1004. JIGUGUMALA MUKAYA

Imbuki ya kahayile kenako ingilile kutujimi uto tuli mukaya ya ng’wa munhu uyo wikalaga muchalo jilebhe. Aliyo munhu uyo ali na kaya yakwe umu chalo jinijo. Aliyo lulu, umukaya yakwe yiniyo, jalihoyi ng’hung’uni, nhundwa, ngino na mbu. Ijilumi jinijo, jamanaga junhuma bhuli makanza unhunhu ng’wunuyo. Nose mpaga wandwa gugeha umili gokwe bho gukonda. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “jigugumala mukaya.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agikalaga na miganikio gabhubhi, umu nholo yakwe. Amiganiko genayo gagang’wenhelejaga gubhawilaga mihayo ya bhubhi abhanhu abho agikalaga nabho aha kaya yakwe yiniyo. Agoyi gagaikenagulaga ikaya yakwe kunguno ya gung’heleja gwiduma na bhanhu bhakwe bhenabho mpaga bhampela aha kaya yakwe yiniyo.

Amiganiko agabhubhi genayo, gagikolaga nu tujilumi uto tonumaga umunhu uyo oli nakaya yakwe mpaga ukonda, kunguno nago gagaibalasanya ikayaya yakwe umunhu ng’wunuyo. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “jigugumala mukaya.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kuleka gwikala na miganiko gabhabhi umu ng’holo jabho, kugiki bhadule gwikala bho mholele na bhanhu umukaya jabho, umuwikaji bhobho.

Zaburi 34:13-14.

Mithali 15:4-5.

Yohane 1:23.

Marko 1:3-5.

Mithali 17:20.

KISWAHILI: WATAKUMALIZA NDANI YA NYUMBA.

Chanzo cha msemo huo, ni uwepo wa wadudu waliokuwa ndani ya nyumba ya mtu mmoja aliyeishi katika kijiji fulani. Alikuwepo mtu mmoja aliyekuwa na mji wake kwenye kijiji hicho. Lakini basi, ndani ya nyumba yake mtu huyo, walikuwepo kunguni, kupe, funza na mbu. Wadudu hao, walikuwa wakumuuma mtu huyo kila wakati. Mwishowe alipungua mwili wake kwa kukonda. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “watakumaliza ndani ya nyumba.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufikiria mawazo maovu, katika moyo wake. Mawazo hayo, humpelekea mtu huyo, kuwaambia maneno mabaya watu anaoishi nao kwenye familia yake. Mawazo hayo, huisambalatisha familia yake, kwa sababu ya kumsababisha kukosana na watu wake mpaka wanafikia hatua ya kumuacha peke yake kwenye familia yake hiyo.

Mawazo hayo maovu, hufananishwa na wale wadudu waliomuuma yule mtu aliyekuwa na familia mpaga mwishowe agakonda, kwa sababu nayo yaliisambalatisha familia yake, mtu aliyekuwa nayo mawazo hayo maovu. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “watakumaliza ndani ya nyumba.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuacha kukaa na mawazo maovu ndani ya mioyo yao, ili waweze kuishi kwa amani na watu kwenye familia zao, maishani mwao.

Zaburi 34:13-14.

Mithali 15:4-5.

Yohane 1:23.

Marko 1:3-5.

Mithali 17:20.

ENGLISH: THEY WILL FINISH YOU INSIDE THE HOUSE.

The origin of the above saying is the presence of insects in the house of a man who lived in a certain village. Such man had his own family in the village. But then, inside his house, there were bedbugs, ticks, worms, and mosquitoes. Those insects were biting him all the time. Eventually he lost weight because of being bitten by them. That is why people told him that, “They will finish you inside the house.”

This saying is compared to the person who thinks evil thoughts, in his heart. These thoughts, in turn, lead such person to say evil things about the people who live with him in his family. These thoughts, in turn, shatter his family, causing him to quarrel with his people until they reach the point of leaving him alone in his family.

These evil thoughts are likened to the insects that bit the man who eventually lost his weight, because he also destroyed his family by thinking those evil thoughts. That is why people told him that, “they will finish you inside the house.”

This saying imparts in people an idea on how to stop living with evil thoughts in their hearts, so that they can live peacefully with others in their families in the daily lives.

Psalm 34: 13-14.

Proverbs 15: 4-5.

John 1:23.

Mark 1: 3-5.

Proverbs 17:20.

 

 

tick-2371827__480

2 comments

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.