764. NHUNGO IGAGAYIWA NKILA KULWA GULALA.

Imbuki ya lusumo lunulo, ingilile kubhulaji bho nhungo ubho bhugenheleja gugaiwa nkila. Inhungo yiniyo, igabhizaga ndimu iyo ili na tulo ninge noyi. Itulo jinijo jigayenheleja gugayiwa unkila kunguno ya gulala goyo mpaka yugakeleja ugumisha. Aho yamisha yusanga abhichayo bhaisolaga pye iyose, iyoyi yigagayiwa. Ubhulagi bhunubho bhugenheleja nose indimu yiniyo, yugaiwa unkila. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “nhungo igagayiwa nkila kulwa gulala.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa na munhu uyo alingokolo ugutumama imilimo yakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agikalaga alalile nulu welaga ubhujibu, kunguno agadumaga uguyitumama imilimo yakwe. Uweyi ilikanza ilya gutumama imilimo agikalaga alalile iki umili gokwe gunhebhile kunguno ya bhugokolo bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni nhungo iyo igagayiwa nkila kunguno ya gulala goyo, kunguno nuweyi agagayiyagwa ijiliwa kunguno ya tulo jakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “nhungo igagayiwa nkila kulwa gulala.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya guleka bhugokolo bho gutumama milimo umukikalile kabho, kugiki bhadule gwigulambija gutumama milimo yabho iyo idulile gubhenhela matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

KISWAHILI: FUNGO ALIUKOSA MKIA KWA KULALA.

Chanzo cha methali hiyo, kilianzia kwenye ulalaji wa Fungo uliomsababishia kukosa mkia. Fungo ni mnyama mwenye usingizi mwingi sana. Usingizi huo ulimpelekea kukosa mkia kwa sababu ya kulala kwake mpaka akachelewa kuamka. Alipoamka alikuta wenzake wameichukua mikia yote, yeye akakosa. Ulalaji wake huo wenye usingizi mzito ulisababisha akose mkia. Ndiyo maana watu husema kwamba, “Fungo aliukosa mkia kwa kulala.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni mvivu kufanya kazi, katika maisha yake. Mtu huyo, huwa anautumia muda wake kwa kulala hata kama kumekucha. Hali hiyo humpelekea kushindwa kufanya kazi na kukosa chakula mara kwa mara katika familia yake. Yeye huutumia muda wa kufanya kazi kwa kulala tu, kwa vile mwili wake humzidi kwa sababu ya uzembe wake.

Mtu huyo, hufanana na yule Fungo aliyekosa mkia kwa sababu ya kulala kwake, kwa sababu naye hukosa chakula na mahitaji mengine kwa sababu ya uvivu wake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “Fungo aliukosa mkia kwa kulala.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuacha uzembe wa kufanya kazi katika maisha yao, ili waweze kuongeza bidii za kufanya kazi ziwezazo kuwaletea maendeleo maishani mwao.

marmot-1

marmot-fungo

ENGLISH: A CIVET CAT MISSED A TAIL BECAUSE OF SLEEPING.

The above proverb started from a sleep of a marmot which caused it to miss a tail. A Marmot is a very sleepy animal. Its sleep caused it to blunder the tail because of sleeping until late waking up. When he woke up he found its companions had taken all tails. Its deep sleep caused it to stay without tail. That is why people say, “a Civet cat missed a tail because of sleeping.”

This proverb is compared to a person who is lazy, in life. Such person spends most of his or her time by sleeping even when it is getting late. Such situation led him or her to arrive late in the working areas.  He stays without having enough food to feed his/her family members because of spending most of his working time just for sleeping. His/her body overloads him/her because of such laziness.

Such person is like the Marmot that missed the tail because of its sleep, because he/she also lacks food and other necessities because of his/her laziness. That is why people say to that person that, “a Civet cat missed a tail because of sleeping.”

This proverb teaches people about stopping laziness during the working time in their lives, so that they can become hard workers enough to get progress in their families.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.