15. Jigano Ja Bhaniki Bhagaja Gujusena Ng`hwi- Sanjo

Collected by: Don Sybertz,   Scanned by: Cephas Yao Agbemenu

With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)

Bhaliho bhaniki bhadatu bhagaja gujusena ng’hwi ng’wipolu. Aho bhashika ung’wipolu bhugabhona mang’ong’oli gina magi. Ung`waniki umo oho ulilomba ligi. Lyung’wila, “Nindage aligunuma, nindage aligunuma”. Lyubhita lijile duhu, lingi nalyo ulilomba lyung’wila, “Nindage aligunuma, nindage aligunuma”. Lyubhita lijile nalyo.

Liza lingi lya kadatu ulilomba, lyung’winha iligi, ng`waniki ung’ula ashokile kaya gujulitula iligi nagulikundikija nungu. Aho olikundikija omanulilola ilugiki lyalalukaga.

Lushiku lumo ohayulilola usanga lyatandukaga, nilyo lyafunyaga ng’wana ng’waniki. Ng’waniki ng’wenuyo agaaluka nose bhiza bhakwilima. Bhakwilima bhenabho bhaginhwa minzi bhoga. Aho bhoga ng`waniki ujila maguta guli mamaye winhwa. Aho winhwa uhaya mado.

Ng`waniki unomba hangi umamaye amaguta winhwa, uhaya mado. Ng’waniki wifugula uja mashimbe. Mamaye wandya kung’witana, ng’wana onhanda ng`waka yii, wigungu, wigungu ndindage, ajile duhu.

Ung`witana hangi umamaye, ng’wana onhanda ng’waka yii, Wigungu Wigungu ndindage, nene nading’ong’oli yii, ndindage, umamha yii, ndindage. Ung`waniki uzwa bhoya. Wandya gulala ulolela mang’ong’oli ugisanja uma ng’ong’oli miye.

Kiswahili: Hadithi Ya Wasichana Walioenda kukata Kuni- Sanjo

Walikuwepo wasichana watatu walioenda kukata kuni porini. Walipofika porini waliona Ng’ong’oli wana mayai. Msichana mmoja wapo aliliomba yai.

Ndege yule alimwambia, “msubiri yuko nyuma, msubiri yuko nyuma.” Ndege yule alipita akiendelea na safari yake tu. Alimuomba ndege mwingine, akamwambia, “Msubiri yuko nyuma, msubiri yuko nyuma.” Naye akapita akiendelea na safari yake.

Akaja ndege mwingine wa tatu, alimuomba, akampa yai. Msichana huyo akaanza safari yake ya kurudi nyumbani kwenda kuliweka yai na kulifunika chungu. Alipolifunika alikuwa akiliangalia ili kuona kama limekuwa jekundu.

Siku moja alipoliangalia alikuta limepasuka, tena limetoa mtoto msichana. Msichana huyo alikua mwishowe wakaja watu wa kumuoa. Waoaji au wakwilima hao walipewa maji wakaoga. Walipooga msichana alifuata mafuta kwa mama yake akapewa. Alipopewa alisema madogo au machache.

Msichana alimuomba tena mama yake akapewa, akasema machache. Msichana alizila akaenda bila kuolewa. Mama yake akaanza kumuita, “mtoto uliyemfuata Ng’waka yii, utukutu, utukutu nisubiri.” Yeye akiendelea kwenda tu.

Akamwita tena bibi yake, “mtoto uliyemfuata Ng’waka yii, nisubiri, umamha yii, nisubiri.” Msichana yule, aliota manyoya. Akaanza kuruka akayaona kwa mbali mang’ong’oli akaenda kujichanganya na ng’ong’oli menzake.

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.