1122. AGUNSIMBAGA MUNHU.

Akahayile kenako kahoyelile bhusimbi bho mizwi ya linti. Unti ulu gulisimbwa imizwi yago igigelaga hape giti umo igikalalilaga ihasi. Unti gunuyo gugabhizaga gutina inguzu hangi kunguno imizwi ili mbisila ya bhupanga bho linti gunuyo.

Imizwi ya ng’wa munhu ili mbisila yakwe. Giko lulu, uyo agasimbaga mbisila ya ng’wa munhu nhebhe agamaja inguvu umunhu ng’wunuyo, kihamo nili likujo ukubhanhu ligashilaga kunguno ya guyisesa hanze imizwi yakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “agumsimbaga munhu.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhasigaga abhiye umukikalile kakwe. Umunhu ung’wunuyo, alina jitwa ja gubegeshela imbisila ja ng’wa munhu ijo jigalenganijiyagwa na jitwa ja kusimba mizwi ya linti, kunguno ya nhungwa jakwe ija bhubhi jinijo. Uweyi agakenagulaga kaya ja bhanhu umuwikaji bhokwe kunguno ya bhusigani bhokwe bhunubho.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu nsimbi o mizwi ya linti, kunguno nuweyi agajisesaga hape imbisila ja ng’wa munhu uyo agansigaga. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “agunsimbaga munhu.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kulekana na nhungwa ja kusiga bhichabho umuwikaji bhobho, kugiki bhadule gwikala bho mholele, umukaya jabho.

Zaburi 10:7-10.

Zaburi 34: 14-15.

Mathayo 4:1-11.

KISWAHILI: ANAMCHIMBA MTU.

Msemo huo, huongelea juu ya uchimbaji wa mizizi ya mti. Mti ukichimbwa mizizi yake huonena wazi kama ilivyo ndani ya ardhi. Mti huo huwa hauna nguvu tena ya kuishi kwa sababu mizizi yake ni fumbo la uzima wa mti huo.

Mizizi ya mtu ni fumbo la maisha yake, au siri zake. Hivyo basi, yule achimbaye siri za mtu fulani hummalizia nguvu za kuishi mtu huyo, pia humuondolea heshima mbele ya watu. Ndiyo maana watu humwambia mtu huyo kwamba, “anamchimba mtu.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwasengenya wenzake katika maisha yake. Mtu huyo, ana matendo ya kupeleleza siri za mtu ambayo hulinganishwa na yule anayechimba mizizi ya mti, ambazo ni siri zake, kwa sababu ya tabia yake hiyo mbaya. Yeye huvuruga familia za watu maishani mwake kwa sababu ya usengenyaji wake huo.

Mtu huyo, hufanana na yule mchimbaji wa mti, kwa sababu naye hutoa nje siri za mtu yule anayemsengenya. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “anamchimba mtu.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuachana na tabia ya kuwasengenya wenzao maishani mwao, ili waweze kuishi kwa amani, katika familia zao.

Zaburi 10:7-10.

Zaburi 34: 14-15.

Mathayo 4:1-11.

job-interview-437026__480

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.