181. JA MUNDA JIDI NA MHOMELE

Research sponsored by: Don Sybertz, with special thanks to Rev Joe Healey (African Proverbs, Sayings and Stories)

Imbuki ya lusumo lunulo ililola nyama ja munda giti: itima, nholo, ihela, na mg’higo. Inyama jinijo jidakomelagwa kunguno jigab’izaga jilijangu ugub’ipa na jidazunije ugutandwa. Jigazugagwa  wangu wangu haho jitali ugub’ipa.

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo aganguhaga uguitumama imilimo yakwe. Umunhu ng’wunuyo agab’izaga adeb’ile ugujib’igeja milimo  ijikolo jakwe haho jitali ugub’ipa. Igelelilwe abhanhu bhaitumame wangu wangu imilimo yabho kugiki bhadule uguimala bho nduhu ugukeleja.

Ijinagongeja, igelelilwe bhuli munhu agadeb’e amakanza agagujitumamila chiza ijikolo jakwe haho jidinamipila, kunguno bhuli jikolo jigabhizaga na makanza gajo agajitumila.

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gwanguha ugujutumama imilimo yabho na kuitumama chiza, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi agagudula gub’apandikila jiliwa, myenda na numba.

Igelelilwe abhanhu bhajilanije chiza na makanza guti gulima gwandya b’ogwanguha haho amaswa gatali uguzwa. Aliyo uyo alalindile, agub’iza okelejaga ugulima na akalimile kakwe kagub’iza kamakoye.

Ijinagongeja, ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gudebha ugujitumila chiza ijikolo ijo bhalijipandika, haho gadinashiga amakanza agagub’ipa gojo. Igelelilwe gujib’egeja milimo bho gujitumila gwandya ijo jigabholaga wangu, haho jitali ugwandya ugubhola.

KISWAHILI: NYAMA ZA TUMBONI HAZIBANIKWI.

Chanzo cha methali hiyo chaangalia nyama za ndani kama vile: maini, bandama, moyo na figo. Nyama hizo huwa hazibanikwi kwa sababu huharibika mapema. Pia ni laini mno kuzikata kwa mstali utakiwao katika kuzibanika. Huwa zinaliwa mapema baada ya mnyama kuchinjwa.

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu ambaye huwahi kuzifanya kazi zake na kuzimaliza ndani ya wakati unaotakiwa kufanyika kwake. Mtu huyo huwa na ufahamu juu ya kuzifanyia kazi pia mali zake au vitu vyake mapema kabla havijaharibika. Yafaa watu wazifanye kazi zao mapema ili waweze kuzimaliza mapema itakiwavyo.

Zaidi ya hayo, yafaa kila mtu afahamu muda wa kuvitumia vizuri vitu vyake na avitumie kabla hazijaharibika, kwa sababu kila kitu kina muda wake maalumu wa kutumika.

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuwahi kuzifanya kazi zao vizuri ili ziweze kuwapatia mahitaji yao ya kutosha yakiwemo yale ya: kupata chakula, nguo na malazi.

Yafaa watu waendane na muda unaotakiwa katika kuifanya kazi fulani, kama vile kuwahi kulima kabla majani hayajaanza kuota. Lakini mtu akichelewa kufanya hivyo, kazi itakuwa ngumu kiasi cha kumpatia shida mkulima huyo wakati aanzapo kulima.

Zaidi ya hayo, methali hiyo hufundisha watu juu ya kufahamu kuzifanyia kazi vizuri mali zao walizozipata kabla ya muda wake wa kutumika kupita. Yafaa kuvifanyia kazi vitu hivyo kabla hazijaanza kuoza.

2Wakoritho 6:2.

Wagalatia 6:9.

Luka 12:54-56.

Waroma 12:11.

liver

ENGLISH: INNER MEAT IS NEVER DRIED

The overhead proverb relates to the meat that is constituted by the inner parts of an animal, such as liver, heart and kidneys. Those meats are usually not dried because they go bad fast. They are also too tender to allow for effective preparation to dry. They get rotten almost soon after the animal is slaughtered.

The proverb is likened to a time-conscious person who is able to accomplish his/her duties within set timelines. Such a person possesses the capacity to determine the stock of his/her assets and is able to tell their expiry or use-by date. People need to discharge their duties in good time in order to complete them early enough.

In addition, it is good for everyone to understand how to utilize their property well before they get damaged. This is because everything has its usability period.

Such proverb teaches people on the importance of working diligently so that they can be self-sufficient in terms of basic needs like food, shelter and clothing.

It is imperative for people to move according to proper time schedules in undertaking their duties, for instance cultivation before germination. In case of delay, the farmer finds it rough having to deal with weeds.

Furthermore, the proverb instills in people the value of good work ethics – like how to exploit their assets before they are time-barred. Such assets ought to be exploited before they start to rot.

2 Corinthians 6: 2.

Galatians 6: 9.africa-ox plough

Luke 12: 54-56.

Romans 12:11.

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.