1061. ILILYASAGAGA LICHAGI NALYO.

Akahayile kenako kingilile kubhumalija bho gusambula numba. Inumba yiniyo, yaliyagwa lwande yusagila ulwande ulungi. Ung’winikili numba yiniyo agiyangula guyisagambula pye iyose kunguno ni yadula gubhagwila bhanhu. Hunagwene agayomba giki, “ililyasagaga lichag nalyo.”

Akahahile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhuchaga nimo ogudilila mpaga ogumala chiza, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agayitilaga bhukengeji imilimo yakwe hayo atali uguyandya. Uluidebha chiza agandyaga guitumama bho guidilila chiza mpaga uimala kunguno ya witegeleja bhokwe bhunubho, umubhutumami bho milimo yakwe. Uweyi agandikaga sabho ningi noyi umubhutumami bhokwe kunguno ya wigulambija bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’winuyo, agikolaga nu ng’winikili numba uyo agaimalija guicha inumba yakwe, kunguno nuweyi agabhuchaga milimo oitumama chiza mpaga oimala, umukikalile yakwe. Hunagwene agabhawilaga abhanhu giki, “ililyasagaga lichagi nalyo.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya guidilila bho gutumama chiza imilimo iyo bhayandya umubhutumami bhobho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Luka 14:28-30.

2Timotheo 4:7-8.

KISWAHILI: LILILOBAKI LISHUSHWE NALO.

Msemo huo, ulianzia kwenye umaliziaji wa kuangusha nyumba iliyokuwa imeanguka upande. Nyumba hiyo, ilikuwa imeanguka upande mmoja ikabakia upande mwingine. Mwenye nyumba hiyo, aliamua kuiangusha yote kwa sababu ile iliyobaki ingeweza kuwaangukia watu. Ndiyo maana alisema kwamba “lililobaki lishushwe nalo.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huanzisha kazi na kuzifuatilia vizuri mpaka anazimaliza katika maisha yake. Mtu huyo, huzifanyia utafiti kwanza kazi zake kabla hajaanza kuzitekeleza. Akishaziona kuwa ni mzuri, huanza kuzitekeleza kwa kuzifuatilia vizuri mpaka anazimaliza, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na mwenye nyumba aliyeamua kukiangusha pia kipande kilibakia baada kuanguka upande mwingine, kwa sababu naye huanzisha kazi zake na kuzifuatilia vizuri, mpaga anazimaliza. Ndiyo maana yeye huwaambia watu kwamba, “lililobaki lishushwe nalo.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya huzifuatilia vizuri kazi walizozianzisha katika utekeleji wa majukumu yao, ili waweze kupata mafanikio makubwa, maishani mwao.

Luka 14:28-30.

2Timotheo 4:7-8.

house-1744082__480

women-5578067__480

old-farm-house-2096642__480

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.