29. Nkima Ngokolo

Collected by: Don Sybertz,   Scanned by: Cephas Yao Agbemenu

With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)

Kale waliho nkima umo akatolwa halikaya lina lyakwe witanagwa, ngolo. Aho wigashagasha kakanza, bhamayu bhamuchalo bhuyubhuja kinahe ung’winga ng’wenuyo atatumamaga bhuli? Angu asatile bhusatu ki? Alinilonda ha kugulu. Ngosha nang’hwe agakumya, ali bhuli nkima uyo nantolile ilonda lyakwe litapilaga?

Ulu bhanhu bhinga hakaya wayinja ngoso wazuga walya. Wamanita cheniko shiku ningi nose ngosha uhaya nanoje ilonda lyakwe nang’ogeje, ung’wila lelo nalikogeja ilonda lyako, kunu nkima alilema, yaya kunogeja nguno isatu no.

Ngosha uhaya nakugogeja duhu nulu wa nguzu, bhuli wanikwa lupembe lwa mhuli nayi? Nkima uding’wa na guzu ogejiwe ilonda. Ngosha aho wanzuja ng’wenda ukumya yee, gashinaga iti ilonda igoso duhu.

Nkima uyu natola ngokolo, gete atina milimo. Nkima wakwitungila ngoso ha kugulu, nanshoshe ku ng`wawe. Aho washika, uhaya, nang’wenhela ng´wana wing’we gashinaga ngokolo kumilimo. Yubhi kaya yucha na gucha.

Kiswahili: Mwanamke Mvivu

Hapo zamani mwanamke mmoja aliolewa kwenye familia moja, jina lake, aliitwa Ngolo. Alipokaa mda,   wa mama wa kijijini hapo wakaanza kuuliza, “vipi mkaa mwana huyo hafanyi kazi?” Eti anaumwa ugonjwa gani? Anadonda ndugu.” Mwanaume naye alishangaa, “Kwa nini mwanamke yule niliyemuoa haponi donda lake?”

Kama watu wakiondoka nyumbani alikuwa akiiondoa panya aliyoiweka nguuni, anapika na kula. Alikuwa akifanya hivyo kwa siku nyingi, mwishowe, mwanaume akasema, “nimwangalizie kidonda chake, nimuoshee, akwamwambia, “Leo nakuoshea kidonda chako.” Yule mwanamke alikataa, “Hapana, kunioshea kwa sababu linauma mno.”

Mwanamume alisema, “Nakuogesha tu hata kwa nguvu.” Mwanamke akauliza, “Kwa nini, kwani umenilipia mahari Pembo ya ndovu?” Mwanamke akashikwa kwa nguvu akasafishiwa kidonda.  Mwanaume alipomtolea nguo alishangaa, “Yee kumbe siyo kidonda ni panya tu.”

“Mwanamke huyu niliyeoa ni mvivu, hana kazi kabisa. Mwanamke wa kujifungia panya mguuni! nimrudishe nyumbani kwao.” Alipofika, alisema, “Nimemleta mwana wenu, kumbe ni mvivu kazini.” Ikawa mji umevunjika wakaachana.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.