8. Nyanda na Kagikulu (Mimbi Itale)

Collected by: Don Sybertz,   Scanned by: Cephas Yao Agbemenu

With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)

Walaliho nyanda. Nyanda ng’wenuyo wajaga kujuhoya na kagikulu. Lushiku lumo uwilwa giki, “Ng’wana wane nakutume uje ha ng’wa Mhimbi itale ukanenhele bhugota, ulu ukanenhela wize nakwinhe ijisabho jane ujitole.

Nyanda ng`wenuyo uzunya uja mpaga ha ng’wa Mhimbi itale aha wegela ubhuja, ng’wa Mhimbi itale hali? Bhuhaya giki, washikaga (nahenaha washikaga ng’wana wane.) na ukansombolela u Mhimbi itale, mayu natumilwe bhugota.

Mhimbi itale ung’winha matolo ikumi, na wandya kugapundula. Akaditila ng’hale aha wamala ukugaditila uwilwa giki, ng’wana wane linhaga kukano kunguno nali na bhanhu bhakizaga henaha makanza ga mhindi, ulu bhumala kulya bhakalalaga haho na haho. Ulu bhulala bhalina kajitulo ka kubula mafuji ulu bhandya kubula. Ikaga lulu usole ulitina ilimo unkila gwalyo nalyo likubulaga mafuji kwike.

Na usola amatolo gakwe ayo ikumi, huna ushoka kukaya, aho wela lumisha uloma munhu lwenulo ilimo lyukugayiwa unkila’ gwalyo na lwandya kunkubhija unyanda ng’wenuyo lukwimbaga giki, “Sega isega, ng’wana wa mayu, isega. Watibhilile libhugota ng’wa mhimbi itale, Sega isega.”

Nose lumpandika ama munhu genayo gikolile mashinu. Aha lompandika ulinha mulinti nalo lulipindya ilinti lyenilo lunindila. Ukaponeja amatolo aya matano huna lwandya kulya ing’hale ijali mumatolo genayo. Aha lolya huna lulala tulo lwandya hangi ukubula, aho loyubula huna wika wandya lugendo, mamunhu genayo aho gamisha gungayiwa gandya hangi kunkubhija.

Aha lyagwa ilimi gumpandika lwa kabhili. Ni hangi chene ulinha mulinti na ugaponeja hangi amatolo aya tano kulya ing`hale. Aha gamala gulya gandya hangi ulogo ulogubula mafuji.

Huna wika wandya lugendo kuja kaya, aha gamisha gungayiwa huna lulu gushoka kukaya gung’wa Mhimbi itale. Giko unyanda akatinda. Ushika kugagikulu ako kalikantuma bhugota. Kunumbilija, wabheja ng’wanone. Igashaga wifule, ntondo tukwilaga. Bhohayangaluka huna winhwa unyanda ijisabho ujitola.

Jalija wiza no, huna uja kaya kung’wawe ukashikila mukamaji kakwe, ‘aliyo abhahang`wawe bhali bhadantogagwa kulwa kuzunya kutola jisabho kunguno wali wabhawila giki, winhwe jisabho na kagikulu ajitole. Hiohene lulu bhamonagabhuchilu chilu abhayanda bhiye bhizaga kunoja nke wakwe bhasanga lijisabho bhabyeda.

Ikala uweyi walamanile mujisabho jenijo alimo nkima ng’hana, mkunguno bhujiku wafumaga mo. Nose ung`wila unke uyo walimujisabho giki, nalibhona soni hambu hambu nalipembe moto ilijisabho bhayugusanga.

Unke ulema uhaya giki shili shizwalo shane, nose unkunga walalaga tulo nhaleubhuka ulisola ulipemba moto ilijisabho jufuma mo bhulishizwalo jakwe.

Wahayumisha uligayiwa ilijisabho, huna witunga ishizwalo shakwe. Unyandauja kubhalumbuye kujubhawila bhize bhangishe nkwela wabho, aha bhiza bhusanga nkima wawiza no, aha bhamala kungisha bhuja kung’wila sabho na nina wabho.

Gashinaga umbati alina nkima wawiza gete, na ubhuka unina wa nyandaukujungisha ng’winga wakwe, aha bhamala kwigisha ung’winga akafuma kujungisha unkwiye. Namhala akabhi na bhuyegi bhutale no, gashinaga ng’wana mwane ulingosha ng`hana na namhala ng`wenuyo wita mashuda (mashula) witana bhanhu bha munzengo bhunyegela ng’wana wakwe.

