45. Ntwe Lwande

Collected by: Don Sybertz, Scanned by: Cephas Yao Agbemenu

With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)

Ntwe (Kichwa) wali na bhazunaye bhabhili. Aliyo bhazunaye bhali bhatantogagwa nkulu wabho, angu ali mi, ihanga lyakwe. (wapi atabhelaga) aliyo kichwa wabhakubhijaga uko bhajile gwa gwa gwa. Nose bhakayuntoloka ulu bhabhuka kujuyela.

Aliyo uko bhashikaga bhunsanga aliho. Aliyo bhali bhantolokaga, bhujinjimala. Ikabhiza giko shiku ningi. Lushiku lumo bhakabhuka kujulunja bhaniki.

Aliyo bhakagubhisa gete mhayo gwenuyo azitumana Kichwa. Bhakabhuka bhuja mpaka kushika kubhaniki. Aliyo aho bhalitengelwa masumbi, bhumona Kichwa mukaya, ukubhugeni wabho. Bhakakumya no. Aliyo kumpeja bhakaduma bhigasha nang’hwe duhu.

Ikanza lyenilo kaya yubheja shiliwa sha bhageni. Shitadilile shupya, shiliwa jutengwa. Aho bhamala kukalabha, Kichwa umanija giki ung’wikubhi bhaditilijiwagwa bhulogo (bugota) Kichwa ulibhucha ibhakuli lya nyama, ukaliponya hanze.

Ulishosha ulikundikija kitumo yali. Bhazunaye bhandya kunugumbhila bhaliwila. Mbehi ng’wenuyu wita bhuli likubhi, tulile ki lulu. Bhakigasha duhu kuhoya, na jiseme jabho. Nose bhamukaya bhiza kusunda shiseme shinjiwa.

Kiswahili: Kichwa Upande

Kichwa alikuwa na wadogo zake wawili. Lakini wadogo zake walikuwa hawampendi kaka yao. Eti alikuwa mbaya sura yake. Lakini naye Kichwa aliwafuata kule walikokwenda kila wakati.

Mwisho walianza kumtoroka pindi wanapokwenda kutembea. Popote walipokwenda walimkuta yupo. Lakini walikuwa wamemtoroka. Ikawa hivi kwa siku nyingi.

Siku moja walikwenda kuwachumbia wasichana. Kabla ya kwenda huko wale wawili walimficha kabisa Kichwa. Ajabu, walipofika nyumbani kwa wasichana, mara wakamwona Kichwa naye yuko ndani pale.

Walibaki kushangaa tu, na hawakuweza kumfukuza. Chakula cha wageni kiliandaliwa na wenyeji wao. Walikaribishwa kukila. Kabla ya kula Kichwa aligundua kuwa kitoweo kiliwekewa sumu.

Akalibeba lile bakuli na kwenda nalo nje, akamwaga nyama yote. Akarudi akiwa na bakuli tupu. Wadogo zake wakaanza kumnung’unikia,  “Jamaa huyu amemwaga nyama yote nje, sasa tutakulaje bila  kitoweo?” Basi wakawa wamekaa tu wakizungumza bila kula. Mwisho wenye nyumba wakafika kuondoa vile vyombo.

people-one

black-white

 

ENGLISH: THE SIDE-HEADED

The Side Headed had two younger brothers. But his younger brothers did not love him. They claimed that their brother had a badly shaped head. Despite that, the the Side Headed followed them wherever they went.

Finally, they started to avoid him when they were walking. Surprisingly, wherever they went, they found him. They wondered how that happened because they had escaped him. This happened for many days.

One day, they went to a distant place to to ask for girls’ hand in marriage. Before they went, the two had kept it completely secret to themselves. They did not tell the Side Headed. Surprisingly, when they got to the girls’ home, they immediately saw the Side Headed who was also there.

They were surprised and they wondered how he managed to know. They could not avoid him. Then the visitors’ food was prepared by their hosts. They were invited to eat. Before they started eating, the Sided Headed found that the stew had been poisoned.

He carried the bowl and went out with it. He poured all the stew. He returned with an empty bowl. Unknowing what had happened, his younger brothers started whispering toeach other, “This fellow has taken all the stew out, now how will we eat without stew?” They just stared at each other, talking without eating. Finally, the hosts came to remove the containers.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.