sayings

1217. UOLISO LIBHI ADIKIBHUKAGWA NUOWILU ADIKIBHUKAGWA.

Imbuki ya kahayile kenako ihoyelile higulya ya kikalile ka ng’wa munhu uyo alina liso libhi nuo owilu. Umunhu ng’winuyo, agabhalolaga abhanhu bho liso lya bhudaki golecha giki adabhatogilwe umugati ya nholo yakwe yiniyo, kunguno ya gugayiwa lilange lya gwitogwa chiza na bhiye, umuwikaji bhokwe. Uweyi agitaga chene bho nduhu nulu gucha soni, umukikalile kakwe kunguno ya guleka gubhatogwa bhiye chiniko.

Giko lulu, nuyo agikilaga na wilu, agakolagwa umugati ya nholo yakwe ulu bhatandika ya wiza abhiye, kunguno ya gugayiwa lilange lya gubhatogwa bhiye umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ouliso libhi adikibhukagwa nuowilu adikibhukagwa.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo atogilwe gwito miito ga bhubhi gubhitilila miso gakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agitaga yabhubhi bho nduhu nulu gucha soni kunguno omanila chine, umuwikaji bhokwe. Uweyi agidumaga na bhanhu bhingi umuchalo jakwe kunguno ya gwita yabhubhi yiniyo niyo agabhizaga alemile nulu guwilwa na munhu ose ose, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuoliso libhi, kunguno nuweyi agitaga yabhubhi gubhitila miso gakwe bho nduhu nulu gucha soni, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “ouliso libhi adikibhukagwa nuowilu adikibhukagwa.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kuleka mijilo ya gwita miito ga bhubhi umuwikaji bhobho, kugiki bhadule gujilela bho gwikala chiza, ikaya jabho, umuchalo jabho.

Mathayo 6:22-23.

Mathayo 5:29-30.

Wagalatia 5:16-26.

Mwanzo 30:1.

Ayubu 5:2.

Yakobo 3:16.

KISWAHILI: MWENYE JICHO OVU HAONI HAYA NA MWENYE WIVU HAONI HAYA.

Chanzo cha msemo huo huongelea juu ya maisha ya mtu aliyekuwa na jicho ovu na wivu. Mtu huyo, alikuwa akiwaangalia watu kwa jicho la hasira kuonesha kwamba hawapendi watu hao ndani ya moyo wake, kwa sababu ya kukosa malezi yenye upendo kwa wenzake hao. Yeye alifanya hivyo bila hata ya kuona aibu, katika maisha yake kwa sababu ya kukosa upendo kwa wenzake hao.

Hivyo basi na mwenye wivu, naye hukasilika ndani ya moyo wake wanapofanikiwa wenzake, kwa sababu ya kukosa malezi yenye upendo kwa wenzake hao, maishani mwake. Ndiyo maana watu husema kwamba, “mwenye jicho ovu haoni haya na mwenye wivu haoni haya.”

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hupenda kutenda maovu kupitia macho yake, katika maisha yake. Mtu huyo, hutenda maovu hayo bila hata ya kuona haya kwa sababu ya kuzoea kwake hivyo, katika maisha yake. Yeye hukosana na watu wengi kijijini mwake kwa sababu ya matendo yake hayo maovu, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyekuwa na jicho ovu kwa wenzake, kwa sababu naye hutenda maovu kupitia macho yake na hata bila ya kuona haya, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “mwenye jicho ovu haoni haya na mwenye wivu haoni haya.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuacha kutenda matendo maovu katika maisha yao, ili waweze kuzilea vizuri familia zao, maishani mwao.

Mathayo 6:22-23.

Mathayo 5:29-30.

Wagalatia 5:16-26.

Mwanzo 30:1.

Ayubu 5:2.

Yakobo 3:16.

ENGLISH: ONE WHO HAS AN EVIL EYE IS NOT ASHAMED AND ONE WHO IS JEALOUS IS NOT ASHAMED.

