7. Kalagu ya Nkuluye Olung`wando

Collected by: Don Sybertz,   Scanned by: Cephas Yao Agbemenu

With special thanks to Rev Joe Healey (African proverbs,Sayings and stories)

Likigela likanza limo unkuluye wa Lung’wando akanemba nkuluye mbiti kushisha nkuluye wa mbiti unoga. Akiganika giti agugamala amamihayo genayo. Huna lulu akiganika gete, kushisha ulipandika isala. Akansanga unkuluye wa lung’wando akazunya guja kujuyela hadololo kihamo nang’hwe.

Nkuluye lung’wando akazunya, akinga bhakafata nzila ya kuja kungunda. Aha bhegela nkuluye mbiti uhaya, ulu amanile ahogali amajibabayu amasoga gete. Na nkuluye lung`wando akazunya ukuja kwenuko.

Aho bhashika nkuluye ombiti akang’wila unkuluye olung’wando, alinhe umulinti lya jibabayi ayobhe amajibabayu, akiganika, ulu alalinhe huna lulu ahikanza lya kwika namanile akwika sagala sagala. Nalikanza linilo na kundima na kunya.

Nkuluye lung’wando akalinha mulinti aliyo ilisala lyakwe lyashilaga kung`olekeja umo aliganikila unkuluye mbiti. Akiganika gete apandike nzila ya kupilila. Huna lulu agalinha mlinti lya majibabayu. wandya ugugatona. Ugwandya ogaponejaga haho hasi gatobhagukaga gete, uhaya nkuluye ombiti, nalibhona ulu nalamane nugaponeja hanaha gagucha gete, hambu hambu nagaponeje kakule hado aho galiho maswa gagugwa chiza no. Huna lulu akakaponeja ka kule hado na nkuluye ombiti akakakubhija ahipande uko gagwilaga. Nkuluye lung’wando akika wangu wangu kulwande lya kabhili lya linti akaja kabala hadololo. Huna lulu akapandika ikanza lya kuyomba, Nkuluye mbiti, nizuka jigano jisoga gete”. Nkuluye mbiti uyomba, nahene niganilage. Nkuluye Lung’wando akahaya,

Noni nhale ikimbaga

Noni ndoo ikimbaga

Nzuki inhale ikasumaga

Nzuki indoo ikalumaga

Munhu ndoo akalamulaga

Aliyo nduhu umhayo

Bhutoshije bhugotaki

Ipundu muntwe?

Huna lulu nkuluye mbiti akiganika hangi gugab`ab`a untwe na kwiganika.

Hanuma uyomba ulu atujibadija imbuki yaho. Nkuluye lung’wando uyomba, nzugu nkuluye mbiti, nikubhijage na nuguwila duhu imbuki yaho.

Aliyo ijigano jeniji jihayile munhu ang`we bhuki bhudoo tame, apandike isala lya kujibadija. Unene namanile uko bhuli ubhuki ubhusoga.

Huna lulu nkuluye mbiti adubhuhayaga ubhuki wenubo aliyo alihaya anfumbulile imihayo yeniyo.

Agankubhija kushika mpaga ushika hipande Iya mhembo ningi ja bhuki.

Nkuluye lung’wando akahodisha bhuli mhembo nose uyibhona imo yinabhuki wingi gete, ung’witana nkuluye mbiti ung’wila, “Nzugu ikuluye, unene nakugugonda hadoo upandike kutula ntwe gwako na kulamba ubhuki ahobhulizwila”. Huna lulu ugugundyamya, nu nkuluye mbiti akegeleja ntwe, nkuluye olung’wando akagwinamika gete mpaga gwikila hantwe go nkuluye mbiti. Nang’hwe uduma ukufunya hangi imhembo yulemela kuntwe. Aho Wabhona giki untwe golemela mo, nkuluye mbiti wandya kwidamukadamuka.

