16. Jigano Ja Ng’wa Maria

Collected by: Don Sybertz,   Scanned by: Cephas Yao Agbemenu

With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)

Waliho munhu umo witanagwa Maria. Mayu ng’wenuyo walimani gete wa mihayo bhuli chalo, wali wimanile imihayo ya kwene.

Sha lushiku lumo, mayu ng’wenuyo agalisanya witoji bho bhanhu. Aho wabhalisanya, mihayo yeniyo ikabhasola na bhangi. Kunguno yakwe. Ali nguno bhuli ng’wene wayombaga. “Nawilagwa na Maria umhayo uyu.”

Aliyo aha waja uMaria ukubhuyangu wa mihayo yiniyo, ikanemela, kushika nose umana hape gashi uwei alina bhuhubhi bho guja ulisanya bhanhu. Hambunu aha wamana giki aling’hubhi akabhuka guja kuli badili kujuhungama.

Aha washika  halibadili, ujihaya pye ishibi shakwe. Habhutongi wisumbi lya jisa.  Aliyo aha wajiyomba pye akawilwa achole ngoko. Na ng’hana ugichola wipandika. Wiyenha aha libadili.

Hambunu badili ung’wila Maria giki, “ Itonege pye ubhoya, ulu wamala, uje ubhubhibha ung’wigunguli lyenilo.” Na akabhibha ng’hana ubhoya wenubho. Na uja mpaga kuli badili ukang’wila giki namala. Hambunu badili ung’wila hangi giki, “Jaga ukabhusolele ubhoya wenubo pye ubhutang’hanye.” Agaja ukabhusolela kwike ubhuduma ukubhumala.

Ushoka aliyo nasolela bhugehu, naduma ukubhutanganhya pye. Badili  uhaya cheniko lulu, na mamihayo Maria.  Jilambu ugugamana pye. Ni haha lumbagwa shibhi shako, oye ukuduka ulija ulisigana. Ng’hana Maria ulumbwa shibhi shakwe.

Mathayo 5:38-42.

Kiswahili: Hadithi Ya Maria

Alikuwepo mtu mmoja aliyekuwa anaitwa Maria. Mama huyo alikuwa mjuaji sana wa kila jambo. Pia, kila jambo lililokuwa likitokea katika gunguli lolote, au kijiji chochote, alikuwa analifahamu vizuri.

Siku moja, mama uyo aliwagonganisha watu waliokuwa wanaishi maisha ya ndoa. Alipowachonganisha, maneno hayo yaliwachukua wengine kwa sababu   yake. Kwa maana kila mmoja alikuwa anasema “nimeambiwa na Maria jambo hili.”

Lakini Maria alipokwenda kwenye usuruhishi wa maneno hayo, ikamshinda, kufika mwisho akafahamu kwamba, kumbe yeye ndiye mkosaji wa kuwachonganisha watu.

Lakini alipofahamu hivyo, kwamba ni mkosaji alienda hadi kwa Padri ili akaungame. Alipofika pale, akazisema dhambi zake zote, mbele ya kiti cha kitubio. Lakini alipozisema, akaambiwa atafute kuku,  na kweli alitafuta akapata akampeleka kwa Padri.

Padri akamwambia Maria kwamba, atoe manyoya yote, “ukimaliza uende  unayamwaga maeneo yote ya gunguli.” Kweli alifanya hivyo. Alipomaliza akarudi tena hadi kwa padri. Akamjulisha kwamba amemaliza.

Baada ya hapo, Padri akamwambia tena, “Nenda ukayaokote yote.” Maria alienda kuyakusanya manyoya hayo, lakini aliyakusanya kiasi, mengine akashindwa, akarudi na chombo chake akasema, “Nimerudi Padri, lakini nimeyaokota kiasi, nimeshindwa kuyakusanya yote. Aliposema hivyo. Padri akasema, “ndivyo ilivyo Maria. Hata maneno sio rahisi kuyafahamu yote. Hata sasa tubu dhambi zako. Uache kwenda unasengenya,” na kweli, Maria akatubu dhambi zake.

Mathayo 5:38-42

ENGLISH: MARY’S STORY

There was one person who was called Mary. Such mother was very well aware of everything. She was also aware of everything that happened in any place, or village.

One day, that mother made married people inter into conflict through her words. For each one of them was saying “I have been told by Mary this thing.”african-214104__340

But when Mary went to the assertion of those words. They defeated her, at the end people came to realize that, she was the wrongdoer who made people corride.

But when she knew that, she was a wrongdoer, she went up to the Priest to confess. When she got there, she confessed all her sins, in front of the confessional box. But when she said, she was told to search for a hen, and she really sought and sent it to the Priest.

The priest told Mary that she would have all the fur, “when you finish it, you are going to throw them out in all the scenes.” Yes, she did. When she finished she went back to the station. She notified him that she had finished.

After that, the priest said to her again, “Go all over collecting them.” Mary went to collect the feathers, but she did so much, and the other failed, she returned with her vessel and said, “I have come back priest, but I have got so much, I have not been able to collect them all. The minister said, “That is how Mary is. Even words, it is not easy to understand all of them. Even now repent of your sins. Stop going gossiping,” and Mary truly repented of her sins.

Mathayo 5:38-42

Matthew 5: 38-42

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.