14. Yise Twafuma ko

Collected by: Don Sybertz,   Scanned by: Cephas Yao Agbemenu

With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)

Waliho ngosha umo witanagwa Yipilinga. Ngosha ng`wenuyo mukikalile gakwe. Akiyigwa gwandya kusalila. Shitakwilile shiku uja kujumona ng’walimu wa dini. Welelejiwa pye imihayo iyo wabhujaga. Na Wandikwa ubhiza nangwa.

Lyakanoga lyushika ikanza lya bhulangwa. Yipilinga akabhiza njamu mpaga kushika kubhatishiwa ubhiza Rafael. Akabhiza nzunya njamu gete, ni ng’wakwe pye bhandya kusalila. Sha lushiku lumo, Rafael upandika nimo gwa kubokela mhiya ningi no. Akabhiza nwagi na wandwa bhujingi. Wakanoga utola bhakima bhabili ubhiza nabho bhadatu.

Nulu kupanda kwisalila oya, ulu bhamuja abhanhu, “Hama udukasalilaga bhuli?” Nang’hwe wayomba, “Gemagi ning’we, abhise twafumako.” Waja kuwalwa.

Sha lushiku ngosha ng`wenuyo kusata kana gakwe ka nkima uyo walatasalilaga nawe. Bhugema bhugota pye kushika nose gucha. Rafael aho wabhona giko, uja kubhazunya gujulomba bhang’walimu bhasome ibada jagunombela ng’wana wakwe abhikwe nyazunya. Aha wabhawila bhatongeji bha Kanisa bhung’wila giki, “Bhabha ubhebhe amalagilo ga Mulungu ukamanile gete.

Ihaha watala wabhiza mpagani. Utola hanze ya ndoa yako, oya nukusalila. Yise tudiza wabhulaga ilisangi ni kanisa nu Mulungu ng’wenikili.

Ngosha ng’wenuyo akashoka kaya wazongaga no. Ng’wana wakwe ubhikwa nyapagani.

Kiswahili: Sisi Tumetokako

Alikuwako mwanamume mmoja alikuwa anaitwa, Yipilinga. Mwanamume  huyo katika maisha yake, alijisikia kusali. Hazikupita siku, alienda kumwona mwalimu wa dini. Akaelekezwa taratibu zote  alizokuwa  anaulizia. Akaandikishwa akawa mwanafunzi.

Baadaye ulifika wakati wa mafundisho. Yipilinga akawa imara mpaka kufikia muda wa kubatizwa. Akaitwa Rafaeli. Akawa mkristu imara na familia yake wakaanza kusali. Siku moja Rafaeli akapata kazi yenye mshahara mkubwa mno. Lakini cha ajabu akawa mlevi na malaya. Baadaye alioa wanawake wawili. Akawa nao watatu.

Tangu pale akawa haendi kanisani, wanapomwuliza watu, kwa nini huendi kusali? Naye anarudisha, “Jaribuni nanyi sisi tumetokako.” Anaenda kwenye pombe.

Siku moja jamaa huyo aliuguliwa na mtoto wake wa mwanamke ambaye hasali. Walijaribu dawa zote wakashindwa. Mwishowe mtoto akafariki. Rafael alipoona hivyo akaenda kwa wakristu kuomba walimu wasome ibada ya mazishi ya kumwombea mtoto wake ili azikwe kikristu.

Alipowaambia viongozi  wa Kanisa, wakamwambia kwamba, “Wewe unazijua amri za Kanisa, sasa hivi umeasi kusali. Umekuwa mpagani. Umeoa nje ya ndoa na kuacha kusali. Sisi hatuendi maana umevunja muungano na Mungu wewe mwenyewe.

Rafael  akarudi nyumbani akiwa na huzuni sana. Mtoto huyo akazikwa kipagani.

ENGLISH: WE LEFT OUT FROM THERE

There was one man who was called, Yipilinga. The man in his life, felt that he prayed. Not long ago, he went to see a religious teacher. He was guided by all the procedures he was asking for. He was enrolled and became a student.people-913778__340

Later it came time of teaching. The Yipilinga became strong until he got baptized. He was called Rafael. He became a strong Christian and his family began to pray. One day Rafael earned a very rewarding job. But he became a drunkard with a womanizer. Later he married two women. He had three.

Since he did not attend church, when they asked people, why do you not pray? He replies, “Try it with we left out from there.” He goes to alcohol.

One day the relative was kidnapped by her daughter-in-law. They tried all the drugs they failed. Eventually the baby died. When Rafael saw that, he went to Christians to ask the teachers to read the funeral ceremony to pray for his child to be Christian.

When he told the church leaders, they told him, “You know the orders of the Church, now you have begun to pray. You have been a pagan. You are out of wedlock and stop praying. We do not go because you have broken the union with God yourself.

Rafael returned home feeling very sad. The baby was buried as a pagan.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.