1065. NIJIPOLO NAJO JILIWA.

Imbuki ya kahayile kenako ihoyelile jipolo. Ijipolo jinijo jilijiliwa ijo jigaliyagwa na bhanhu bhajisaza ijo jigaliyagwa hangi guti jiliwa ijo jamalagwa guzugwa kunguno najo jilijiliwa guti ni jingi duhu. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “nijipolo najo jiliwa.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli namhala uyo agabhalangaga abhanhu kikalile kawiza, umuwikaji bhokwe. Unamhala ng’wunuyo, agapandikaga bhageni bhingi noyi aha kaya yakwe abho agabhalomelaga mihayo ya gutumama milimo na gwikala chiza na bhichabho, kunguno ya bhutungilija bhokwe bhunubho. Uweyi agalangaga bhanhu bhingi bhadebha ugwikala chiza na bhichabho kunguno ya kikakilile kakwe akawiza kenako.

Unamhala ng’wunuyo, agikolaga ni jilipolo ijo jigaliwa na bhanhu bhiguta chiza, kunguno nuweyi agabhalangaga abhanhu bhulangwa bho miganiko gabhambilija gutumama milimo na gwikala chiza na bhichabho, umuwikaji bhobho. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “nijipolo najo jiliwa.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na miganiko ga gwitegeleja bho gutumama milimo na gwikala chiza na bhichabho, kugiki bhadule kupandika mbango ja gubhambilija chiza abhatale bhabho, umuwikaji bhobho.

Mithali 10:1-2.

Kutoka 16:17- 30.

HATA KIPOLO NACHO NI CHAKULA.

Chanzo cha msemo huo, chaongelea kipolo. Kipolo ni chakula kilichobaki baada ya watu kula ambacho huliwa tena kama chakula cha kawaida kwa sababu nacho huwashibisha wale wakilacho kama chakula kingine cha kawaida. Ndiyo maana watu husema kwamba, “hata kipolo nacho ni chakula.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mzee yule ambaye huwafundisha watu juu ya kupata hekima ya kuishi vizuri, maishani mwake. Mzee huyo, hupata watu wengi kwenye familia yake ambao huwafundisha hekima ya kufanya kazi na kuishi vizuri na watu, kwa sababu ya uaminifu wake huo maishani mwake. Yeye huwawezesha watu wengi kupata hekima ya kuishi kwa amani na wenzao kwa sababu ya maisha yake hayo mema, maimani mwake.

Mzee huyo, hufanana na kipolo kilichowashibisha watu waliokila kama chakula kilichopikwa wakati huo, kwa sababu naye huwapatia watu hekima ya kufanya kazi na kuishi vizuri na wenzao, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “hata kipolo nacho ni chakula.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na hekima ya kufanya kazi na kuishi vizuri na watu, ili waweze kuwasaidia vyema wazee wao, maishani mwao.

Mithali 10:1-2.

Kutoka 16:17- 30.

africa-1238492__480

ENGLISH: THE LEFTOVER IS ALSO FOOD.

This saying speaks about the remaining of food. This remaining food is the left over by the people after eating. This food can be eaten again as normal food because it satiates those who have it like other normal food. That is why people say that, “The leftover is also food.”

This saying is matched to the old man who teaches people about getting wisdom of living well, in his life. This old man finds many people in his family whom he teaches wisdom of working and living well with others, because of his honesty in his life. He enables many people to find wisdom of living in peace with their fellows because of his good conduct in life.

This old man is similar to the leftover food that satisfied the people who ate it as cooked food at that time, because he also gives people the wisdom of working and living well with their societal members, in his life. That is why people tell him that, “the leftover is also food.”

This saying teaches people about having wisdom of working and living well with people, so that they can better help their elders, in their lives.

Proverbs 10:1-2.

Exodus 16:17-30.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.