1166. NHAB’ALA HU KI?

Aho kale olihoyi munhu uyo oliosata umuchalo ja Ndoleleji. Umunhu ng’wunuyo, ojaga ukositali oginhiwa ubhugota ubho obhutumilaga mpaga bhoshila aliyo ugupila nduhu. Uweyi wiyumilijaga duhu kunguno oliamanile igiki ubhupanga bhokwe bhuli kuli Nsumbi wi Wigulu na Sii. Hunagwene obhujaga giki, “nhab’ala hu ki?”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agiyumilijaga ulu opandikaga makoye bho gung’wisanya Mulungu, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, adebhilile ugugulanhana chiza umili gokwe bho guja gusitali ulu alisata ukunu aling’wisanya Mulungu kunguno alina guzunya gutali ukuli Weyi. Uweyi agabhambilija bhanhu bhingi abho bhali na makoye ijinagung’wisanya Mulungu kunguno ya wiyumilija bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo olina sata wiyumilija bho gung’wisanya Mulungu, kunguno nuweyi agapandikaga makoye wiyumilija bho gung’wisanya Mulungu, umukikalile kakwe kenako. Hunagwene agabhujaga giki, “nhab’ala hu ki?”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gub’iza na wiyumilija bho gung’wisanya Mulungu ulu bhapandikaga makoye umuwikaji bhobho, kugiki bhadule gwikala na mholele, umu kaya jabho jinijo.

Ayubu 6:1-4.

Ayubu 7:4-8.

Mathayo 15:29-31.

Marko 5:25-28.

KISWAHLI: MATESO NI NINI?

Hapo zamani alikuwepo mtu aliyeugua ugonjwa kwenye kijiji cha Ndoleleji. Mtu huyo, alienda hospitalini akapewa dawa alizozitumia mpaka zikaisha bila kupona ugonjwa wake huo. Yeye alivumilia tu kwa sababu alielewa kwamba uhai wake uko mikononi mwa Muumba wa Mbingu na Nchi. Ndiyo maana aliuza kwamba, “mateso ni nini?”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huvumilia matatizo yake kwa kumtegemea Mungu, katika maisha yake. Mtu huyo, anafahamu kuitunza vizuri afya yake kwa kwenda hospitalini anapougua huku akimtumainia Mungu, kwa sababu ya imani yake kuwa kubwa kwa Muumba wake huyo. Yeye huwasaidia watu wengi ambao wana matatizo katika kumtegemea Mungu kwa sababu ya uvumilivu wake huo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyeugua ugonjwa akavumilia kwa kumtegemea Mungu, kwa sababu naye huvumilia matatizo yake kwa kumtegemea Mungu, katika maisha yake hayo. Ndiyo maana yeye huuliza kwamba, “mateso ni nini?”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na imani kwa Mungu ya kuwawezesha kuvumilia matatizo yao kwa kumtegemea Yeye maishani mwao, ili waweze kuishi kwa amani katika familia zao hizo.

Ayubu 6:1-4.

Ayubu 7:4-8.

Mathayo 15:29-31.

Marko 5:25-28.

operation-80124__480

One comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.