Tanzania

1252. DAGELANILILE BHOSE HALUZOGA LWA MINZI.

Imbuki ya lusumo lunulo ihoyelile higulya ya bhushigani bho nigini hikanza lya gulya jiliwa. Unigini ulu obyalwa agatumilaga mabhele kunguno agabhizaga adina mino agagudula gulya jiliwa. Giko lulu, uluguzwa amino gakwe agandyaga ugulya ijiliwa kihamo na bhanhu abhatale. Agisangijaga mligele lya bhanhu bhatale. Hunagwene abhanhu bhenabho, bhagayombaga giki, “dagelanilile bhose hauzoga lwa minzi.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kubhanhu abho bhali na ng’wigwano go gubhakalibhusha abhichabho abho bhashiganile gwingila muluganda lobho, umukikalile kabho. Abhanhu bhenabho, bhagisumbyaga bhabhakalibhusha abhichabho abho bhashiganile ugwingila umuluganda lobho lunulo, kunguno ya ng’wigwano gobho ugogutumama milimo kihamo chiniko, umuwikaji bhobho. Abhoyi bhagapandikaga matwajo mingi umukaya jabho kunguno ya ng’wigwano gobho gunuyo ugogutumama milimo yabho kihamo umukikalile kabho kenako.

Abhanhu bhenabho bhagikolaga nabho bhagankalibhusha nigini gulya kihamo nabho aho gazwa amino gakwe, kunguno nabhoyi bhagabhakalibhushaga umuluganda lobho abhichabho abho bhashikanile ugwingila moyi, umuwikaji bhobho. Hunagwene bhagayombaga giki, “dagelanilile bhose hauzoga lwa minzi.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na ng’wigwano go gwikalibhusha kutumama milimo yabho kihamo, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi umukaya jabho jinijo.

Kutoka 2:16-19.

2Wafalme 9:17.

Ayubu 21:11.

KISWAHILI: TUMEKUTANIKA WOTE KWENYE MTUNGI WA MAJI.

Chanzo cha methali hiyo huongelea juu ya ufikaji wa muda wa kula chakula kwa mtoto. Mtoto akizaliwa hutumia maziwa kwa sababu ya kutokuwa na meno ya kumwezesha kula chakula. Hivyo basi, akiota meno yake huanza kula chakula pamoja na watu wazima. Yeye huingia kwenye kundi la watu wazima. Ndiyo maana watu hao husema kwamba, “tumekutanika wote kwenye mtungi wa maji.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa watu wale ambao wanaushirikiano wa kuwakalibisha wenzao wale waliofikia hatua ya kuingia kwenye kundi lao, katika maisha yao. Watu hao, hukusanyika kwa lengo la kuwakaribisha wenzao hao waliofikia kipindi cha kuingia kwenye kundi lao hilo, kwa sababu ya uelewano na ushirikiano wao huo wa kufanya kazi zao kwa pamoja, maishani mwao. Wao hupata mafanikio mengi katika familia zao hizo kwa sababu ya uelewano na ushirikiano wao huo, katika maisha yao.

Watu hao, hufanana na wale waliomkaribisha mtoto kula pamoja nao alipoota meno, kwa sababu nao huwakaribisha wenzao wale waliofikia muda wa kuingia kwenye kundi lao, maishani mwao. Ndiyo maana wao husema kwamba, “tumekutanika wote kwenye mtungi wa maji.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwa na ushirikiano wa kukaribishana kufanya kazi zao kwa pamoja na uelewano, ili waweze kupata mafanikio mengi katika familia zao hizo, maishani mwao.

Kutoka 2:16-19.

2Wafalme 9:17.

Ayubu 21:11.

ENGLISH: WE ARE ALL GATHERED AT THE WATER JAR.

The source of the overhead proverb talks about an arrival of time for eating food for a child. When a child is born, it uses milk because it does not have teeth to enable it to eat. So, when he grows his teeth, he starts eating food with adults. He joins the group of adults. That is why those people say that, “we are all gathered in a water jar.”

