28. Nzala Iganwaga Ungokolo (Njaa Humshambulia Mvivu)

Collected by: Don Sybertz,   Scanned by: Cephas Yao Agbemenu

With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)

Jaliho jijiji jimo wikalaga namhala Manyenye, uyo alatogilwe gete kubhasayila abhiye na kubhalembagula abhangi ilikanza lya malima aho lyashika. Umanyenye usamila ng’wipolu kihamo na nke na bhana bhabho. Ubhiza munhu waguja akuguchobhaga bhuki.

Abhamuchalo bhiye aho bhandya gu kuminga ishiliwa, uManyenye ni kaya yakwe bhakabhukaga kunu bhabhuchaga jisabho ja bhuki na guja aliyeja bhuli hene. Aguja alikabhanya mandege, bhusiga, mahalage na mbika jose sha shiliwa.

Iza yigela ng’waka gumo imbula igatula gete umuchalo jenijo. Manyenye uduma uguja ng`wipolu ugujuchobha ubhuki. Pye nu bhuki ubho owapa ing’wakizo bhulibhoshila gete.

Achobhe nzila yingi iyakumpandikila shiliwa kunguno ikaya yakwe yalina nzala gete. Agajibhilinga ijisabho jakwe na gujokaja minzi ayo gasanjinje bhuki bhugehu. Ijisabho ijidatu ujileka jiti naki.

Una wandya kujiyeja ijisabho jenijo. Bhuli makanza ijisabho jenijo ja yoganyaga uli jayitulanya. Kungulu, kungulu, kungulu. Iyombo yeniyo ikamanwa wangu wangu na bhazenganwa bhiye giki nu namhala Manyenye na bhusuluja bhokwe bho bhuki.

Ulu shiku lwene akaja mpaga ha ng`wakwe nkima uyo akakabha jisabho jimo na bhubhele ahikanza obhusola ubhubhele, umanyenye winga wangu wangu, uja na milimo yakwe angu unkima ng’wenuyo akije kumana.

Kungulu, kungulu, jisabho jitulanyaga nu manyenye ukaja kukolobhela. Manyenye aho obhutwala ubhubhele, unke na bhana bhakwe bhunsung`wanha na bhuyegi.

Unkima ng’wenuyo uyo okabha ubhubhele akandya kulila ungoshi aho ofuma ku ngunda akibhakila gete. Aho omona unke alilila umuja, “Ulililila ki nke wane?” Unjinja wa bhuki wanikelelaga, aho gunijingija bhuki ubho bhuditilile minzi, gashi minzi duhu. Unene nung’winha bhubhele.”

Dumanile uManyenye alina masala noyi agatumilaga pye inzila ja gupandikila jiliwa. Lindaga intondo ulu alize akunibhona, ungoshi agayomba na bhupelanu. Gitumo kali akajile kakwe, intondo yaho idilu ijisabho jigendeleya ugwitulanya, gungulu, gungulu, aho oshika aho kaya ya nkima ng’wenuyo uyo ong’winha bhubhele iyigolo uManyenye wandya kuyomba, mayu ulimhola kwinga igolo? Ginehe ulijihaya ijisabho jingi ilelo uninhe ubhubhele?

Nadahayile gete. Nibhuli iyigolo oninhile jisabho iji jili na minzi bhuli jiti na bhuki? Ulinomolomo gete ubhebhe, ungoshi wane wanidukile no. Aliyo ilelo nenhaga jisabho ijojilina bhuki. Lindaga tamu naje nakang`witane ungoshi wane. Alihali ungoshi wako? Ali kungunda.

Manyenye akelelwa giki ungoshi ulu wiza akulibhona ilikaji. Akingila ng’wibhelele udaha ubhubhele upela ajile. Gashi unkima nu ngoshi aho bhashika aha kaya bhadansangile. Bhusanga duhu ihasi bhubhele widagukaga.

Aho bhaja ung’wibhelele, bhumana giki bhodahagwa. Ungoshi agakolwa no, wandya kunchobha uManyenye. Akandya kupela alifata amagulu gakwe umo wabhitilaga umanyenye. Aho wang’wegla wigwa yombo ya jisabho jakwe ijo jitulanyaga “Gungulu, gungulu, gungulu” akongeja gukaja. UManyenye atabhizile na mhola giki alilondejiwa.  UManyenye akicha ugutula unigo gokwe.

Kiswahili: Njaa Humshambulia Mvivu

Kulikuwepo kijiji kimoja alichokuwa akikaa mzee Manyenye, aliyekuwa anapenda kabisa kulaumu wenzake na kuwadanganya wengine wakati wa kilimo ukifika.

Manyenye alihamia porini pamoja na mke na watoto wao. Akawa mtu wa kwenda akitafuta asali.

Walipoanza kukusanya vyakula wale wenzake wa kijijini, Manyenye na familia yake wakawa wakitembea huku wakiwa wamebeba kibuyu cha asali na kwenda kila sehemu. Alienda akibadilisha mahindi, mtama, mahalage, na aina zingine za vyakula.

Mwaka fulani mvua ilinyesha sana katika kijiji hicho. Manyenye alishindwa kwenda porini kutafuta asali. Hata ile asali aliyoilina mwaka uliopita ilikuwa imeisha yote kabisa.

Ilimbidi atafute njia nyingine ya kuipatia familia yake chakula kwa sababu ilikuwa na njaa kweli. Alivikusanya vibuyu vyake na kuviwekea maji ambayo yalikuwa yamechanganywa na asali kidogo. Vibuyu vitatu aliviacha tupu.

