32. Gunda na Ng’wana Dulye

Collected by: Don Sybertz, Scanned by: Cephas Yao Agbemenu

With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs, Sayings and stories)

Waliho mbehi umo lina lyakwe Gunda. Walina nke ng’wana Dulye, bhali bhatali kubyala. Mhindi bhazugaga bhugali bhalya lya lya, ngosha wang’wila nke, “Ng’wana Dulye tulekage lulu takindaga tukulya na ntondo.”

Aliyo ulu bhalala wabhuka ungosha wabhulya ubhugali washoka hangi kulala. Bhahayumisha dilu, Gunda wang’wila nke, “Ng’wana Dulye nalotaga bhugali wagalukaga wabhizaga iling’ho.” (ilongo).

Nkima nang’hwe uhaya giki, “Ukulagula Gunda.” (ukubhiza nfumu wa wakulota yubhiza chene, kiti bhalungu ntwe kulota ya kubhutongi).

Gunda akayita chene bhuli makanza kushika nose lushiku lumo bhujiku aho wabhuka kulya bhugali nkima nang’hwe usangwa ali miso, umona akulyaga bhugali, aliyo atanyombishije mhayo, kwike wikala alinago mu ng’holo.

Lushiku lungi bhujiku nkima nang’hwe ubhuka ulya bhugali. Gunda ali tulo wahayumisha Gunda uwilwa na nke, “Gunda nalotaga bhugali wagalukaga wabhizaga iling’ho.” Gunda lulu wandya kung’wila nke na bhusayi, “Mashiloti ga kwilondeleja na bhakima natagahayile, jaga ku ng’wing’we!”. Umpeja na kumpeja.

Kiswahili: Gunda Na Mtoto Wa Dulye

Alikuwepo jamaa mmoja jina lake Gunda. Alikuwa na mke wake jina lake Ng’wana Dulye (mtoto wa Dulye). Walikuwa hawajapata mtoto. Jioni walikuwa wakipika ugali na kula kidogo, mwanamume alimwambia mke wake, “Ng’wana Dulye tuache basi tumetosha tutakula na kesho.”

Lakini wanapolala mwanamume alikuwa akiamuka na kula ugali halafu anarudi kulala. Walipoamka asubuhi Gunda alimwambia mke wake, “Ng’wana Dulye nimeota ugali umegeuka na kuwa udongo.”

Mwanamke naye alisema kwamba, “Utatibu Gunda, maana yake, utakuwa mganga wa kuota na inakuwa hivyo, kama watu walioitwa walungu kichwa wa kuota matukio au mambo ya mbele.”

Gunda alikuwa akifanya hivyo wakati wote, mwishowe siku moja usiku alipoamka kwenda kula ugali, mwanamke alikuwa macho, alimuona akiwa anakula ugali, lakini hakumsemesha neno, bali akawa nalo moyoni mwake.

Siku nyingine mwanamke naye, aliamka akala ugali. Gunda alikuwa usingizini, alipoamka Gunda aliambiwa na mke wake, “Gunda nimeota ugali umegeuka na kuwa udongo.” Gunda alianza kumwambia mke wake kwa ukali, “Ndoto za kufuatiliziana na wanawake sizipendi, nenda nyumbani kwenu!” Akamfukuza.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.