This proverb is related to people who have a partnership of bullying their fellows who have reached the point of entering their group, in their lives. Those people, gather with an aim of welcoming those colleagues who have reached the period of entering their group, because of their understanding and cooperation for doing their works together, in their lives. They get a lot of success in their families because of their understanding and cooperation in their lives.

Those people are similar to those who invited a child to eat with them when he had teeth, because they also welcome their nobles who have reached the time of entering their group, in their lives. That is why they say that, “we have all gathered in a water jar.”

This proverb imparts in people an idea of having strong cooperation enough to welcome each other in doing their works together with understanding, so that they can get a lot of success in their families in their lives.

Exodus 2:16-19.

2 Kings 9:17.

Job 21:11.

calabash-827175_1280

1251. MHIYA YA GWIKUGA UDITUULA MMHINDA YA NUMA.

Aho kale ulihoyi munhu uyo agikuga hela. Aho ojikuga ohela jinijo, umunhu ng’wunuyo, agajituula kumhinda ya kunuma ukunu ajile umulendo lokwe lunulo. Gashinaga abhiye bhamona aho ajilituula umumhinda yakwe ya kunuma yuniyo, bhujisola bho nduhu ugumana uweyi.

Ogashiga ikaya ujikagayiwa umhinda yakwe yiniyo, ubhawila abhiye giki, ojimijaga hela ijo oliojikugaga umunzila ujituula mmhinda ya kunuma. Hunagwene abhiye bhenebho bhagang’wila giki, “mhiya ya gwikuga udituula mmhinda ya numa.”

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agapandikaga sabho ujikenagula sagala umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agajitumilaga isabho ijo agajipandikaga bho gujigulila maginhu ayo gadina solobho yose yose kunguno ya gugayiwa witegeleja umukatumile ka sabho jakwe jinijo. Uweyi agajimalilaga isabho jakwe kuma mihayo ga sagala bho guileka ikaya yakwe igukoyaga na nzala, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agikuga hela ujituula sagala mpaga nose jujimila, kunguno nuweyi agajipandika isabho ujimalila mmamihayo ga sagala mpaga ikaya yakwe yayukosa ya nzaga, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “mhiya ya gwikuga udituula mmhinda ya numa.”

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho gujitumamila chiza isabho ijo bhagajipandikaga umubhutumami bhobho, kugiki jidule gubhambilija ugujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Luka 12:16-18.

KISWAHILI: FEDHA YA KUOKOTA USIIWEKE KWENYE MFUKO WA NYUMA.

Hapo zamani alikuwepo mtu aliye okota pesa. Alipoziokota hivyo, mtu huyo, aliziweka kwenye mfuko wake wa nyuma huku akiendelea na safari yake. Kumbe wenzake waliomuona alipokuwa anaziweka pesa hizo kwenye mfuko wake huo wa nyuma wakazichukua bila ya yeye kuelewa.

Alipofika nyumbani alizikosa pesa zake hizo kwenye mfuho huo wa nyuma, akawaambia wenzake kwamba, amepoteza pesa alizoziokota njiani akaziweka kwenye mfuko wake huo wa nyuma. Ndiyo maana wenzake hao walimwambia kwamba, “fedha ya kuokota usiiweke kwenye mfuko wa nyuma.”

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huzitumia hovyo mali anazozipata, katika maisha yake. Mtu huyo, huzitumia mali anazozipata kwa kununulia vitu visivyo na faida yoyote ile kwa sababu ya kukosa umakini katika matumizi ya mali zake hizo. Yeye huzimalizia mali zake kwenye mambo ya hovyo na kuiacha familia yake katika matatizo ya njaa kwa sababu ya kukosa umakini katika matumizi ya mali zake hizo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyeokota pesa akaiweka hovyo mpaka ikapotea, kwa sababu naye huzimalizia kwenye mambo ya hovyo mali anazozipata mpaka familia yake hufikia hatua ya kukumbwa na tatizo la njaa, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “fedha ya kuokota usiiweke kwenye mfuko wa nyuma.”

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuzitumia vizuri mali wanazozipata katika utekelezaji wa majukumu yao, ili ziweze kuwasaidia katika kuziendelea vizuri familia zao, maishani mwao.

