763. SUBHI IBHILI JIDATAJIAGWA MBULI.

Ulusumo lunulo, lwandija ku nguzu ja subhi ibhili ijo jadimaga mbuli. Isubhi jinijo jigabhizaga na nguzu ijagudulaga gulema ugutajiwa imbuli iyo jayidimaga. Jigalunganijaga inguzu jajo mpaga jayichala imbuli yiniyo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “subhi ibhili jidatajiagwa mbuli.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kubhanhu abho bhali na bhumo bho gwiyambilija uguitumama imilimo yabho, umuwikaji bhobho. Abhanhu bhenabho, bhilungile chiza umukikalile kabho, kunguno bhagiyambilija umukatumamile kabho pye amakanza gabho. Abhoyi bhagadulaga uguginja amakoye gabho, bho gutumama kihamo, umuwikaji bhobho.

Abhanhu bhenabho, bhagikolaga ni subhi ijibhili ijo jadimaga mbuli, umo jigalemelaga ugutajiwa imbuli iyo jayidimaga, kunguno na bhoyi bhagatumamaga milimo kihayo na bho nguzu mpaka bhayimala chiza. Hunagwene abhanhu bhenebho bhagayombaga giki, “subhi ibhili jidatajiagwa mbuli.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gujilumanya inguzu jabho bho gutumama kihamo imilimo yabho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Waebrania 11:39.

KISWAHILI: CHUI WAWILI HAWANYANG’ANYWI MBUZI.

Methali hiyo, ilianzia kwenye nguvu za chui wawili waliokamata mbuzi. Chui hao huwa na nguvu ambazo huwasaidia hukataa kunyang’anywa mbuzi waliyemkamata. Wao huutumia umoja wao huo katika kumchukua mbuzi huyo bila kuzuiliwa. Ndiyo maana watu husema kwamba, “chui wawili hawanyag’anywi mbuzi.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa watu walio na umoja wa kusaidiana katika kutekeleza majukumu yao, maishani mwao. Watu hao, huwa wameungana vizuri, katika kutatua matatizo yao, kwa sababu ya kusaidiana kwao wakati wote. Wao huweza kuyaondoa mapema matatizo yao, kwa kuutumia umoja wao huo katika kutekeleza majukumu yao.

Watu hao, hufanana na chui wawili waliokamata mbuzi, wanavyokataa kunyang’anywa mbuzi waliyemkamata, kwa sababu na wao hufanya kazi kwa umoja na kwa nguvu mpaka wanazimaliza. Ndiyo maana watu hao husema kwamba, “chui wawili hawanyag’anywi mbuzi.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuunganisha nguvu zao katika kufanya kazi zao, na kutatua matatuzo yao, ili waweze kupata maendeleo mengi zaidi, maishani mwao.

Waebrania 11:39.

leopards subhi

goatling

ENGLISH: IT IS DIFFICULT TO SNATCH A GOAT FROM TWO LEOPARDS.

This proverb is based on the capability of two leopards which caught a goat. They are so powerful to the point of resisting anyone who tries to take such goat away from them. They use their unity to hold the goat unhindered. That is why people say, “it is difficult to snatch a goat from two leopards.”

The proverb is compared to people who are united enough to help each other in carrying out their responsibilities, in their lives. These people are well-connected, in solving their problems, because of their mutual unity. They can solve their problems early, by using their unity in carrying out their responsibilities.

These people are like the two leopards which captured a goat to point of refusing to be robbed of their goat by anyone, because they also work in unity and strength until they finish their responsibilities. That is why the people tell them that, “it is difficult to snatch a goat from two leopards.”

This proverb imparts in people an idea of putting their unity into action, enough to solve their problems, so that they can make more progresses in their lives.

Hebrews 11:39.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.