Imbuki ya lusumo lunulo, ilolile lugega ulo jili jiseme ja kubhukija bhusiga wingi aliyo jilidololo. Umunhu ulu ujibhona ijiseme jinijo adulile gujidalaha, kunguno ya bhudoo bhojo. Hunagwene abhanhu ulu bhajibhona jabhuchaka bhusiga wingi, bhagayombaga giki, “ujilina ngimbi jikokalaga lugega.”
Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhadalahaga abhanhu kunguno ya bhudoo bho mimili yabho. Umungu ng’wunuyo, adadebhile igiki umunhu adulile gubhiza na mili mtale aliyo adumile ugutumama imilimo umukikalile kakwe. Uweyi agakunywaga noyi ulu ubhona munhu ndoo alitumama nimo ntale gulebha uyo otumamaga untale.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nabho bhagajidalagha ijigabu ijidoo ubhogujilola aliyo jigabhuchaga bhusiga wingi, kunguno nuweyi agabhadalagaha abhanhu abho bhalina mimili midoo, aliyo bhagatumamaga milimo mitale. Hunagwene agabhawilaga abhanhu giki, “ijilina ngimbi jigokalaga lugega.”
Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya kuleka gubhadalaga abhanhu kunguno ya mimili yabho midoo, kugiki bhadule gutumama milimo yabho chiza na kupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.
Mathayo 13:53-58.
Marko 6:39-44.
Luka 9:34-36.
KISWAHILI: KILICHO NA MWENYE MIUJIZA HUJAA KAPU.
Chanzo cha methali hiyo, chaangalia kikapu ambacho ni chombo ja kubebea mtama mwingi ingawa chenyewe ni kidodo. Chombo hicho, mtu akikiona aweza kukidharau, kwa sababu ya udogo wake. Ndiyo maana watu wakikiona kimeba mtama mwingi, husema kwamba, “kilicho na mwenye miujiza hujaa kapu.”
Methali hiyo, hulinganisha kwa mtu yule ambaye huwadharau watu kwa sababu ya udogo wa miili yao. Mtu huyo, hafahamu kwamba, mtu aweza kuwa na mwili mkubwa lakini akawa hawezi kufanya kazi, katika maisha yake. Yeye hushangaa sana akiona mtu mdogo anafanya kazi kubwa kupita ile aliyoifanya mtu mkubwa.
Mtu huyo, hufanana na wale waliokidharau kikapu kile kidogo kilichobeba mtama mwingi, kwa sababu naye huwadharau watu wenye miili mdogo lakini hufanya kazi kubwa. Ndiyo maana watu huwaambia kwamba, “klicho na mwenye miujiza hujaa kapu.”
Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuacha kuwadharau watu kwa sababu ya miili yao midogo, ili waweze kuyatekeleza vizuri majukumu yao, na kupata maendeleo mengi, maishani mwao.
Mathayo 13:53-58.
Marko 6:39-44.
Luka 9:34-36.
ENGLISH: WHAT HAS A MIRACLE FILLS THE BASKET.
The cradle of the proverb looks at the basket which is a container for carrying a lot of sorghum even though it is small. The vessel, if one sees it, may despise it, because of its small size. That is why when people see it carrying a lot of sorghum, they say, “what has a miracle fills the basket.”
The proverb, however, compares the person who despises people because of their small size. Such person is unaware that someone may have a large body but is unable to function, in his or her life. He is very surprised to see a young boy does a bigger job than what a big man did.
That person is like those who despised the small basket that contained the large amount of sorghum, because he also despises people who are small but do a great job. That is why people say to them, “what has a miracle fills the basket.”
This proverb teaches people to stop despising people because of their small bodies, so that they can better fulfill their responsibilities enough to get more progress, in their lives.
Matthew 13: 53-58.
Mark 6: 39-44.
Luke 9: 34-36.