1140. MAGANA GA B’AGIMBUJI.

Olihoyi munhu osadaga uyo agajimija mahela mingi bho gugulila bhugota aliyo nduhu odapilile. Umunhu ng’wunuyo opandikaga ihela ojichala gujugulila bhugota kunguno ya gugucholela bhupiji umili gokwe gunuyo. Hunagwene nose agajitana ihela ijo ajipandikaga giki, “Magana ga b’agimbuji.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agagudililaga chiza umili gokwe umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agajaga kusitali ogapandika bhugota ulu alisada na agatumamaga milimo bho bhukamu bhutale, kugiki adule kupandika jiliwa ja gugulanhanila chiza umili gokwe kunguno ya gugudilila chiza chiniko. Uweyi apandikaga sabho ja gung’wambilija ugugulanhanha chiza umili gokwe kihamo ni mimili ya bhanhu bhakwe kunguno ya gutogwa kulanhana bhupanga gukila sabho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo agamala mahela mingi bho gugula bhugota bho gulagulila isada yakwe, kunguno nuweyi agajitumilaga isabho jakwe bho gugulanhanila chiza umili gokwe, umukikalile kakwe. Hunagwene agajitanaga ihela jakwe giki, “Magana ga b’agimbuji.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya guidilila bho guiyilisha na guyinha bhugota chiza imilimi yabho, kugiki bhadule gujilela chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Luka 8:43-44.

Marko 5:25-34.

Yohana 5:5-9.

KISWAHILI: MAMIA YA WACHIMBA DAWA.

Aliwekupo mtu aliyekuwa mgonjwa ambaye alipoteza pesa nyingi kwa kununulila dawa za kuutibia ujonjwa wake huo lakini bila kupona. Mtu huyo alikuwa akipata hela na kuzinunulia dawa za kutibia ugonjwa wake huo ili apone. Ndiyo maana mwishowe aliziita pesa zake hizo kwamba ni “mamia ya wachimba dawa.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huujali vizuri mwili wake katika maisha yake. Mtu huyo huenda hospitali anaojisikia kuumwa, pia hujibidisha kufanya kazi ili ajipatia mali za kuutunza mwili wake kwa sababu ya kuijali vizuri afya yake hiyo. Yeye hupata mali za kumsaidia katika kuitunza vizuri afya yake pamoja afya za watu wake kwa sababu ya kupenda zaidi kulinda uhai kulipo mali, maishani mwake.

Mtu huyo hufanana na yule aliyemaliza pesa nyingi kwa kununulia dawa za kutibu ugonjwa wake, kwa sababu naye hutumia mali zake kwa kuitunza afya yake katika maisha yake. Ndiyo maana huiziita mali zake hizo kwamba ni “mamia ya wachimba dawa.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuzijali afya zao kwa kutumia dawa wanapojisikia kuumwa na kula chakula vizuri, ili waweze kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.

Luka 8:43-44.

Marko 5:25-34.

Yohana 5:5-9.

 

ENGLISH: HUNDREDS OF THE MEDICINE DIGGERS.

There was a sick person who lost a lot of money by buying medicine for treating his illness but without recovery. He used to earn money and spend them in buying medicines for treating his illness so that he would be cured. That is why he finally considered his money as “hundreds of the medicine diggers.”

This saying is compared to the person who takes good care of his health in his life. Such person goes to the hospital when he feels sick. He also has to work enough to get resources that can take care of his health. He gets enough assets for helping him in taking good care of his health as well as the health of his people because he likes to protect life more than wealth, in his life.

This person is similar to the one who spent a lot of money in buying medicine for treating his illness, because he also spends his wealth for taking care of his health in his life. That is why he considers his possessions as “hundreds of the medicine diggers.”

This saying imparts in people an idea of taking care of their health by using medicine when they feel sick and eating well, so that they can nicely raise their families in their lives.

Luke 8:43-44.

Mark 5:25-34.

John 5:5-9.

 

lime-blossom-2942175__480

shovels-1690786__480

trees-2579206__480

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.