Luka 12:16-18.

ENGLISH: DO NOT PUT THE PICKED UP MONEY IN YOUR BACK POCKET.

Once upon a time there was a man who picked up money. When he picked them up, he put them in his back pocket while continuing with his journey. However, his colleagues who saw him putting the money in his back pocket took it without him knowing.

When he got home, he lost his money in the back pocket, he told his colleagues that he had lost the money he had picked up on the way and put it in his back pocket. That is why his colleagues told him that, “do not put the picked up money in your back pocket.”

This proverb is compared to a person who uses the wealth he gets carelessly in his life. Such person uses the assets he gets by buying things that do not have any benefit because of lack of attention in using his assets. He spends his wealth on frivolous things and leaves his family in hunger problems because of lacking attention in using his wealth in life.

This person is like the one who picked up money and kept it carelessly until it was lost, because he spends the wealth he gets in careless things until his family reaches the point of experiencing famine problems in his life. That is why people tell him that, “do not put the picked up money in your back pocket.”

This proverb teaches people to be careful enough to use nicely their assets in fulfilling their duties, so that they can help them in developing their families in their lives.

Luke 12:16-18.

money-2518389_1280

man-6029064_1280

1250. NAHENE ITINA MHAYO.

Imbuki ya kahayile kenako ilolile munhu uyo agitilya mhayo uyo gutigowiza wiyumilija. Umunhu ng’wunuyo, agabegejiwa mhayo go gupunjiwa sabho jakwe na ng’wiye uyo oliadandililaga chiza ulu onomba isabho jakwe jinijo. Hunagwene umunhu ng’wunuyo, agayomba giki, “nahene itina mhayo.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agiyumilija bho gubhalekeja abho bhagamhubhilaga umukikalile kakwe. Umunhu ung’wunuyo, agibhonelagwa na bhiye obhalekeja kunguno ya wiyumilija bhokwe bhunubho. Uweyi agayilelaga chiza ikaya yakwe bho gwiyambilija gutumama milimo yabho kihamo kunguno ya wiyumilija bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agapumjiwa sabho jakwe na ng’wiye wiyumilija bho gulekeja, kunguno nuweyi agibhonelagwa na bhiye obhalekaja, umuwikaji bhokwe. Hunagwene agayombaga giki, “nahene itina mhayo.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na wiyumilija bho gwilekeja ulubhihubhaga umubhutumami bho milimo yabho, kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

2 Samweli 13:6.

Mathayo 5:43-45.

KISWAHILI: HAYA HAINA NENO.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia mtu aliyefanyiwa jambo baya akavumilia. Mtu huyo, alitendewa neno hilo baya kwa kudhulumiwa mali zake na mwenzake ambaye alikuwa hamjali vizuri anapomuomba mali zake hizo. Ndiyo maana mtu huyo alisema kwamba, “haya haina neno.”

Msemo huyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huvumilia kwa kuwasamehe wale wanaomkosea katika maisha yake. Mtu huyo, anapoonewa na wenzake hujitahidi kuwasamehe kwa sababu ya uvumilivu wake huo. Yeye huilea vizuri familia yake kwa kusaidiana katika kufanya kazi kwa pamoja kwa sababu ya uvumilivu wake huo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyedhulumiwa mali zake na mwenzake akavumilija kwa kusamehe, kwa sababu naye huwasamehe wale wanaomuonea, maishani mwake. Ndiyo maana husema kwamba, “haya haina neno.”

Msemo huo, huwafundisha watu juu ya kuwa na uvumilivu wa kusameheana wanapokoseana katika utekelezaji wa majukumu yao, ili waweze kuzilea vizuri, familia zao, maishani mwao.

2 Samweli 13:6.

Mathayo 5:43-45.

ENGLISH: THIS DOES NOT HAVE A WORD.

The cradle of this saying looks at a person who suffered a ruthless thing and endured it. Such person was treated with that wicked word for being abused by his colleague who took his property. His teammate did not take good care of him when he asked for his property. That is why the man said that, “this does not have a word.”

