Akahayile kenako kalolile wituuji bhutongi bho jikub’a bho ng’wa munhu nhebhe. Olihoyi munhu uyo osiminzaga ukunhu ajituulaga aha bhutongi ijikub’a jakwe kunguno ya nguzu jakwe ijo alinajo.
Umunhu ng’wunuyo, agakumuka nose umu nzengo gokwe kunguno ya gusiminza gokwe uko gumana ojitongeja bhutongi ijikub’a jakwe jiniko. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “agituulaga jikub’a b’utongi.”
Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumamaga nimo bhung’wene bho ndugu ugwambilijiwa na bhangi mpaga ogushisha aha nhalikijo yago. Umunhu ng’wunuyo, agamishaga diyu oja gujigulambija gutumama milimo yakwe bhung’wene mpaga oyimala chiza. Uweyi agaponaga majiliwa mingi kunguno ya bhukamu bhokwe bhunubho ubho gwandya gutumama nimo mpaga ogumala chiza umuwikaji bhokwe.
Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo osiminzaga ukunu ojituulaga bhutongi ijikub’a jakwe, kunguno nu weyi agigulambijaga kutumama milimo yakwe bhung’wene bho nduhu ugwambilijiwa mpaga oyimala chiza. Hunagwene abhanhu bhaganyombaga giki, “agituulaga jikub’a b’utongi.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na bhukamu bho gutumama milimo yabho chiza mpaga bhayimala, kugiki bhadule kupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.
Mithali 12: 24, 27.
Mithali 13:25.
Mithali 14:23.
Mithali 18: 9.
KISWAHILI: HUJIWEKA KIFUA MBELE.
Msemo huo huangalia namna ya kukiweka kifua mbele cha mtu fulani. Alikuwepo mtu yule aliyekuwa akitendea huku amekitanguliza mbele kifua chake kwa sababu ya nguvu zake alizokuwa nazo.
Mwishowe mtu huyo, alisifika katika jiji chake kwa sababu ya namna yake hiyo ya kutembea huku amekiweka kifua chake mbele. Ndiyo maana watu walisema kwamba, “hujiweka kifua mbele.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya kazi peke yake bila kusaidiwa na wengine mpaga anaifikisha mwisho wake. Mtu huyo, huamka asubuhi na kwenda kujibidisha kufanya zake peke yake mpaga anazimaliza vizuri. Yeye hupata mavuno mengi sana katika kazi zake kwa sababu ya bidii yake hiyo ya kufanya kazi, maishani mwake.
Mtu huyo, hufanana na yule aliyekuwa akitembea huku amekiweka mbele kifua chake, kwa sababu naye hujibidisha kufanya kazi zake peke yake mpaga anazimaliza. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “hujiweka kifua mbele.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na bidii ya kuyatekeleza vizuri majukumu yao mpaga wanayamaliza, ili waweze kupata mafanikio mengi maishani mwao.
Mithali 12: 24, 27,
Mithali 13:25.
Mithali 14:23.
Mithali 18: 9.

ENGLISH: HE PUTS HIS CHEST FORWARD.
This saying looks at how to put the chest of someone in forward-facing. There was the man who was acting while putting his chest forward because of a strength he had.
He finally became famous in his city because of his way of walking with his chest being forward. That is why people said that, “he puts his chest forward.”
This saying is related to a person who works alone without getting help of others up to the point of finishing his works. Such person wakes up in the morning and goes to do his works alone, until he finishes them well. He gets a lot of yield in his works because of his hard working activities, in his life.
This person is similar to the one who was walking with his chest being in front of him, because he also has to do his works alone until he finishes them. That is why people tell him that, “he puts his chest forward.”
This saying teaches people on how to be diligent in carrying out their duties well until they finish them, so that they can achieve many successes in their lives.
Proverbs 12:24, 27.
Proverbs 13:25.
Proverbs 14:23.
Proverbs 18:9.