Ulila akakoyakoya, akalomba, akikumbilija huna lulu aho obhona oding`wa gete, nkuluye lung’wando akinga agusekasekaga gete. Akafata nzila yakwe ya kuja kaya.

Imo nzila bhutung’wana nuse o mbiti bhakigisha, use ombiti ubhuja, bhebhe nkuluye lung’wando, omonaga ung’wizukulu wane ung’wipolu‘? Nkuluye lung’wando ushosha, ng’hana aliho kwenuko, digushagano nang’hwe na bhuyegi bhutale, niyo diganilaga na majigano, ni haha ung’wizukulu oko aliho uko numa aligema ugujishosha ijigano. Hamo ubhebhe bhabha ukudula ukushifumbula, namhala ombiti ushosha, nahene jiganage. Nu nkuluye olung’wando ugana;

Noni nhale ikimbaga,

Noni ndoo ikimbaga,

Nzuki inhale ikasumaga,

Nzuki indoo ikalumaga,

Munhu ndoo akahadikaga,

Nahene nduhu mhayo, igelelile bhugota ki.

Namhala wa mbiti akanunhya itumbati hadoo, akiganika aliyo atajidebhile imbuki ya jigano ulung’wando nose wandya kuseka na kwimba.

Ipembo lya nzuki,

Likenhaga bhudaki,

Hayile bhugota,

Ukuntwe ya ipundu.

Ise ombiti akiganika kushisha akandya kushimana imbuki ya shigano akadahya unkuluye lung`wando, udima nzila ya kuja ng`wipolu kujunchobha ung’wizukulu okwe.

Niyo hangi waliati na nguno ya kukobha gete kulwa yombo nhale iyo akiyita unkuluye ombiti. Nose umona unamhala ombiti, akiganika hamo ung’wizukulu wane odimagwa alibha mabhuki ga mamunhu.

Agasola ilanha agantule gete, na lushiku Iwenulo bhakigwa bhanhu bhingi giki unkuluye mbiti odimagwa alibha mabhuki ga bhanhu, aganilwa no.

KISWAHILI: KITENDAWILI CHA KAKA YAKE NA SUNGURA

Kulikuwa na wakati fulani kaka yake na Sungura alimdanganya kaka yake fisi mpaka kufikia kwa fisi kuchoka. Alifikiri kama kwamba atayamaliza maneno hayo. Ndipo alifikiri kweli, mpaka akapata akili. Alimkuta kaka yake na Sungura akakubali kwenda kutembea kidogo pamoja naye.

Kaka yake na Sungura alikubali, akaondoka wakafuata njia ya kwenda mashambani. Walipokaribia kaka yake na fisi alisema, kama anafahamu yalipo mapapai mazuri kabisa. Kaka yake na Sungura alikubali kwenda huko.

Walipofika kaka yake na fisi alimwambia kaka yake na Sungura, apande kwenye mti wa mapapai achume mapapai, alifikiri, kwamba akipanda wakati wa kushuka alifahamu kuwa angeshuka hovyo hovyo. “Wakati huo nitamshika na kumla.”

Kaka yake na Sungura alipanda kwenye mti lakini wakati huo akili yake ikawa imemuonesha wazi anavyofikiri kaka yake na fisi. Alifikiri kweli namna ya kupata njia ya kuponea.

Ndipo basi alipanda mti wa mapapai. Akaanza kuyachuma. Mwanzoni alikuwa akiyatupia pale chini yanapasuka na kusambaa kabisa, akasema kaka yake na fisi, “naona nikiendelea kuyatupia hapo yatapasuka kabisa, afadhali niyatupie kwa mbali kidogo kwenye majani yataanguka vizuri mno.”

Ndipo basi akaanza kuyatupia kwa mbali kidogo na kaka yake na fisi akayafuata kule yalikoangukia. Kaka yake na Sungura alishuka haraka haraka kwa upande wa pili wa mti akaenda sehemu kidogo.

