43. Wabudulilwa Ngabhuji

Collected by: Don Sybertz, Scanned by: Cephas Yao Agbemenu

With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)

1. Bhudugu bhukabhulagwa na nyama ya kudaswa. Bhalilya nyama kihamo namhala adugije kundasa, kung’ongeja nyama. Kwidasa nimo gwa bhose, nulu nyama adugije kundasa ngw’iye lulilumeng’ho lwa kwitogwa.

2. Ng’ombe yucha ha bhuzenganwa, bhitambulila, tubhinhe bhazenganwa nyama bhakazuge bhalye. Hukudaswa, lumeng’ho lwa kwitogwa, kutuma bhaha kaya bhabhatwalile bhazenganwa nyama.

Bhadugu bhaha kaya iyo yadasagwa, bhigwa giki bhadasagwa aliyo bhalema kubhinha bhalihaya giki tadasagwa kado itigelile bhise duhu tutudula kung’winha.

Bhinga ho bhasayaga, bhudugu ki wakutugopa nyama, lyacha na libhudugu. Bhudugu bhukabhulagwa na nyama ya kudaswa.

• Kuganganikwa kwinhwa nyama ningi.
• Kujimva kwinhwa nyama ndo ngabhuji njimbani.

Kiswahili: Umeoneshwa Matako Na Mgawaji

1. Undugu huwa unauliwa na nyama ya kuongezewa. Hali hiyo ilitokea wakati wakiwa wanakula. Mzee pamoja na wazee wenzake anaweza kumuongeza nyama mmoja wapo, akiwa anagawa. Kuongezana nyama ni kazi ya wote, mmoja anaweza kumuongezea nyama mwenzake kama ishara ya upendo.

2. Alikufa ng’ombe kwa jirani, watu hao walielezana, “tuwape majirani nyama wakapike wale.” Kuongezeana ni ishara ya kupendana, “tutume watu wa nyumbani wawapelekee majirani nyama.”

Wana ndugu wa familia ile iliyoongezewa nyama, walijisikia kwamba wameongezewa nyama kidogo, hali hiyo ilipelekea kwa wao kukataa kuwapa wakisema kwamba, tumeongezewa nyama kidogo, haipendezi waje, hatutaweza kuwapa.

Wanaondoka pale wakiwa wamekasirika, wakisema, undugu gani wametupunja nyama, umekufa undugu huo. Undugu huuliwa na nyama ya kuongezwa.

  • Kulazimishwa kupewa nyama nyingi.
  • Kunyimwa kupewa nyama ndogo, mgawaji ni mnyimani.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.