1041. KALAGU – KIZE. MBASA YA NG’WA B’AB’A LUTANDULA MAKUNGU – MBULA.

Ikalagu yiniyo, yilolile katulile ka mbula. Imbula yiniyo, ulu yandra ugutula bhagalebha mabala matale kunguno b’ulikwene bhagamanaga bhiwila igiki lyatulaga nise na igikalaga mabala matale ayo igatulaga iyoyi. Hunagwene abhanhu bhagiwilaga giki, “mbasa ya ng’wa b’ab’a lutandula makungu.”

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo osolanyiwa gub’iza Ntemi osi nhale, umukikalile kakwe. Untemi ng’wunuyo agatongelaga bhanhu bhingi abho bhali musi yakwe yiniyo, bho gubhalamula chiza na gubhambilija abho bhali na makoye kunguno ya bhutungijilija bhokwe. Uweyi agabhenhelaga bhuyegi bhutale abhanhu bhakwe kunguno ya bhutumami bhokwe ubhowiza bhunubho, umubhotemi bhokwe bhunubho.

Untemi ng’wunuyo, agikolaga ni mbula iyo igatulaga mabala matale kunguno nuweyi agatongelaga bhanhu bha Si nhale, umubhutemi bhokwe abho abhalenhelaga bhuyegi bhutale, umubhutumami bhokwe bhonubho. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “mbasa ya ng’wa b’ab’a lutandula makungu.”

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gubhiza na ng’wigano go gubhadegeleka na gubhigwa chiza, abhatongeji bhabho, kugiki bhadule gwikala na bhuyeji bho gutumama milimo yabho chiza, umuwikaji bhobho.

Wafilipi 2:14.

Wafilipi 2: 9 -11.

 

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.

SHOKA LA BABA KIPASUA NCHI – MVUA.

Kitendawili hicho, huongelea juu ya unyeshaji wa mvua kwenye nchi fulani. Mvua hiyo, ikianza kunyesha watu wengi huelewa wazi kwamba imenyesha sehemu kubwa kwa sababu ya uwepo wa wananchi wengi ambao kutuoa taarifa ya kunyesha kwa mvua hiyo kubwa, kwenye maeneo yao. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, “shoka la baba kipasua nchi.”

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huteuliwa kuwa mfalme wa nchi kubwa, katika maisha yake. Mfalme huyo, huwaongoza watu wengi waliomo ndani ya nchi yake hiyo kubwa, kwa kuwaamulia masuala na kuwasadia vizuri walio na matatizo mbalimbali, katika utawala wake huo. Yeye huwaletea furaha kubwa watu wake kwa sababu ya utumishi wake huo, kuwa mzuri, maishani mwake.

Mfalme huyo, hufanana na ile mvua iliyonyesha kwenye sehemu kubwa, kwa sababu naye huongoza nchi kubwa yenye watu wengi, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “shoka la baba kipasua nchi.”

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuwa na uelewano wa kuwasikiliza na kuwaelewa vizuri viongozi wao, ili waweze kuishi kwa furaha na amani ya kuwawezesha kufanya kazi zao vizuri, maishani mwao.

Wafilipi 2:14.

Wafilipi 2: 9 -11.

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

MY FATHER’S AX SPLITS THE LAND – RAIN.

The above riddle talks about the rainfall in a certain country. When it starts to rain, many people understand that it has covered a large part, because of the presence of a number of them who speak about it, in their areas. That is why people tell each other that, “my father’s ax splits the land.”

This paradox is compared to the person who is appointed a king of a big country, in his life. This king leads many people well in his big country, by deciding issues and providing good support to those who have various problems, in his administration. He brings great joy to his people because of his service, being good, in his life.

This king is like the rain that fell on a large area, because he also leads a big country that has many people, in his life. That is why people tell him that, “my father’s ax splits the land.”

This riddle teaches people on how to have good understanding enough to listen to and understand their leaders well, so that they can live happily and peacefully in their jobs and lives.

Philippians 2:14.

Philippians 2: 9 -11.

 

rainy-day-

rain-6405679__480

flashes-

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.