Collected by: Don Sybertz, Scanned by: Cephas Yao Agbith special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)
Sayayi akabhona nzabibu gwa wiza gulandilile ha ndugu, guli na matwajo ga wiza no, ugikindikila ulebhaho. Ugikindikila hangi na nguzu, aliyo walatudula kuyidima.
Bhuli lwikindiko lwakwe lose walebhaho ha wikindiki wa mbele bhado. Mizabibu yali isundelile ha ndugu, yali ya wiza hangi I hile. Aliyo sayayi uduma kuyipandika. Aho wamana gete gete atujipandika uhaya giki, natajitogilwe nijo mbisi.”
Kiswahili: Hadithi: Sungura Na Mzabibu
Sungura aliona mzabibu mzuri umetaambaa kwenye ukuta, una mazao mazuri mno, alirukia akapelea kuzifikia. Aliruka tena kwa nguvu zaidi, lakini hakuweza kuzifikia.
Kila rukio lake alipelea kufika pale alipofikia mwanzoni. Mizabibu ilikuwa imeegemea kwenye ukuta, ilikuwa mizuri mno na tena ilikuwa imeiva. Lakini sungura alishindwa kuifikia. Alipofahamu kweli kwamba hatazifikia alisema, “sizipendi hizi mpichi.”
ENGLISH: STORY: RABBIT AND THE VINEYARD
The rabbit saw a good vine spreading on the wall, having a very good crop. It jumped on it but without reaching them. It flew again with more force, but he could not reach them.
Each one of its jumping could not reach the previous destination when such rabbit arrived at the beginning. The vines had leaned on the wall, they were very good and they were again ripe. But the rabbit failed to reach them. When it realized the truth that it would not reach them, it said, “I do not like these unripen ones.