13. Munhu Bhunwani na Kanoni

Collected by: Don Sybertz,   Scanned by: Cephas Yao Agbemenu

With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)

Kale walaliho munhu wali bhunwani na kanoni. Bhigunanaga bhuli ng’wene ulu wapandika makoye. Sha lushiku lumo akanoni kayelaga hihi na nyanza, umu nyanza ng’wenumo yikalaga mo Nzoka nhale gete. Umu nomo gwayo yiliniwe isoga no lya mpango ntale (lilunasi).

Lushiku lumo Nzoka yeniyo yufumila hanze kudima, aliyo ulu ilihaya kudima, mpaga iliswe tame iliwe lyenilo. Ulu shiku lwenulo aho yalifa, gashi akanoni kali hihi haho, kulisola, kulala nalyo mpaga kuli nwani wago umunhu.

Hambunu aho kashika ho kung’wila giki, “Nwani wane nakutogilwe no, jiji ginhu nagwenhela jagukulang`hana mu bhupanga bhoko., Nulu mubhulamu bhoko. Aliyo nalikuwila giki bhiya ukujileka, ulu shiku lwene wajilekaga jigujimila, utalajibhona hangi mpaga gucha gwako.” Sha lushiku lumo, wayelaga ubhunwa kwibala, uhaya giki, “Kinu jane jeniji jisoga no natuganyaga najo.” Ujisweng’ha hakasaga. Aha alijisweng’ha kang`wilolelaga akanwani kiye akanoni.

Huna lulu aho wakitunda kunya kiza akanoni kulisola iliwe lyenilo. Aha wakiza ho, usanga lilinduhu. Kung’wila akanoni giki, “Ambu inakuwila yaya ukulekana nalyo. Ni bhuli iwalekana nalyo lulu. Lili nalisolaga, aliyo utulipandika.” Kulala na kulala akanoni kuja. Wandya gukapelela atakapandikile. Munhu ng’Wenuyo akabiza na makoye no mpaga gucha gwakwe.

Kiswahili: Mtu Urafiki Na Ndege

Zamani alikuwepo mtu aliyekuwa na urafiki na ndege. Walikuwa wakisaidiana kila mmoja anapopata matatizo. Siku moja ndege alikuwa akitembea karibu na bahari. Kwenye bahari hiyo aliwemo nyoka mkubwa kabisa. Mdomoni mwa yule nyoka lilikuwepo jiwe la thamani kubwa (almasi).

Siku moja joka hilo lilikaa nje ya maji kutafuta chakula, lakini kila lilipotaka kula lilikuwa linaitema kwanza ile almasi. Siku hiyo alipoitema hiyo almasi, kumbe kandege kalikuwa karibu yake, kakaichukua kakaruka nayo mpaka kwa rafiki yake mtu.

Ndipo kalipofika pale, kalimwambia, “rafiki yangu nakupenda mno, hiki kitu nimekuletea chakukukulinda kwenye uhai wako, au maishani mwako.

Lakini nakuambia kwamba, “hapana kukiacha, siku ile utakapo kiacha kitapotea, hutakiona tena mpaka kufa kwako.”

Siku moja alikuwa akitembea alibanwa haja, akasema hivi: “kitu changu hiki kizuri sinyi nacho.” Akaipachika kwenye kichaka. Alikuwa akikipachika, karafiki kake kale ka ndege, kalikuwa kakimwangalia.

Ndipo basi alipochuchumaa kunya kakaja kale kandege kakalichukua lile jiwe. Alipofika pale hakulikuta. Kakamwambia hivi: “Si nilikuambia hapana kuachana nayo. Kwa nini uliachana nayo basi?

Hili nimelichukua, lakini hutalipata.” Basi, kakaruka na kuruka kale kandege. Akaanza kukakimbilia lakini hakukapata. Mtu huyo akawa na matatizo mno mpaka kufa kwake.

ENGLISH: A PERSON IN FRIENDSHIP WITH A BIRD

In the past there was a man who had friendship with bird. They were helping each other when they got into trouble. One day a bird was walking by the sea. There was a huge snake on the sea. In the mouth of the serpent there was a great stone (diamond).

birds-1287995__340

One day the dragon slept out of the water for a meal, but every time it wanted to eat was putting aside first the diamond. That day when it did so to that diamond, though a bird was around it, the gird took the diamond up to its friend.

When it cames there, it says, “My friend I love you so much, I has brought you this thing something to keep you in your life.

But I tell you, “you will not leave it, that day when you leave, it will get lost, and you will not see it again until your death.”

One day he was walking in need, saying: “This nice thing I do not have.” He hung it on the bush. He was impaled, his oldest bird, was watching him.

And then just overcasting the coach before the bird took that stone. When he got there he did not find it. “I did not tell you,” It told him. “Why did you just leave it?”

This I have taken, but you will not get it. “So jump and jump the old lane. He started to run but did not get it. The man became so troubled that he died.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.