186. NG’WIZA SELE

Research sponsored by: Don Sybertz, with special thanks to Rev Joe Healey (African Proverbs, Sayings and Stories)

Imbuki ya kahayile kenako ilolile munhu uyo agizaga bho nduhu ugumuwila ab’ahakaya iyo omugenihaga. Umunhu ng’wunuyo agab’ifumbukiza abho alib’ageniha. Kunguno yiniyo, agitanagwa ‘ng’wiza sele’ na abhanhu bhenabho abho obhagenihaga.

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agikalaga nzugurumatu bhuli makanza umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agabhizaga wib’egelejije umubhutumami bho milimo yakwe pye bhuli makanza. Gashinaga lulu, yigelelilwe abhanhu bhab’ize nzugurumatu bhuli makanza umuwikaji b’ob’o.

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gwikala nzurugumatu umubhutumami bho milimo yabho pye bhuli makanza, umuwikaji b’ob’o. Imilimo yiniyo ilikihamo na gwandya gulima aha mbula ja gwandya, bho nduhu ugukeleja. Ubhulimi bhunubho bhugitanagwa, bhulimi wigembe lya gwandya, kugiki bhadule abhanhu bhenabho ugupandika ijiliwa ijakutumila pye amakanza aganduhu mbula.

Ukulwande lo bhatumami bha milimo ya muofisi, yigelelilwe bhanguhe uguja ukumilimo yabho yiniyo. Pye na bhasuluja, nabho bhanguhe uguja ukumilimo yabho, kihamo na bhalab’iji bha mitugo, nabho bhanguhe ugujichilula imitumo jabho. Umukajile kenako, abhanhu bhenabho bhagudula ugujibheja chiza ikaya jabho.

Ijinagongeja, akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gwikala bhib’egelejije pye bhuli makanza umugubhasumbila abhageni b’ab’o, kugiki bhadizub’isanganija ulu bhalize. Yigelelilwe abhanhu bhenab’o bhadimile chiza ugwikala munhungwa ja wiza, umuwikaji b’ob’o na bhanhu, kunguno, bhadadeb’ile ulushigu ni saa iyagwinga gobho ukuwelelo.

Mathayo 25:1-13.

KISWAHILI: AJAYE KIMYA

Chanzo cha msemo huo chaangalia mtu ajaye bila kuwataarifu ninyi mlioko kwenye familia anayoitembelea. Mtu huyo huwashitukiza wale aliowatembelea. Kwa sababu hiyo, watu hayo aliowafikia bila taarifa, humwita, ‘ajaye kimya.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu ambaye huwa yuko tayari kutekeleza majukumu yake wakati wowote katika maisha yake. Mtu huyo huwa yuko tayari katika utendaji wa kazi zake, na kwa muda wote. Kumbe basi, yafaaa watu wawe na busara hiyo ya kuwa tayari kufanya kazi au kupokea wageni wakati wowote maishani mwao.

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na busara ya kuwa tayari kuyatekeleza majukumu yao bila kukawia. Majukumu hayo ni pamoja na kuwahi kulima kwenye mvua za kwanza, yaani kulima kilimo cha kwanza, kwa wakulima, ili waweze kupata mavuno ya kutosha kutumia katika familia zao kwa muda wote wa ukame.

Kwa upande wa wale wanaofanya kazi za maofisini, watakiwa kuwahi mapema kwenda kufungua ofisi zao, hali kadhalika na wale wanaofanya biashara. Wachungaji nao watakiwa kuwahi kupeleka mifugo yao kwenye sehemu za kuchungia. Utayari huo utawawezesa watu hao kuziendeleza vizuri familia zao.

Zaidi ya hayo, msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa tayari kila wakati kuwapokea wageni wao, ili wajapo wasije wakawashitukiza. Yafaa watu hao wajijengee tabia njema ya kuishi vizuri na watu, maishani mwao, kwa sababu hawajui siku wala saa ya kuaga kwao dunia.

Mathayo 25:1-13.

mothers-love

ENGLISH: ONE WHO COMES SILENTLY

The overhead saying is about people who visit others without giving prior notice, something that startles their hosts. A person who goes to a place without informing his/her would-be host is referred to as “He who comes silently.”

The saying is likened to someone who is ready to carry out his/her duties at any particular time. It is actually imperative for people to be wise enough to work or receive visitors any time.

The saying teaches people about the wisdom of staying ready and prepared all the time in order that they can carry out their duties without delay. Such duties may include cultivation of their farms at the beginning of the rainy season, that is, in good time to guarantee a successful yield that can sustain their families through the dry season.

As for pastoralists, they are required to drive their livestock to the pastures as early as possible. Office workers and business people on their part ought to commence their operations quite early too in the day. Such alertness will enable people to improve their family situations.

Additionally, the saying teaches people about readiness to receive their guests at all times, without being embarrassed. They also need to develop a harmonious co-existence with others for they know not the day or the hour of their demise.

Matthew 25: 1-13.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.