1064. UYOGALINDILAGA JAB’IYE ADAKIJAGA UGUGINA.

Akahayile kenako, kahoyelile munhu uyo agaginaga bho gulya jiliwa jabhiye bho nduhu ugutumama uweyi. Umunhu ng’wunuyo, olindilaga jiliwa mu kaya ja bhangi bhuli makanza kunguno ya bhugaiwa bho witegeleja bhokwe. Uweyi agaginaga noyi kunguno ya gwikala agulyaga jiliwa jinijo bho nduhu ugutumama imilimo aha ng’wakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “uyo agalindalaga jabhiye adakijaga ugugina.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo adatumamaga imilimo yakwe aha kaya yakwe, umukikalile kakwe kenako. Umunhu ng’wunuyo, agikalaga uyela sagala muma kaya ga bhanhu kugiki apandike jiliwa ja gulya umubhiye munumo. Uweyi agakoyiyagwa na nzala aha ng’wakwe bhuli makanza kunguno ya bhugokolo bho gutumama milimo bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agagina bho bhugulindila gulya jiliwa ja bhiye, kunguno nuweyi agagikalaga ulya mumakaya gabhiye bho nduhu ugutumama uweyi imilimo aha kaya yakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “uyo agalindalaga ja bhiye adakijaga ugugina.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya guleka bhugokolo bho gutumama milimo yabho chiza, bho gwikala wagwiyambilijaga chiza katumamile kabho, kugiki bhadule gupandika sabho ja gubhambilija chiza, umuwikaji bhobho.

Luka 9:62.

2Wathesalonike 3:10.

Wagalatia 6:9.

KISWAHILI: ANAYESUBIRIA CHA WENGINE HAACHI KUNENEPA.

Msemo huo, huongelea mtu yule ambaye hunenepa kwa kula chakula cha wenzake bila ya yeye kufanya kazi. Mtu huyo, husubiri kula chakula kwenye familia za watu mara nyingi kwa sababu ya kukosa umakini wake huo. Yeye hunenepa sana kwa sababu ya kukaa bila kufanya kazi katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “anayesubiria cha wengine haachi kunenepa.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwa hafanyi kwenye familia, katika maisha yake. Mtu huyo, hutembelea familia za watu ili apate kula chakula wanapoivisha kwa sababu ya kutokupenda kazi kwake. Yeye hupata shida ya kukosa chakula mara kwa mara katika familia yake kwa sababu ya uvivu wake huo wa kufanya kazi, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyenenepa kwa kusubiria kula chakula kwenye familia za wengine, kwa sababu naye hupendelea kukaa kwenye familia za wengine ili apate kula chakula huko. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “anayesubiria cha wengine haachi kunenepa.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuachana na tabia ya uvivu kwa kujibidisha kufanya kazi zao vizuri, ili waweze kupata mafanikio ya kuwasaidia vizuri maishani mwao.

Luka 9:62.

2Wathesalonike 3:10.

Wagalatia 6:9.

ENGLISH: HE WHO WAITS FOR OTHERS’ THINGS NEVER STOPS GAINING WEIGHT.

This saying speaks of a man who gets fat by eating food of his colleagues without working. This person, often waits to eat at people’s families because of his lack of attention. He gets very fat because of sitting idle in his life. That is why people tell him that, “he who waits for others’ things never stops gaining weight.”

This saying is compared to a man who does not work at his family in life. Such person visits people’s families so that he can eat food when they eat it because he doesn’t like his job. He experiences problems of lacking food frequently at his family because of his laziness to work in his life.

This person resembles the one who got fat by waiting to eat at other people’s families, because he also prefers to stay at other people’s families so that he can eat there. That is why people tell him that, “he who waits for others’ things never stops gaining weight.”

This saying teaches people about abandoning laziness by forcing themselves to do their jobs well, so that they can find successes that can nicely help them in their lives.

Luke 9:62.

2 Thessalonians 3:10.

Galatians 6:9.

big-1708092__480

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.