Ndipo akapata nafasi ya kuongea, kaka yake na fisi, “ninakumbuka hadithi nzuri kabisa.” Kaka yake na fisi akasema, “sawa nihadithie.” Kaka yake na Sungura akasema,

Ndege mkubwa huimba

Ndege mdogo huimba

Nyuki mkubwa huuma

Nyuki mdogo huuma

Mtu mdogo huamua

Lakini hakuna neno

Hutosha dawa gani

Tundu kichwani?

Ndipo basi kaka yake na fisi alifikiri hadi kichwa kikawasha kwa sababu ya kufikiri. Mwishowe alisema kwamba kama hataipatia maana yake atakuwa ameshindwa. Kaka yake na Sungura alisema, “njoo kaka yake na fisi, nifuate nitakueleza chanzo chake.

Lakini hadithi hii hutaka mtu anywe asali kidogo kwanza, apate akili ya kuipatia. Mimi najua iliko asali iliyo nzuri.

Ndipo basi kaka yake na fisi akawa haitaki hiyo asali lakini anataka amfahamishe maana ya maneno hayo. Alimfuata mpaka kufika kwenye sehemu yenye mapango mengi ya asali.

Kaka yake na Sungura alibisha hodi kwenye kila pango, mwishowe aliliona pango lenye asali nyingi kabisa. Alimwita kaka yake na fisi akamwambia, “Njoo kaka yake, mimi nitakukunja kidogo upate kuweka kichwa chako kwenye sehemu ya kukuwezesha kulamba asali inapotokea.”

Ndipo basi akainamisha kichwa, na kaka yake na fisi akasogeza kichwa, kaka yake na Sungura aliinamisha kabisa kichwa mpaka kikatelemkia kwenye kichwa cha kaka yake na Fisi. Naye akashindwa kutoa tena pango likakatalia kwenye kichwa. Alipoona kwamba, kichwa kimekatalia humo, kaka yake na fisi alianza kuruka kuruka.

Alilia akahangaika, akiomba, na kubembeleza ndipo basi alipoona kwamba ameshikwa kabisa, kaka yake na Sungura aliondoka akicheka cheka kabisa. Akafuata njia yake ya kurudi nyumbani.

Mle njiani walikutana na baba yake na fisi wakasalimiana, baba yake na fisi aliuliza, “wewe kaka yake na Sungura, umemuona mjukuu wangu porini?”

Kaka yake na Sungura alijibu, “kweli yupo huko, tumecheza mno naye tukiwa na furaha kubwa, tena tumehadithiana na hadithi, na sasa mjukuu wako yuko kule nyuma akijaribu kuijibu hadithi. Labla wewe baba utaweza kuifumbua.” Mzee wa fisi aliribu, sawa nihadithie. Na kaka yake na Sungura alihadithia:

Ndege mkubwa huimba

Ndege mdogo huimba

Nyuki mkubwa huuma

Nyuki mdogo huuma

Mtu mdogo huamua

Lakini hakuna neno

Hutosha dawa gani

Tundu kichwani?

Mzee wa fisi alinusa tumbaku kidogo, alifikiri lakini hakuifahamu maana ya hadithi. Mwishowe Sungura alianza kucheka na kuimba.

Pango la nyuki,

Huleta hasira,

Hutaka dawa,

Kichwani mwa tundu.

Baba yake na fisi, alifikiri mpaka kufikia akaanza kukifahamu chanzo cha hadithi hiyo. Aliaga, kaka yake na Sungura, alishika njia ya kurudi porini kumtafuta mjukuu wake.

Tena hakuwa na sababu ya kutafuta kabisa kwa sababu kelele kubwa ilisikika aliyoifahanya kaka yake na fisi. Mwishowe alimuona mzee wa fisi, alifikiri labla mjukuu wake ameshikwa akiwa anaiba asali za watu.

Alichukua fimbo kubwa kabisa, na siku hiyo walisikia watu wengi kwamba kaka yake na fisi ameshikwa akiibwa asali ya watu, alizomewa mno.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s