17. Munhu Usola Panga (The man who took a panga)

Collected by: Don Sybertz,   Scanned by: Cephas Yao Agbemenu

With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)

Oliho munhu usola panga uja ng’wipolu. Aho oshika ng’wipolu ulinha mu linti wandya gutema ilinti, aliyo aho wandya gutema, utema nilitambi ilo aligasijije.

Liza ling’wana limo lyung’wila giki, bhebhe bhabha ulitema nilinti ilo uligisigije ululilatinike, nu bhebhe guko ugugwa. Ngosha ng’wenuyo adazunije wendelea kutema duhu.

Na ng’hana aho lyatinika nu wei guko. Aho ogwa henaho ubhuka kujunchola ungosha ng`wenuyo mpaga umpandika, ugashiga ung’wila bhebhe bhabha niwilage aho naguchila.

Ngosha ng`wenuyo ushosha, ali unene nagumanila he? Ngosha uyo oliogwaga, uhaya bhebhe bhabha oliomanaga ginehe igiki nagugwa? Ngosha ushosha, ganadamanile bhabha. Ungi uhaya bhebhe niniwilage, ngosha ng’wenuyo oganoga ung’wila giki, nalulu nahene, ugugwa ha nzobe ng’hangala idatu, ulokadatu nuloguchila.

Ngosha ng’wenuyo uzunya wandya guja, aho oshiminza shiminza ubhona nzobhe, ujinyama ugashiga ulinha. Aho olinha henaho inzobhe jandya gupela oganoga ugwa, ubuka ulinha hangi, nzobhe yandya hangi gupela yaganoga nayo yumponya hangi ubhuka, ukala gulinha hangi lukangala lo kadatu.

Yagamponya ubhi ocha ufelwa. Ngosha ng’wenuyo aho obhona giki ocha, umana giki umunhu ng’wenuyo agulabhuka wandya gulija mhembe alihaya giki “ilelo ibilingagi abang’wano ilelo luli lushiku lo kuhimbuka pye abo bachile.”

Ngosha ng’wenuyo ubi ofulwa mbeho upimbuka, wandya gweshemagila kunu alihaya hii! “Babehi hii! Nalikule no.”

Kiswahili: Mtu Akachukua Panga

Hapo zamani alikuwepo mtu, alichukua panga akaenda porini. Alipofika porini alipanda mtini akaanza kukata ule mti akiwa amekalia lile tawi analolikata.

Baadaye alikuja mtu mmoja akamwambia, “wewe baba, unakata tawi ambao umelikalia, likikatika na wewe utaanguka.” Aliendelea kukata tu. Na kweli lilikatika pamoja na naye, alipoanguka papo hapo, alikwenda kumtafuta mwanaume yule mpaka akampata.

Akamwuliza, “wewe baba niambie siku zangu za kufa.” Mwanaume huyo alisema, “mimi ninajuaje?” Mwanaume huyo aliyeanguka alisema, “wewe baba ulijuaje kuwa nitaanguka?” “Mimi baba siwezi nikajua.” Mwingine alisema, “ebu niambie.”

Mwanaume huyo mwishoe alimwambia hivi, “kwa hiyo wewe utaanguka kwenye punda mara tatu, safari ya tatu ndiyo ya kufa.” Mwanaume huyo alikubali akaanza kutembea tembea akamwona punda na alipomwona punda alimsogelea. Akamshika akapanda mgongoni.

Punda akaanza kukimbia mwishowe akaanguka, alipoinuka akapanda tena, punda akaanza kukimbia, alipochoka naye akamwangusha tena. Akaamka na akapitiliza kupanda tena. Mara ya tatu alipoangushwa akawa amezimia kidogo.

Mwanaume huyo alipoona kuwa amezimia, akajua kuwa mtu huyo ataumia, akaanza kupiga mbiu huku akisema, “watu wote mkusanyike leo ni siku ya kufufuka kwa watu wote walikukufa.” Mwanamume huyo akawa amepata hewa akafufuka, na kuanza kuhema na huku akisema, “aisi, jamani nilikuwa mbali mno.”

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.