Ndipo akaanza kuvitembeza vibuyu hivyo. Kila wakati vibuyu hivyo vilikuwa vinapiga kelele vinapoanza kugongana. “Gungulu, gungulu, gungulu.” Kelele hiyo ilijulikana haraka sana kwa majirani wenzake kwamba, “Ni mzee Manyenye na biashara ya uuzaji wa asali yake.

Siku ile alienda kwa mwanamke mmoja aliyebadilisha kibuyu kimoja na uwele. Yeye aliondoka kwa haraka haraka na kutokomea ili asitambuliwe na mama wa nyumbani huyo.

“Gungulu, gungulu,” vibuyu vikiwa vinagongona hutoa sauti hiyo. Manyenye aliharakisha kutokomea na watoto wa nyumbani kwake. Alitoweka kabisa kwa furaha.

Mwanamke huyo aliyebadilishana uwele akaanza kulia. Mume wake alipotoka shambani alishtuka kweli. Alipomuona mke wake analia alimuuliza, “Unalilia nini mke wangu?” Alijibu, “Muuzaji wa asali amenifanyia ujanja, aliponiuzia asali iliyochanganywa na maji, kumbe ni maji tu. Mimi nimempa uwele.”

 “Tunamfahamu Manyenye ana akili sana, hutumia njia zote za kujipatia chakula. Subiri kesho atakapokuja ataniona.” Alisema mume wake kwa hasira.  Kama ilivyokuwa destuli yake, kesho yake asubuhi vibuyu viliendelea kugongana, “gungulu, gungulu,” alipofika nyumbani kwa yule mwanamke aliyempa uwele jana, Manyenye alianza kuongea, “mama hujambo kutoka jana? Vipi unataka kibuyu kingine leo unipe uwele?”

“Sitaki kabisa. Kwa nini jana ulinipa kibuyu kilicho changanywa na maji ambacho hakikuwa na asali?” Ni muongo kweli wewe, mume wangu amenifokea mno.”  Alisema yule mama.

“Lakini leo nimeleta kibuyu kilicho na asali.” “Subiri kwanza niende nikamwite mume wangu.”  “Yuko wapi mume wako?”  “Yuko shambani.”

Manyenye akaelewa kwamba, mume wake akija, ataliona lililo kali.  Aliingia kwenye ghala akachota uwele akakimbia kwenda. Kumbe mwanamke na mume wake walipofika nyumbani hawakumkuta. Walikuta chini uwele umemwagika tu.

Walipoenda kwenye ghala, walifahamu kwamba, uwele umechotwa. Mume wake alikasilika mno. Akaanza kumtafuta Manyenye. Akaanza kukimbia akifuata nyayo zake alimopitia Manyenye.

Alipomkaribia, alisikia kelele ya vibuyu vyake vinavyogongana, “gungulu, gungulu, gungulu” aliongeza mwendo. Manyenye hakuwa na habali kwamba anafuatiwa.  Alishusha akauweka mzigo wake.

ENGLISH: HUNGRY ATTACKS A LAZY ONE

There was one village where an old man called Manyenye lived, who was very inclined to blame his fellows and to deceive others during the farming season.vintage honey

Manyenye moved to the forest with his wife and their children. He became a traveler looking for honey.

When his fellow village mates started to collect local foodstuffs, Manyenye and his family were walking along with the honey callabh carrying and going every part. He went with it in exchange for maize, millet, beans, and other types of foods.

One year the rain rained in the village. Manyenye failed to go to the wild for seeking honey. Even the honey which he harvested last year was completely over.

He had to find another way to feed his family because it was really hungry. He collected his callabashes and put in water them that had been mixed with a little honey. He left three calabashes empty.

He then began to walk going aroung the village with them. Every time these callabashes were shouting when they started corriding. “Gungulu, gungulu, gungulu.” The voice was so quickly known to his neighbors that, “It is an old man Manyenye and his marketing business of selling honey.”

On that day he went to a woman who exchanged one calabash with sorghum. He left quickly and disappeared so that he could not be recognized by the homewife.

“Gungulu, gungulu,” the calabashes sounded while corriding. Manyenye quickly hurried off with his children at home. He completely disappeared himself with joy.

The woman who exchanged sorghum began to weep. When her husband came out of the field he was really scared. When he saw her weeping, he asked her, “What are you crying for my wife?” She replied, “The honey seller has made me a trick, when he sold me honey mixed with water, or it was just water. I have given him a sorghum.”

“We know Manyenye is very intelligent, he uses all the means to get food. Wait for tomorrow when he comes to see me.” said her husband in anger. As it was his custom, on the next day morning the callabashes continued to wrestle, “gungulu, gungulu,” when he came to the house of the woman who gave him sorghum yesterday, Manyenye began to talk, “Mother are you fine from yesterday? How do you want another callabash today that you should give me sorghum?”

“I do not really want. Why did you give me a callabash that was mixed with water that did not have honey? You are a real liar, my husband has spoken furiously against me.” Said that mother.

“But today I have brought a callabash that has honey.” “Wait for me first let me go to call my husband.” “Where is your husband?” “He is in the field.”

Manyenye understood that when her husband comes, he will see it harsh. He went into the warehouse, pulled sorghum and ran away. But when a woman and her husband came home they did not find him. They found sorghum down that have just been dropped.

When they went to the warehousing, they knew that, sorghum were taken up. Her husband was very angry. He began to search for Manyenye. He began to run following his footsteps where Manyenye passed.

When he approached him, he heard the noise of his calabashes corriding, “gungulu, gungulu, gungulu” added the motion. Manyenye had no knowledge that he was followed. He put down his consignment.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.