Ikalagu yiniyo, ihoyelile ng’wengeji go ng’wa munhu uyo gugalenganijiyagwa na nsaji. Ung’wengeji gunuyo, gugang’wigemejaga ung’winikili ogo umo alitila, kunguno guli mbeho iyo igabhejiagwa na mili gokwe, umunhu ng’wunuyo. Ugoyi gub’izile guti nsaji o ng’winikili mili, kunguno gudadulile ugwiganika bho bhugagaja. Hunagwene ung’winikili ogo agayombaga giki, “aho nalihambila unti nu nsaji one onilindilaga – ng’wengeji.”
Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumamaga milimo yakwe bho gwigemeja bhanhu bhangi, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, adiganikaga bho gutumila bhugagaja umubhutumami bhokwe, nu mukikalile kakwe, kunguno ya gutumama milimo yakwe bho gung’wigemeja munhu ungi na gwikala bho gung’wigemeja ungi chiniko. Uweyi agadumaga uguyibheja chiza ikaya yakwe kunguno ya gwigemeja bhanhu bhangi bho nduhu ugwiganika nyagagaja, umuwikaji bhokwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu ng’wengeji uyo gugigemeja umo alitila ung’winikili ogo, kunguno nu weyi agigemeja bhanhu bhangi bho nduhu ugwiganika nyagagaja, umubhutumami nu mukikalile kakwe kenako. Hunagwene uyo agang’wigemejaga agayombaga giki, “aho nalihambila unti nu nsaji one onilindilaga – ng’wengeleji.”
Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gutumama milimo yabho bho gwiganika na bhugagaja bhobho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.
1Wakorintho 15:39-44.
KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.
PALE NINAPOPANDIA MTI NA MWEHU WANGU AMENISUBIRI – KIVULI.
Kitendawili hicho, huongelea juu ya kivuli cha mtu kinachofananishwa na mwehu. Kivuli hicho, humuiga anachofanya mwenye nacho, kwa sababu ni kivuli cha mwili wake, mtu huyo. Chenyewe hulinganishwa na mwehu kwa sababu ya kutokuweza kufikiri kibunifu. Ndiyo maana mwenye kivuli hicho husema, “pale ninapopandia mti na mwehu wangu amenisubiri – Kivuli.”
Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya kazi zake kwa kuwaiga wengine bila kutumia ubunifu wake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa hafikiri kibunifu katika maisha yake na utendaji wake, kwa sababu ya kuwaiga watu wengine bila kuutumia ubunifu wake. Yeye hushindwa kuiendeleza vizuri familia yake, kwa sababu ya kuwaiga wengine hao katika kazi zake, na maisha yake, bila kufikiri kibunifu, maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na kivuli kinachomuiga mwenye nacho, kwa sababu naye hufanya kazi zake kwa kuwaiga wengine bila kufikiri kwa kutumia ubunifu wake, katika maisha yake. Ndiyo maana yule anayemuiga husema kwamba, “pale ninapopandia mti na mwehu wangu amenisubiri – Kivuli.”
Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kufanya kazi zao kwa kufikiri kibunifu, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.
1Wakorintho 15:39-44.
ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.
WHEREVER I PLANT A TREE AND MY CRAZY FRIEND IS WAITING FOR ME – A SHADOW.
This riddle speaks about a shadow of a man. This shadow impersonates what the possessor does, because it is a reflector of his body. In itself it is compared to crazy friend because of its inability to think creatively. That is why the owner of it says that, “wherever I plant a tree and my crazy friend is waiting for me – a shadow.”
This riddle is equaled to a man who does his work by imitating others without using his creative thinking in life. This man does not think creatively in his life, because he imitates other people without using his thinking capacity. He fails to develop well his family, because of imitating others in his daily economic activities without having a creative thinking in life.
This person resembles the shadow of a person that imitates the possessor, because he also does his works by imitating others without thinking creatively in his life. That is why the one who imitates him says that, “Wherever I plant a tree and my crazy friend is waiting for me – a shadow.”
This riddle imparts in people a clue on how to do their work with creative thinking, so that they can achieve more successes in their family lives.
1 Corinthians 15: 39-44
Sukuma Legacy Project (as of 19 November, 2021)
1,000 Sukuma stories/proverbs.
1,000 Swahili translations of the Sukuma stories/proverbs.
960 English translated stories.
1,000 Photos.
LikeLike