1026. TULAGA LIJIGOGO WIGWE JILAKA JALYO.

Imbuki ya kahayile kenako, ilolile bhutuji bho lijigogo bho bhaseni bha ng’hwi nulu bhachoji bho manti ga guzengela numba jabho. Ilijigogo linilo, lililinti ilo lyateng’wa lyugwa hasi ilo bhagasenaga ng’hwi, nulu guzengela numba abhanhu. Aliyo lulu ulu munhu alihaya gupandula ng’wi agaligumhulaga bho gulitula bho mbasa ilijigogo linilo, kugiki amane ulu lidab’olile nulu lib’olile. Ulu giki lyufunya lilaka mumho lidab’olile ilo agulisengelela nulu nunba, ulu lyulema ugufunya ililaga munho lib’olile, ilo agalitemaga lyab’iza lyukwi lokwe, umunhu ng’wunuyo. Hunagwene abhanhu bhagayombga giki, “tulaga lijigogo wigwe jilaga jalyo.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu nshikanu uyo agatumamaga milimo bho guyitila bhukengeji wiza taamu, umukikalile kakwe. Umunhu ng’winuyo, alemile ugugaluchiwa sagara na bhanhu abho bhali na nhungwa ijo jidijawiza, kunguno ya gujitila bhukengeji bhuli jene ijo alijita, umuwikaji bhokwe. Uweyi agailelaga chiza ikaya yakwe, mpaga bhapandika sabho za gudula gubhambilija chiza abhahakaya yakwe, kunguno ya bhushiganu bhokwe bhunubho, umukikalile kakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nabho bhagalitulaga lijigogo bhalidebha ubhudamu bholyo, kunguno nuweyi agajitilaga bhukengeji bhuli jene ijo alihaya gujita, umukikalile kakwe. Uweyi agabhalangaga abhanhu inzila ja gujitila bhukengeji bhuli gene ijo bhalihaya gujita haho bhatali ugujandwa, umuwikaji bhobho. Hunagwene abhawilaga abhanhu giki, “tulaga lijigogo wigwe jilaga jalyo.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwikala na nhungwa ja wiza bho gujitila bhukengeji bhuli jene ijo bhalihaya gujiita, haho bhatali ugujandwa, kugiki bhadule gujidebha ija wiza na gujitumamila chiza, umutumami bho milimo yabho, umuwikaji bhobho.

Yohana 3:31.

Mathayo 4:1-11.

Luka 4:1-13.

Yeremia 1:19.

Ayubu 14:7-8.

KISWAHILI: PIGA GOGO USIKIE MLIO WAKE.

Chanzo cha msemo huo huangalia upigaji wa gogo unaofanywa na watu kwa lengo la kufahamu uimara wake. Gogo hilo, ni mti unaokatwa ukaanguka chini au uliokauka ambao huweza kutumika kama kuni au kujengea, kulingana na uimala wake. Mtu akitaka kukata kuni hulipiga gogo hilo kwa kutumia shoka ili aweze kufahamu kama halijaoza au limeoza. Gogo hilo likitoa sauti au mlio ataelewa kuwa linafaa kwa kujengea kutokana na uimara wa mlio wake, endapo halitatoa mlio maana yake limeoza, lafaa kutumika kama kuni ya kupikia kwake mtu huyo. Ndiyo maana watu husema kwamba, “piga gogo usikie mlio wake.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule aliyekomaa ambaye hufanya kazi zake kwa kuzifanyia utafiti mzuri kwanza ndipo anazitekeleza, katika maisha yake. Mtu huyo, hataki kuyumbishwa hovyo na yeyote asiyekuwa na tabia njema, kwa sababu ya kukifanyia utafiti kila kile anachotaka kukifanya kabla ya kuanza kukitekeleza, maishani mwake. Yeye hufanikia katika kuilea vyema familia yake, mpaga wanapata mali za kuweza kuwasaidia vizuri wanafamilia hao, kwa sababu ya uimara wake huo, katika maisha yake.

Mtu huyo, hufanana na wale waliolipiga gogo wakaulewa ugumu wake, kwa sababu naye hukifanyia utafiti kila kile anachotaka kukifanya kabla ya kuanza kukitekeleza, maishani mwake. Yeye huwafundisha pia watu wake namna ya kukifanyia utafiti chochote wanachotaka kifanya, kabla ya kuanza kukitekeleza, maishani mwao. Ndiyo maana huwaambia watu hao kwamba, “piga gogo usikie mlio wake.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuishi katika maadili mema kwa kukifanyia utafiti kila kile wanachotaka kukifanya kabla ya kukianza, ili waweze kukielewa kile kilicho chema na kukitekeleza, maishani mwao.

Yohana 3:31.

Mathayo 4:1-11.

Luka 4:1-13.

Yeremia 1:19.

Ayubu 14:7-8.

ENGLISH: STRIKE A LOG TO HEAR ITS SOUND.

The origin of the above saying looks at the striking of a log with an aim of knowing its durability. This log is a fallen tree that has fallen to the ground and can be used as firewood or a building, depending on its size. When a person wants to cut wood, he hits the log with an ax so that he can determine if it is fit for building or for fire wood if it is rotten. If this log makes a sound he will understand that it is good for building due to the strength of its sound, if it does not give the sound it means it is rotten, it should be used as fire wood for cooking food. That is why people say that, “strike a log to hear its sound.”

This saying is compared to the mature man who does his work by doing good research first and then implementing it, in his life. Such person does not want to be shaken by anyone who does not have good manners, because he researches everything he wants to do before beginning to do it, in his life. He succeeds well in raising his family to the point of getting enough resources to better support the family members, because of his resilience in his life.

This person resembles those who hit the log for knowing the strength of the wood, because he also researches everything which he wants to do before doing it, in his life. He also teaches his fellows on how to do research for whatever they want, before starting to do it, in their lives. That is why he tells the people that, “Strike a log to hear to its sound.”

This saying instills in people an idea on how to live in good morals by researching everything which they want to do before starting it, so that they can understand what is good and implement it, in their lives.

John 3:31

Matthew 4: 1-11

Luke 4: 1-13

Jeremiah 1:19

Job 14: 7-8.

hammer iron

tree-250224__480

tree-14340__480

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.