This saying talks about a life of a person who had an evil eye and a jealous one. This person looks at people with an angry eye to show that he/she does not like them, because of a lack of loving upbringing in life. He/she does it without even being ashamed in life.

So he/she is jealous to the point of resenting it in his/her heart when others are successful, because of such lack of loving upbringing that can allow him/her to take care for others in life. That is why people say that, “one who has an evil eye is not ashamed and one who is jealous is not ashamed.”

This saying is equated to a person who likes to do evil through his eyes, in his life. Such person commits these evils without even feeling ashamed because of his habit of doing so, in his life. He is at odds with many people in his village because of his evil actions in life.

This person is similar to the one who had an evil eye on his/her colleagues, because he also does evil through his eyes and even without being ashamed in his life. That is why people tell him that, “one who has an evil eye is not ashamed and one who is jealous is not ashamed.”

This saying teaches people on how to stop doing evil deeds in their lives, so that they can raise their families well, in their societies.

Matthew 6:22-23.

Matthew 5:29-30.

Galatians 5:16-26.

Genesis 30:1.

Job 5:2.

James 3:16.

girl-8788755_1280

 

 

 

1216. NHUNGULU NJOBHA IGAPEJAGA MANANA GAYO.

Imbuki ya kahayile kenako ilolile nhungulu. Inhungulu iniyo ili nonii iyo igapelelaga bho gulala ulu yapyeniwagwa na ng’wichaloyo kugiki idule gwipija guminyiwa nulu gubhulagwa. Iyoyi igagatumilaga amanana gayo genayo bho gwiyinja mumakoye gaguminyiwa nulu gubhulagwa. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki “nhungulu njobha igapejaga manana gayo.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agagatumilaga amasala gakwe bho gwiyinja umumakoye, umuwikaji bhokwe. Munhu ng’wunuyo, agagatumalaga amasala gakwe genayo bho gubhalumanya chiza abhanhu bhakwe kunguno atogilwe gwikala bho mholele na bhiye, umuchalo jakwe. Uweyi agayilangaga lilange lya gwikala chiza na bhanhu ikaya yakwe, kunguno ya wikaji bho ubhowiza bhunubho, umuchalo jakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni nhungulu iyo igipijaga gwinga mumakoye bho gugapeja amanana gayo, kunguno nuweyi agagatumilaga amasala gakwe bho gwikala chiza na bhiye umuchalo jakwe jinijo. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “nhungulu njobha igapejaga manana gayo.”

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya kuleka gwikenya bho gugatumila chiza amasala gabho gwikala na bhanhu, kugiki bhadule gwikala bho mholele na bhichabho, umukaya jabho.

Mathayo 26:51-52.

Mathayo 2:13-15.

KISWAHILI: KUNGULU MWOGA HURUKA KWA MBAWA ZAKE.

Chanzo cha msemo huo, huangalia kungulu. Kungulu huyo ni ndege ambaye huruka kwa mbawa zake anapozidiwa na mwenzake katika ugonvi ili kujiokoa kutoka kwenye hatari ya kuumizwa au kuuliwa na mwenzako huo. Yeye huzitumia mbawa zake hizo kwa kujiondoa kwenye matatizo ya kuumizwa au kuuliwa. Ndiyo maana watu husema kwamba, “kungulu mwoga huruka kwa mbawa zake.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hutumia akili zake kwa kujiokoa kutoka katika hatari ya kuumizwa au kupoteza maisha yake, katika maisha yake. Mtu huyo, huzitumila vizuri akili zake hizo kwa kuwaunganisha watu wake vizuri kwa sababu ya kupenda watu waishi vizuri na kwa amani, katika maisha  yake. Yeye huwalea vyema watu walioko kwenye familia yake kwa sababu ya malezi yake mema aliyo nayo, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na yule kungulu aliyetumia mbawa zake katika kujiondoa kutoka matatizo ya kuumizwa au kuuliwa, kwa sababu naye hutumia akili zake kwa kuishi vizuri na wenzake maishani mwake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “kungulu mwoga huruka kwa mbawa zake.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuacha kugombana kwa kuzitumia akili zao vizuri ili waweze kuishi kwa amani na wenzao, katika familia zao.

