773. NPINI NDITO NHONGE MBUPU.

Akahayile kenako, kingilile kubhanhu abho bhihalalikaga higulya ya bhudito bho npini na nhonge. Uumo obho agayomba, “unpini guli ndito gukila nhonge kunguno gugalimaga mpaka japya jiliwa na bhozugwa ubhugali umo jigigelaga inhonge.” Ung’wiye agashosha, “inonge ili ndito kunguno unpini gugalimaga kunguno ya kupandika jiliwa ijo jigabhejiyagwa nhonge.”

Abhangi bhagayomba, “unpini guli ndito kukila inhonge kunguno bhuli ng’wene adulile gubheja nhonge uigulya, alugulima bhagehu abho bhadulile.” Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “npini ndito nhonge mbupu.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alingokolo ugulima umukikalile kakwe. Umunhu ung’wunuyo, agabhonaga jidimu ugulima kunguno ya bhugokolo bhobho.

Aliyo lulu, ulu lyushika ilikanza ilyagulya uweyi agabhizaga ogwandya uguja ugujulya. Uweyi adumile ugutumama imilimo imidimu, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “npini ndito nhonge mbupu.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya guleka bhugokolo bho gwigulambija gutumama milimo yabho, umukikalile kabho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Mithali 14:23.

Waebrania 6:12.

Mathayo 11:28.

KISWAHILI: MPINI MZITO TONGE JEPESI.

Msemo huo ulitokea kwa watu waliokuwa wakibishana juu ya uzito wa mpini na tonge. Mmoja wao alisema, “mpini ni mzito kuliko tonge kwa sababu huwa unalima vyakula vinaiva na kupata tonge.” Mwenzake alijibu, “tonge ni nzito kwa sababu umpini hulima ili kupata chakula ambacho hutengenezwa tonge.”

Wengine walisema, “mpini ni mzito kuliko tonge kwa sababu kila mmoja aweza kuchukua tonge na kula, lakini wanaoweza kulima ni wachache.” Ndiyo maana watu husema kwamba, “mpini ni mzito tonge jepesi.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni mvivu kulima, katika maisha yake. Mtu huyo, hujisikia vigumu kushika jembe na kuanza kulima kwa sababu ya uvivu wake.

Lakini ukukifika wakati wa kula yeye huwa wa kwanza kwenda kula. Yeye pia hawezi kufanya kazi ngumu, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “mpini mzito tonge jepesi.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuacha uvivu kwa kujibidisha kufanya kazi zao vizuri, katika maisha yao, ili waweze kupata mafanikio mengi zaidi maishani mwao.

Mithali 14:23.

Waebrania 6:12.

Mathayo 11:28.

hoes

hoes2

food1

ENGLISH: A HANDLE IS HEAVIER THAN A STIFF PORRIDGE PIECE (SPENDING IS EASIER THAN EARNING).

The overhead saying originated from people who were arguing about a weight of a handle and that of a stiff porridge piece. One of them said, “The handle is heavier than a piece of the stiff porridge because one uses a handle to grow food crops which become lump of stiff porridge piece.” His companion replied, “A lump is heavier because of providing people who eat it with strengths for cultivating crops.”

Some said, “The handle is heavier than the lump because everyone can take the lump and eat, but few can cultivate by using a handle.” That is why people say, “a handle is heavy than a stiff porridge piece (spending is easier than earning).”

This saying is likened to a man who is lazy to cultivate, in his life. Such man feels difficult to hold a hoe and start cultivating because of his laziness.

But when it comes time to eat he becomes the first to go and eat. He cannot work hard, in his life. That is why people say to him, “a handle is heavier than a stiff porridge piece (spending is easier than earning).”

This saying, teaches people on how to stop being lazy by striving to do their jobs well, in their lives, so that they can achieve more success in their lives.

Proverbs 14:23.

Hebrews 6:12.

Matthew 11:28.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.