This saying is compared to a person who endures sufferings by forgiving those who do wrong to him in his life. Such person when bullied by his colleagues, tries to forgive them because of his tolerance. He raises his family members well by helping each other in working together because of his patience in life.

This person resembles the one who was wronged by his partner who endured by forgiving him, because he also forgives those who oppress him in his life. That is why the forgiven ones say that, “this does not have a word.”

This saying instills in people an idea about having good patience enough to forgive each other when they make mistakes in fulfilling their duties, so that they can raise their societal members well in their families.

2 Samuel 13:6.

Matthew 5:43-45.

family-7240486_1280

1249. PANDIKAGA MHIYA (JIKOLO) DUJIMANE NH’UNGWA JAKO.

Akahayile kenako kahoyilile bhumanyiki bho nh’ungwa ja ng’wa munhu uyo opandikaga sabho. Olihoyi munhu uyo oliadamanyikile chiza inh’ungwa jakwe umu jili aho oliatali ugujipandika imiya. Umunhu ng’wunuyo, aho ojipandika imiya abhanhu bhagajimana inh’ungwa jakwe kunguno agayubhadosa abhiye. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “pandikaga mhiya (jikolo) dujimane nhu’ngwa jako.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhaga sabho wandya guyubhadosa abhiye, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agabhadarahaga abhanhu abho bhadinajo isabho kunguno ya bhudoshi bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe. Uweyi agagayiyagwa imbango ijaguyilela chiza ikaya yakwe kunguno ya gudoshiwa na sabho jakwe jinijo, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agapandika sabho wandya guyubhadosa abhanhu abho bhadinajo isabho, kunguno nuweyi agabhadarahaga abhanhu abho bhadina sabho guti jakwe, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “pandikaga mhiya (jikolo) dujimane nhu’ngwa jako.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu abho bhajipandika isabho higulya ya guleka nh’ungwa ja gubhadosa abhanhu abho bhadina sabho, kugiki bhadule kupandika imbango ja kujilela chiza ikaya jabho, umubhulamu bhobho.

Luka 16:19-31.

Luka 12:16-21.

Marko 10: 17-22.

KISWAHILI: PATA PESA (MALI) TUJUE TABIA YAKO.

Msemo huo, huongelea juu ya ujulikanaji wa tabia ya mtu aliyepata mali. Alikuwepo mtu ambaye tabia yake haikufahamika vizuri wakati hajapata pesa. Mtu huyo, alipopata pesa watu waliifahamu tabia yake kwa sababu alianza kujivuna kwa kuwadharau wale ambao hawajapata mali kama zake. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “pata pesa (mali) tujue tabia yako.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule aliyetajirika kwa kupata mali akaanza kuwadharau wenzake, katika maisha yake. Mtu huyo, huwadharau watu wale ambao hawana mali kwa sababu ya majivuno yake hayo maishani mwake. Yeye hukosa Baraka za kuilea vyema familia yake kwa sababu ya kulingia mali zake hizo, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyepata pesa akaanza kuwadharau wenzake, kwa sababu naye pia huwadharau watu wale ambao hawana pesa, kama zake maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “pata pesa (mali) tujue tabia yako.”

Msemo huo, hufundisha watu wenye mali juu ya kuacha tabia ya kuwadharau wale ambao hawana mali, ili waweze kupata Baraka za kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.

Luka 16:19-31.

Luka 12:16-21.

Marko 10: 17-22.

ENGLISH: GET MONEY (PROPERTY) SO WE KNOW YOUR CHARACTER.

This saying talks about character recognition of a person who got wealth. There was a man whose character was not well known when he did not earn money. That person, when he got money, people knew his behavior because he started becoming proud by looking down on those who have not got wealth like his. That is why people told him that, “get money (property) so we know your character.”

This saying is compared to a person who got rich by getting wealth and started to despise his colleagues, in his life. Such person despises those who have no wealth because of his pride in his life. He misses blessings of raising his family well because of his pride in life.

This person is like the one who got money and started despising his colleagues, because he also despises people who do not have money, like his own in his life. That is why people tell him that, “get money (property) so we know your character.”

