33. Namhala na Bhana bhakwe Bhabhili (Mzee na wanaye wawili)

Collected by: Don Sybertz, Scanned by: Cephas Yao Agbemenu

With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)

Namhala umo uyo wali ha ng’wakwe gihamo na bhana bhabhili bhose bhatolile na bhangi bhadobhado. Igingila nzala nhale gete musi yene.

Lushiku lumo namhala ung’wila nke, natule ng’ombe jose nachale kunada, ulunupandika hela nagagule shiliwa jingi gete. Nkima wakwe ung’wila, “Alugutula abhayanda?” Namhala ulema “Naguchala nu nene duhu.”

Huna utula jose ugajijinja, naguja si ja kule adashogile kaya mpaga miaka itandatu, go mpungati nzala yingila nhale gete. Nang’hwe ubhiza na makoye wiza kung’wakwe.

Nawandya guchobha gashokele. Ubhuka wegela na wibhuja nite kinehe ing’wane iganisumbile? Iki nagabhingija ng`ombe jose ha nzala ihaha bhapona giko.

Uliga mu malale, usoleleja mitumba mingi gete na mapembe ga ng’holo ugasombela makala na nang’hago chuma na ng’hinda. Aho wegela bhumona izile, ngikullu ubhawila bhana bhakwe nadizumona munhu ogusung’wana inadisumaga ilali.

Namhala aho oshiga adanyombije munhu ushiga hanyango witunda na gusimba ichongo usola ipembe ulifugila utimba na guhaya giki, “Uyo uhaya giki nagamala shikolo, nagujimila, hasi!
Ngikulu ogoha gucha ubhawila bhana nsung’wanagi unamhala wangu, miligo yakwe yuchalwa mkaya, nagwinhwa minzi ga goga.

Kiswahili: Mzee Na Watoto Wake Wawili

Mzee mmoja aliyekuwa na familia pamoja na watoto wake wawili ambao wote walikuwa wameoa na wengine walikuwa bado wadogo. Iliingia njaa kubwa kabisa katika nchi ile.girl-2980722__340

Siku moja mzee alimwambia mke wake, “niswage ng’ombe wote nipeleke mnadani, ili nikipata pesa nikanunue chakula kingi kabisa.” Mke wake alimwambia, “kwa nini wasiswage wavulana?” Mzee alikataa, “Nitapeleka mimi tu.”

Ndipo akaswaga ng’ombe wote, kwenda kuwauza na kwenda nchi za mbali. Hakurudi nyumbani mpaka miaka sita, ule wa saba njaa iliingia kubwa kabisa. Naye akawa na taabu akaamua kurudi nyumbani kwake.

Ndipo akaanza kutafuta namna ya kuweza kurudi. Akaanza safari akakaribia na kujiuliza, “nifanye nini ili familia yangu ikanipokee? Kwa vile niliwaondolea ng’ombe wote wakati wa njaa, na sasa wamepata vyakula vingi hivyo!!

Akapita mashambani, akaokoteza vibuyu vingi kabisa na mapembe ya kondoo akayawekea mikaa na mazindiko akiwa na vyuma na njuga. Alipokaribia wakamuona akiwa anakuja, mama aliwaambia watoto wake, “nisimuone mtu wa kumpokea ndipo tumekaa mbali naye moja kwa moja. Uhemeaji gani huo wa moja kwa moja!”

Mzee alipofika hakumsemesha mtu. Alifika mlangoni akachuchumaa na kuchimba shimo akachukua pembe akalifukia na kupiga kwa ngumi akisema hivi, “Yule atakayesema kwamba nilimaliza mali, nakupotea, chini!”

Mama akaogopa kufa akawaambia watoto wake, “mpokeeni mzee haraka.” Mizigo yake ikapelekwa ndani, na akapewa maji ya kuoga.

warrior-man

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.