1015. OZWAJIWE NGOB’O

Imbuki ya kahayile kenako ililole bhuzwajiwa bho ngobho bho ng’wa munhu nhebhe. Ikale abhanhu bhikalaga bhaliduhu. Ulu munhu uzwajiwe myenda yolechaga giki, oshikanaga gutoolwa ulu ali ng’waniki nulu gutoola ulu ali nyanda. Abhanhu bhenabho bhitanagwa lulu bhazwajiwe ngob’o ja gubhafala ija golecha giki bhakomaga gubheja kaya jabho. Hunagwene abhanhu bhang’wilaga umunhu ng’wunuyo giki, “ozwajiwe ng’ob’o.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo aginagwa ilange lya guleka miita ga bhub’i bho gwita ayo gali ga bhiza, umuwijaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo, agalangagwa chiza na bhabyaji bhakwe mpaga oyileka iyabhubhi omanila gwikala chiza na bhanhu bho gubhambilija chiza kunguno ya widohya bhokwe. Uweyi agayibhejaga chiza ikaya yakwe kunguno ya gubhiza na nhungwa ja wiza ijo ojangwa na bhatale bhakwe jinijo mpaga ujidimila chiza, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo agikolaga nuyo wikalaga duhu mpaga wikoma gutolwa nulu kutola na uzwajiwe imyenda, kunguno nuweyi agagaleka amiito agabhubhi uyita gawiza aho olangwa inhungwa ijawiza na bhabyaji bhakwe, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ozwajiwe ngob’o.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya bhubhalanga nhungwa jawiza abhanhu bhabho, bho gujikalana chiza inhungwa jinijo abhoyi bhenikili umuwikaji bhobho, kugiki bhadule kujilela chiza ikaya jabho, umubhulamu bhobho.

Kutoka 20:12.

Kutoka 28:1-5.

Hekima ya Sulemaini 7:1-4.

KISWAHILI: AMEVALISHWA NGUO.

Chanzo cha msemo huo chaangalia uvalishwaji wa nguo wa mtu fulani. Zamani watu walikuwa wakiishi uchi. Walikuwa akiitwa kuvalishwa nguo za kuwafaa walipofikia umri wa kuoa au kuolewa ili kuonesha kwamba, wanaweza kuwa na mji wao. Ndiyo maana watu walisema juu ya yule aliyepitia hatua hiyo kwamba, “amevalishwa nguo.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ameyashikilia vizuri malezi ya kuacha matendo maovu kwa kutenda mema, aliyoyapokea kutoka kwa wazazi au wakubwa wake, katika maisha yake. Mtu huyo, hufundishwa vizuri maadili mema na wazazi wake mpaga akazoea kuishi vizuri na watu kwa kuwasaidia noa katika kutenda mema kwa sababu ya unyenyekevu wake. Yeye hufaulu kuilea vyema familia yake kwa sababu ya kuyaishi vizuri maadili yake hayo mema, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyekuwa akiishi uchi mpaga alipofikia umri wa kuoa au kuolewa ndipo akavalishwa nguo, kwa sababu naye aliyaacha matendo maovu alipofundishwa maadili mema na mazazi wake, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “amevalishwa nguo.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwalea katika maadali mema watu wao, kwa kuyaishi vizuri maadali hayo wao wenyewe, ili waweze kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.

Kutoka 20:12.

Kutoka 28:1-5.

Hekima ya Sulemaini 7:1-4.

ENGLISH: HE/SHE HAS BEEN DRESSED IN CLOTHES.

The foundation of the above saying looks at someone’s clothing. In the past some people lived naked. They were called to dress appropriately when they reached at the age of marriage to show that, they have grown to maturity. That is why people told one of those who went through such process that, “he/she has been dressed in clothes.”

This saying is compared to a person who has held to the pattern of abstinence from evil by doing good deeds, which he has received from his parents in his lifetime. This man is well-educated and well-mannered, and his parents are accustomed to living with people who help him to do good deeds because of his humility. He manages to raise his family well because of his good deeds ​​in his life.

This man resembles the one who was living naked until when he grew old enough to get married and then got dressed, because he also stopped doing bad things when he was taught good manners by his parents in his life. That is why people say to him that, “he has been dressed in clothes.”

This saying teaches people on how to raise good manners, by living well according to the values of the societies, so that they can better raise their families in their lives.

Exodus 20:12.

Exodus 28: 1-5.

The Wisdom of Solomon 7: 1-4.

young-922705__480

man-2359586__480

black-man-4699502__480

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.