa bhokwe umukikalile gakwe kunguno ya bhutungilija bhokwe bhunubho. Uweyi agabhalangaga na bhanhu bhakwe inzila ja gwikala bhabhudimilile ubhunhana kunguno ya bhutengeke bhokwe umukikalile kakwe.
Umunhu ng’wunuyo agikolaga ni leli ijo jigalidimilaga ilingongongo lyabhita chiza umunzila yalyo, kunguno nuweyi agagadimilaga amalagilo ga nzila ya nhana, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “lingongongo lilimunzila yalyo – lileli.”
Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gubhiza bhatungilija bho gujikalana chiza inhungwa ijawiza, kugiki bhadule gubhalela chiza abhanhu bhabho umuwikaji bhobho.
Kutoka 28:2 – 5.
Mithali 31:21b – 25.
Marko 1:6-7.
KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA. GARI MOSHI LIMO RELINI – LELI.
Kitendawili hicho, chaangalia leli ambayo ni njia inamopitia treini hiyo. Leli hiyo, huilinda treini hiyo kwa sababu ndiyo njia yake inayoyashikilia mataili yake hayo ya chuma. Yenyewe huwa kama zipu ambayo hupitia kwenye njia yake wakati wa kufunga kitu chochote kile. Ndiyo maana watu husema kwamba, “gari moshi limo relini – leli.”
Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huishikilia vizuri njia ya kuishi kwenye maadili mema, katika maisha yake. Mtu huyo huyaishi vizuri maadili hayo kwa kufanya kazi vizuri kwa sababu ya uaminifu wake huo. Yeye huwafundisha pia wenzake juu ya kuziendeleza njia hizo njema kwa kuushikiria ukweli katika kazi na katika maisha ya kila siku kwa sababu ya umakini wake huo wa kutunza familia yake.
Mtu huyo hufanana na ile leli inavyoishirikia treini yake mpaka inaweza kupita vizuri kwenye njia yake hiyo, kwa sababu naye huyashikiria vyema maadili hayo mema katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba “gari moshi limo relini – leli.”
Kitendawili hicho hufundisha watu juu ya kuwa waaminifu kwa kuyaishi vyema maadili hayo mema, ili waweze kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.
Kutoka 28:2 – 5.
Mithali 31:21b – 25.
Marko 1:6-7.
ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.
THE TRAIN IS ON ITS RAILWAY – RAILWAY LINE.
This riddle looks at the path that the train takes. The rail protects the train because it is the way that holds its steel tires. It is like a zipper that goes through its path when closing anything. That is why people say that, “the train is on its railway – railway line.”
This paradox is compared to a person who holds well the way of living on good values, in his life. Such person lives on values well by working well because of his honesty. He also teaches his colleagues to develop those good ways by holding to the truth in works and in everyday life because of his focus on taking care of his family.
This person is similar to the railway that holds the steel tires until the train manages to pass well on its path, because he also holds on good values in his life. That is why people tell him that “the train is on its railway – railway line.”
This riddle imparts in people an idea of being honest by living on values, so that they can raise their families well, in their lives.
Exodus 28:2 – 5.
Proverbs 31:21b – 25.
Mark 1:6-7.
.