KISWAHILI: MVULANA NA BIBI KIZEE (MIMBI ITALE)

Alikuwepo mvulana ambaye alienda kuongea na bibi kizee.  Siku moja aliambiwa kwamba, “mtoto wangu nikutume uende kwa mtengeneza jabali ukaniletee dawa, ukiniletea nitakupa kibuyu changu ukioe.

Mvulana huyo alikubali akaenda mpaka kwa mtengeneza jabali alipokaribia aliuliza, “kwa mtengeneza jabali ni wapi?” Wakasema kwamba, “umefika (ni hapa umefika mtoto wangu.) na akamsimulia mtengeneza jabali, “mama nimetumwa dawa.”

Mtengeneza jabali alimwambia “Vibuyu kumi,” ndipo akaanza kuyatoboa. Akatia dawa alipomaliza kuyatia, aliambiwa hivi, “mtoto wangu panda kwenye dari kwa sababu nina watu wanaokuja hapa nyakati za jioni, wakimaliza kula huwa wanalala hapo hapo.” Wakilala wanakituko cha kujamba. Wakianza kujamba shuka basi uchukue ulikate moja mkia wake nalo litakuwa likijamba tu.”

Akachukua vibuyu vyake vile kumi. Ndipo akarudi nyumbani. Kulipokucha, yakaamka majamaa hayo mmoja wao akaukosa mkia wake na yakaanza kumfuata mvulana huyo yakiimba hivi, “Cheka ucheke mtoto wa mama, ucheke. Umetuibia dawa kwa mtengeneza jabali, cheka ucheke.”

Mwishowe yakampata mamtu hayo yanayofanana na majitu. Yalipompata alipanda mtini nayo yalizunguka mti huo yakimsubiri. Aliyatupia vibuyu vile vitano yakaanza kula ile dawa kali (ing’hale) iliyokuwemo kwenye vibuyu hivyo. Yalipokula ndipo yakalala usingizi yakaanza tena kujamba. Yalipoanza kujamba, alishuka akaanza safari. Mamtu hayo yalipoamka yalimkosa yakaanza tena kumfuata.

Jua lilipochweya yalimpata kwa mara ya pili. Tena vile vile alipanda mtini na akayatupia tena vibuyu vile vitano yakala dawa kali (ing’hale). Yalipomaliza kula yakaanza tena yalivyozoea kujamba.

Ndipo akashuka na kuanza safari ya kwenda nyumbani. Yalipoamka yalimkosa ndipo basi yakarudi nyumbani kwa mtengeneza jabali. Hivyo mvulana akashinda. Akafika kwa bibi kizee kalikomtuma dawa. Kakamshukuru, asante mtoto wangu. Kaa upumzike, kesho tutaagana. Kulipokucha ndipo alipewa mvulana kibuyu akakioa.

Kilikuwa kizuri mno. Ndipo akaenda nyumbani kwake akafikia kwenye chumba chake, lakini wale wa nyumbani kwake walikuwa hawampendi kwa kukubali kwake kuoa kibuyu, kwa sababu alikuwa ameambiwa hivyo, kwamba, apewe kibuyu na bibi kizee akioe. Katika hali hiyo, walikuwa wakimuona kama mtu wa hasira hasira, wavulana wenzake walikuja kumuangalizia mke wake wakakuta kivuyu, wakazarau.

Lakini yeye alikuwa anafahamu kuwa, ndani ya kibuyu hicho, kuna mwanamke kweli, kwa sababu usiku alikuwa akitoka humo. Mwishowe alimwambia mke wake huyo aliyekuwa kwenye kibuyu hivi, “Naona aibu, afadhali nilichome moto likibuyu, wawe wanakukuta na kukuona.

Mke wake alikataa, akisema, kwamba, “ni vazi langu. Mwishowe akamvizia akiwa amelala usingizi mzito akaamka akakichukua kile kibuyu, akakichoma moto, akatoka humo kila vazi lake.

Alipoamka akakikosa kile kibuyu, ndipo akajifunga mavazi yake. Mvulana akaenda kwa dada zake kuwaambia waje wamsalimie wifi yao. Walipokuja walimkuta mwanamke mzuri mno. Walipomaliza kumsalimu walienda kumwambia, baba yao na mama yao.

“Kumbe fulani ana mwanamke mzuri kabisa,” na mama wa mvulana akaenda kumsalimu mkaa mwana wake. Mzee akawa na furaha kubwa mno. “Kumbe mtoto wangu ni mwanaume kweli,” na mzee huyo alifanya sherehe akaita watu wa kijijini hapo akamfurahia mtoto wake.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s