This saying imparts in rich people an idea of stopping looking down on people who do not have money, so that they can get blessings for raising their families well, in their lives.

Luke 16:19-31.

Luke 12:16-21.

Mark 10: 17-22.

man-4488881_1280

1248. BHASANJAGA MAKONO.

Imbuki ya kahayile kenako ihoyelile munhu nkwilima na nkwiye, nulu nina bhukwi na ng’winga okwe. Abhanhu bhenabho aha bhatali ugwimanila bho gulya kihamo, bhagabhulagaga ntugo guti mbuli, nulu ng’holo ya gusanja makono. Hunagwene ulu bhabhulagaga untugo gunuyo abhanhu bhagahaya giki “bhasanjaga makono.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kubhanhu abho bhali nikujo ukubhatale na bhageni bhabho, umukikalile kabho. Abhanhu bhenabho bhagabhambilijaga chiza abhatale bhabho na gubhakaribhusha chiza abhageni abho bhagajaga aha kaya jabho kunguno ya likujo lyabho linilo, umuwikaji bhobho. Abhoyi bhagikalaga na bhanhu bhingi na sabho ningi aha kaya jabho jinijo kunguno ya gubhalela bho lilange liza abhanhu bhabho bhenabho.

Abhanhu bhenabho bhagikolaga nabho bhagabhulaga ntugo go gusangija makono kunguno nabho bhali nikujo lya kubhambilija chiza abhatale na bhageni bhabho umukaya jabho. Hunagwene abhanhu bhagabhayombaga giki, “bhasanjaga makono.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza ni kujo lya kubhambilija abhatale na gubhokalibhusha chiza abhageni bhabho umukaya jabho kugiki bhadule kujilela chiza ikaya jabho jinijo, umubhulamu bhobho.

Waefeso 6:1-4.

Mithali 4:1-9.

KISWAHILI: WAMEKUTANISHA MIKONO.

Chanzo cha msemo huo chaongelea juu ya baba mkwe na mkwilima wake au mama mkwe na mkaa mwana wake. Watu hao kabla hawajazoeana kwa kula pamoja, huchinja mfugo kama vile mbuzi au kondoo wa kukutanisha mikono. Ndiyo maana wale waliokula mbuzi huyo watu husema juu yao kwamba, “wamekutanisha mikono.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa watu wale ambao wana heshima kwa wakubwa na wageni wao, katika maisha yao. Watu hao, huwasaidia wakubwa na kuwakaribisha wageni wao vizuri katika familia zao, kwa sababu ya heshima yao hiyo, maishani mwao. Wao huishi na watu wengi na mali nyingi kwenye familia zao, kwa sababu ya kuwalea katika malezi mema watu wao hao.

Watu hao hufanana na wale waliochinja mfugo wa kukutanisha mikono, kwa sababu nao wana heshima ya kuwasaidia vizuri wakubwa wao na kuwapokea vizuri wageni katika familia zao. Ndiyo maana watu husema juu yao kwamba, “wamekutanisha mikono.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na heshima ya kuwasaidia watu na kuwakaribisha wageni kwenye familia zao, ili waweze kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.

Waefeso 6:1-4.

Mithali 4:1-9.

ENGLISH: THEY HAVE JOINED HANDS.

This saying talks about the father-in-law and his daughter-in-law or the mother-in-law and her daughter-in-law. Those people, before they get used to eating together, slaughter livestock such as goats or sheep for joining their hands together in their families. That is why those who ate the goat, people say about them that, “they have joined hands.”

This saying is equated to people who have respect to their superiors and guests, in their lives. Those people, help their elders and welcome their guests well in their families, because of their respect, in their lives. They live with many people and many assets in their families, because of raising their members in a good upbringing.

Those people are similar to those who slaughtered livestock for being together with their new family members, because they also have an honor of helping their elders and receiving guests well in their families. That is why people say about them that, “they have joined hands.”

This saying imparts in people an idea of having sound respect to each other enough to help people and welcome strangers in their families, so that they can raise their family members well in their lives.

Ephesians 6:1-4.

Proverbs 4:1-9.

appetizer-3315965__480