1057. GENAYA MAKOMOKILWA GA NG’WA SALYUNGU.

Imbuki ya kahayile kenako ihoyelile higulya ya nhamala umo uyo witanagwa Salyungu. Unamhala ng’wunuyo, aliobyala bhana bhinghi abho nabho bhagiza bhubyala bhana bhubhinika lina lyakwe kunguno ya gung’wizuka na gunumbilija ugubhabyala chiniko. Hunagwene abhana abho bhinikwa lina lyakwe bhagitanagwa giki, “genaya makomokilwa ga ng’wa Salyungu.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agailelaga chiza ikaya yakwe bho guyilanga kikalile ka nhungwa ja wiza, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agabhalomelaga abhanhu bhakwe higulya ya nhungwa ijagwikala jawiza jinijo mpaga bhajidimila bho gwiyambilija kihamo umukikalile kabho kunguno ya bhutungilija bhokwe umubhutumami bhokwe bhunubho. Uweyi agaib’ejaga chiza ikaya yakwe bho gwikala bho mholele kunguno ya bhutungilija bhokwe, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu namhala uyo agabyala bhana bhinghi mpaka bhuyung’winika ilina lyakwe, kunguno nuweyi agayilangaga chiza ikaya yakwe mpaka bhayiyambilija kihamo abhanhu bhakwe. Hunagwene abhanhu bhakwe bhagitanagwa giki, “genaya makomokilwa ga ng’wa Salyungu.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza ni kujo umuwikaji bho witoji bho gujidimila chiza nhungwa ijawiza, kugiki bhadule gwikala kihamo bho gwiyambilija chiza mumakaya gabho.

Zaburi 127:3-5.

Luka 1:7.

Luka 1:24-25.

KISWAHILI: HAYA NI MASALIA YA SALYUNGU.

Chanzo cha msemo huo, chaongelea juu ya mzee mmoja aliyeitwa Salyungu.  Mzee huyo, alizaa watoto wengi ambao nao walizaa watoto waliowaita jina lake mzee huo, kwa sababu ya kutoa heshima kwake kwa kuwazaa pia kuendelea kumkumbuka. Ndiyo maana watoto hao waliopewa jila lake mzee huyo huitwa kwamba, “haya ni masalia ya Salyungu.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huilea vyema familia yake kwa kuifundisha maadili mema, katika maisha yake. Mtu huyo, huwaelekeza watu wake juu ya kuwa na mwenendo wa kuyaishi maadili hayo mema, kwa kusaidiana katika kuyatelekeza vizuri majukumu yao, kwa sababu ya uaminifu wake huo katika utumishi wake. Yeye huijenga vizuri familia yake kwa kuishi katika amani kwa sababu ya uaminifu wake huo, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule mzee aliyezaa watoto wengi mpaka wakawapatia lake watoto wao, kwa sababu naye huilea familia yake katika maadili mema kwa kusaidiana kwa pamoja na vizuri. Ndiyo maana watu huwaita wanafamilia yake kuwa, “haya ni masalia ya Salyungu.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na heshima kwenye maisha ya ndoa kwa kuyaishi maadili mema, ili waweze kuishi kwa kusadiana vizuri katika kuziletea maendeleo familia zao.

Zaburi 127:3-5.

Luka 1:7.

Luka 1:24-25.

couple-6962202__480

ENGLISH: THESE ARE THE REMAINS OF SALYUNGU.

The cradle of the overhead saying explains about an old man whose name was Salyungu. This old man gave birth to many children who in turn gave birth to children who given his named after the old man, because of paying respect to him and continuing to remember him. That is why the children who were given the name of the old man are considered as “these are the remains of Salyungu.”

Thi saying is compared to the person who raises his family well by teaching them good values, in his life. Such person directs his people to have conduct of living good values, by helping each other in fulfilling their responsibilities, because of his loyalty in his service. He builds his family well by living in peace because of his faithfulness in his life.

This person resembles the old man who gave birth to many children until they gave birth to their own children, because he also raises his family in good values ​​by helping each other well. That is why people consider his family members as “these are the remains of Salyungu.”

This saying teaches people about having respect in married life by living good values, so that they can live by cooperating well enough to bring development in their families.

Psalm 127:3-5.

Luke 1:7.

Luke 1:24-25.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.