Olihoyi munhu uyo wigejaga mbazu jakwe umuchalo jilebhe. Imbazu jinijo jali ndododo noyi guti maluli ga gubhegeja mabhelele. Amaluli genayo gagasumagwa bho ngito kunguno ya gutulila jiliwa. Hunagwene umunhu ng’wunuyo, bhagang’wilaga abhanhu giki “welela mbazu giti ilimba liluli.”
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo adagudililaga chiza umili gokwe umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agagulekanijaga umili gokwe bho nduhu uguguchala ukubhugota ulu alisata, na nduhu gulya chiza uluotubhaga, kunguno ya guleka gugudilila chiza umili gokwe gunuyo umuwikaji bhokwe bhunubho. Uweyi agakondaga noyi kunguno ya guleka gugudilila chiza umili gokwe gunuyo, umukikalile kakwe kenako.
Umunhu ung’wunuyo, agikolaga nuyo wigejaga mbazu guti liluli lya gusumila libhelele, kunguno nuweyi agagulekanijiga umili gokwe mpaga okonda umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “welela mbazu giti ilimba liluli.”
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho guyidilila chiza imimili yabho bho gulya chiza na guyichala kubhugota ulu bhalisata, kugiki bhadule gwikala na bhuyeji umukaya jabho jinijo.
Mwanzo 14:3.
Zaburi 109:24.
Kumbukumbu la Torati 32:24.
KISWAHILI: MBAVU ZIMEELEA KAMA FITO ZA KIHENGE.
Alikuwepo mtu mbaye mbazu zake zilionekana wazi. Mbavu hizo zilikuwa ndogo ndogo kama fito za kutengenezea kihenge cha kuwekea chakula. Fito hiyo ni nyembamba sana. Ndiyo maana watu walimwambia mtu huyo kwamba, “mbavu zimeelea kama fito za kihenge.”
Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye haujali mwili wake katika maisha yake. Mtu huyo, huutelekeza mwili wake kwa kutoenda kutibiwa anapoumwa, na kutokula vizuri anapoisikia njaa, kwa sababu ya kutokuujali mwili huo maishani mwake. Yeye hukonda sana kwa sababu ya kutokuujali vizuri mwili huo katika maisha yake hayo.
Mtu huyo, hufanana na yule ambaye mbavu zake zilionekana wazi, kwa sababu naye amekonda mpaka mbavu zinaonekana wazi, maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “mbavu zimeelea kama fito za kihenge.”
Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuijali vizuri miili yao kwa kuipeleka kutibiwa hospitalini wanapoumwa, na kula vizuri wanapojisikia njaa, ili waweze kuishi kwa furaha, katika familia zao hizo.
Mwanzo 14:3.
Zaburi 109:24.
Kumbukumbu la Torati 32:24.
ENGLISH: THE RIBS ARE FLOATING LIKE THE STEEL OF A FOOD PLATE.
There was a man whose ribs were clearly visible because he was very thin. His ribs looked like the thin metal rods used to shape a food plate. They stood out sharply under his skin. Because of this, people said to him, “The ribs are floating like the steel of a food plate.”
This saying is compared to a person who does not take care of his body in his life. Such a person neglects himself. He does not go for treatment when he is sick, and he does not eat properly when he is hungry. Because of this neglect, he becomes very thin, and his ribs begin to show clearly.
That person is like the man whose ribs were visible. His body shows the results of his carelessness. Therefore, people say to him, “The ribs are floating like the steel of a food plate.”
This saying teaches an important lesson: a person must take good care of his body. When someone is sick, he should seek treatment. When he is hungry, he should eat properly. By caring for the body, a person can remain healthy and live happily with his family.
The teaching of this saying can be connected with verses such as Genesis 14:3, Psalm 109:24, and Deuteronomy 32:24, which remind people about physical weakness and the importance of well-being in life.














