10. Bhutungilija Bhugambilijaga

Collected by: Don Sybertz,   Scanned by: Cephas Yao Agbemenu

With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)

Kale yakale walaliho munhu witanagwa lina lyakwe guutu wali nsumba umo, ugwikala, gokwe wikalaga mukuluhaluha. Kuluha gwakwe kuka ng’wenheleja ikiwali ng’habi na bha’duguye abho bhali najo isabho bhansekaga kulwa bhuluhi wakwe. Bhanogaga hamo bhang`wimila ni jiliwa bhanoga bhang`wila na lina lya bhulaku. Ama mihayo genayo pye agose unsumba ng’wenuyo uguutu, wali wakagimila. Na kwiyumilija kwigasha kubhinha ikujo abhaduguye. Pye na bhanhu abhangi ng’waka gumo ugisuga kuli munhu nsumba ngwenuyo, wandya kulima uyu pona mashiliwa.

Wakanoga ugula ng’ombe. Mhayo ko gwandya umugikalile gakwe bhuli makanza wa nkumulejaga Welelo na hangi wali wigisije na gwitogwa na bhanhu bha bhuli mbika.

Igete wala abhatogilwe bhahabhi. Ng’waka gumo gwi pande uko wikalaga si ya shoka shoka, ikilonga nzala. Unsumba uyu nang`hwe uguutu ubhuka kujusuma. Akajushinga ko shiku idatu, Wakanoga ushoka wapandikaga ngele inne ja bhusiga (madebe anne).

Aho washika hakaya wicha unigo gokwe wiza ngikulu umo. Aho wamala kubhagisha, ulomba shiliwa, uyomba abhana bhane bhalina shiku ningi bhatupandikaga ishiliwa. Ubhawila unsumba ng’wenuyo abhana bhakwe ng’winhagi ingele ijibhili, ning’we musaje ijibhili.

Na ng’hana bhita chene, umo bhawililagwa. Uguutu agagokagijiwa lubhango nu Welelo, ubhiza nalikaya itale nu bhusabhi ongejiwa ni Welelo, ubhiza munhu nsabhi. (Uzidunsega ng`wiyo wazwalaga ngobho.)

Kiswahili: Wema Humsaidia Mtu Kuwa Na Mafanikio

Zamani za kale alikuwepo mtu mmoja aliyekuwa anaitwa Guutu. Alikuwa kijana mmoja ambaye maisha yake yalikuwa magumu sana, yaani maisha ya ufukara kabisa. Hata ndugu zake waliokuwa na mali walikuwa wakimcheka sana na kumnyima chakula ikibidi.

Wakati mwingine watu hao walimcheka ulafi. Matendo haya yote kijana Guutu alikuwa anayavumilia na kujitahidi kuishi kwa kuwaheshimu watu hao na wengine.

Mwaka mmoja alikaa kwa mtu mmoja akalima pamba. Alipovuna akanunua ng’ombe watano, majike wanne na dume moja. Moja ya maisha yake, huishi maisha ya kumsifu Mungu. Na kuhakikisha kuwa anaishi na kuelewana na watu wa kila namna.  Aliwapenda sana maskini.

Siku moja ilitokea njaa kali,  Guutu naye alikuwa anakwenda kuhemea  maana mji wake ulikosa chakula hata kidogo. Alikaa siku mbili ya tatu akarudi na debe nne za mtama. Alipotua  tu mzigo, akaja mama mmoja akawasalimu na kuomba chakula akisema, “Ana karibu wiki, watoto wake hawana chakula.”  Guutu akawatuma watoto wake. Akawaambia, “Mpimieni debe mbili mama huyu, mmpe. Nanyi mchukue hizi mbili.” Wakafanya hivyo.

Mungu akazidi kumpa baraka akawa na familia kubwa katika maisha yake na utajiri ukaongezeka maradufu.

ENGLISH: GOODNESS HELPS A PERSON TO SUCCEED

In ancient times there was one man named Guutu. He was a young man whose life was very difficult, that is, a very poor life. Even his wealthy relatives redicured him and stopped him from eating food when he needed.hands-3834270__340

They sometimes ridiculed him of eating too much. Guutu was patient with all those acts. He strived to live by respecting them and others.

One year he lived with one man. He cultivated cotton. When he reaped he bought five cows, four female cows and one bull. He lives a life of praising God, as his way of living. He made sure that he lives and gets acquainted with people of all kinds. He loved the poor.

One day there was a severe famine, Guutu also was going to seek food because his family missed a bit of food. He stayed on the third day and returned with four beans. As soon as he pulled out the load, one mother greeted him and asked him for food, saying, “I have almost a week, my children have no food.” Guutu sent children to her. He said to them, “Bring her two tins, and give them to her. You also, take these two.” They did it.

God has blessed him with a great family in his life and his prosperity doubled.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.