Ulusumo lunulo lulolile bhuzwaji bho malando ayo jitokigilwe gugalya mbuli. Alihoyi munhu uyo agazwala sketi ya malando aho ojaga gwigulilu lya mbuli. Aliyo lulu ikimbuli jigatogilwe amalando genayo aho jagabhona jumpelela na gugandya gugalya amalondo genayo mpaga yushila isketi yakwe usaga duhu. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “udizuja gwigulilu lya mbuli ozwalaga sketi ya malando.”
Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo ali ngumanija ojikola jakwe umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agajaga ha mkwilikano go bhanhu bhingi ogajilekanija sagala isabho jakwe mpaga nose jamalwa gusolwa na manhu bhenabho, kunguno ya gujilekenija sagala chiniko. Uweyi agamajiyagwa isabho jakwe bho gusolwa sagala na bhanhu kunguno ya bhujidadilila bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agaja gwigulilu lya mbuli ozwalaga sketi ya malando gugaliwa ni mbuli amando genayo mpaka usaga duhu, kunguno nuweyi agajilekenijaga sagala isabho jakwe mpaga jamalwa gusolwa na manhu, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “udizuja gwigulilu lya mbuli ozwalaga sketi ya malando.”
Usulumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gudebha gujidilila chiza isabho jabho kugiki bhadule gujitumamila bho gubheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.
KISWAHILI: USIENDE KWENYE MNADA WA MBUZI UMEVAA SKETI YA MALANDO.
Methali hiyo, huangalia uvaaji wa malando ambayo mbuzi wanayapenda kuyala. Alikuwepo mtu aliyevaa sketi ya malando hayo alipokuwa akienda kwenye mnada wa mbuzi.
Lakini kwa vile mbuzi wanayapenda kuyala hayo majani ya viazi, walipoyaona waliyakimbilia na kuanza kuyala mpaka wakayaimaliza sketi yake hiyo, akabaki uchi. Ndiyo maana watu hao walimwambia mtu huyo kwamba, “usiende kwenye mnada wa mbuzi umevaa sketi ya malando.”
Mtu huyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwa havijali vitu vyake katika maisha yake. Mtu huyo, huenda kwenye mkusanyiko mkubwa wa watu wengi na kuvitelekeza vitu vyake mpaka watu wanavichukua vyote, kwa sababu ya kuvitelekeza hovyo mali zake hizo. Yeye huzimaliza mali zake kwa kuchukuliwa na watu hovyo kwa sababu ya kutozijali vizuri, maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na yule aliyeenda kwenye gulilu la mbuzi amevaa sketi ya malando ikamalizwa kuliwa na mbuzi sketi yake hiyo, mpaka akabaki uchi, kwa sababu naye huzitelekeza mali zake hovyo mpaga zinamalizwa kwa kuchukuliwa na watu, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia mtu huyo hivi, “usiende kwenye mnada wa mbuzi umevaa sketi ya malando.”
Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuelewa kuzijali kwa kuzitunza vizuri mali zao, ili waweze kuzitumia kwa kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

ENGLISH: DO NOT GO TO THE GOAT’S AUCTION WEARING A SWEET POTATO’S LEAVES SKIRT.
This proverb looks at a dressing of sweet potato’s leaves that goats like to eat. There was a woman who wore a skirt of that kind when she was going to the goat’s auction.
But since the goats like to eat those potato’s leaves, when they saw them they ran to them and started eating them until they finished her skirt, leaving her naked. That is why people told such woman that, “do not go to the goat’s auction wearing a sweet potato’s skirt.”
This proverb is paralleled to a person who does not care about his things in his life. Such person goes to a large gathering of people and abandons his things until people take them all, because of careless abandonment of his possessions. He ends his possessions by being taken carelessly by people because of not taking good care of them, in his life.
This person is like the one who went to the goat’s market wearing a sweet potato’s leaves skirt and the goat ended up eating her skirt, until she was left naked, because he also abandons his possessions to the point of being taken by people, in his life. That is why people tell him that, “Do not go to the goat’s auction wearing a sweet potato’s leaves skirt.”
This proverb teaches people on understanding ways of of taking care of their properties by taking good care of them, so that they can use them for nicely developing their families in their lives.