Mathayo 26:51-52.

Mathayo 2:13-15.

ENGLISH: A COWARD CROW FLIES WITH ITS WINGS.

This saying looks at a crow. The crow is a bird that flies with its wings when it is overwhelmed by its partner in a fight to save itself from a danger of being hurt or killed by that partner. It uses its wings to get out of a trouble of being hurt or killed. That is why people say that, “a coward crow flies with its wings.”

This saying is equated to a person who uses his mind to save himself from a risk of being hurt or losing his life, in his life. Such person uses his intelligence well to connect his people because he loves them enough to live well and peacefully in his life. He takes good care of the people in his family because of a good upbringing which he has in his life.

This person is similar to the crow which used its wings to escape from problems of being hurt or killed, because he also uses his intelligence for living well with his companions in life. That is why people tell him that, “a coward crow flies with its wings.”

This saying teaches people on how to stop fighting by using their minds well so that they can live in peace with their societal members in their families.

Matthew 26:51-52.

Matthew 2:13-15.

raven-1347374_1280

1215. GULYA GUNONU GULIMAJIDIMU.

Imbuki ya kahayile kenako, ihoyelile higulya ya gulwa jiliwa go ng’wa munhu nnebhe. Ugujilya ijiliwa jinijo ili jinogu noyi kunguno bhulihoyi bhohoji bho chiza chiza niyo unii agikalaga wigashije duhu. Aliyo lulu, ugujilima ijiliwa jinijo guni nimo ndimu niyo gogunoja gete.

Oliyohi munhu uyo ojilyaga duhu ijiliwa ijo bhajitumamila abhiye, aliyo ugujilima uweyi ogabhonaga jidimu, kunguno ya guduma gwiyumilija gutumama milimo, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wila giki, “gulya gunonu gulima jidimu.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alingokolo ugutumama imilimo yakwe, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agikalaga wigashije duhu bho ndugu ugutumama imilimo nulu lyashikagaga ilikanza ilya gulima kunguno ya bhugokolo bhokwe bhunubho, umuwikaji bhokwe. Uweyi agajimalaga gujilya ijikolo jakwe mpaga oyulala nzala akaya yakwe yiniyo, kunguno ya bhugokolo bhokwe bhunubho, umukikalile kakwe kenako.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nuyo ojilyaga ijiliwa ja bhiye alugujilima nduhu, kunguno nuweyi agajilyaga ijikolo ja bhiye bho nduhu ugutumama imilima aha kaya yakwe, mpaga nose oyulala nzala, umuwikaji bhokwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “gulya gunonu gulima jidimu.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gwiyumilija gutumama milimo yabho bho wigulambija bhutale umuwkikaji bhobho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi umukaya jabho jinijo.

Mithali 12:27.

Mithali 19:15.

KISWAHILI: KULA KUTAMU KULIMA VIGUMU.

Chanzo cha msemo huo, huongelea juu ya kula chakula kwa mtu fulani. Kula chakula ni kutamu sana kwa sababu ya radha nzuri anayoipata mlaji huyo tena hata akiwa amekaa tu. Lakini kukilima chakula hicho ni vigumu kwa sababu kunahitaji uvumilivu wa kupigwa jua na kutoka jabho jingi mpaga anachoka sana mkulima huyo.

Alikuwepo mtu katika kijiji fulani aliyependa kula chakula vizuri, lakini kukilima chakula hicho, aliona kuwa ni vigumu, kwa sababu ya kushindwa kufumilia kazi ngumu katika maisha yake. Ndiyo maana watu walimwambia kwamba, “kula kutamu kulima vigumu.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni mvivu wa kufanya kazi, katika maisha yake. Mtu huyo, hupendelea kukaa tu bila ya kufanya kazi hata wakati wa kulima, kwa sababu ya uvivu wake huo, maishani mwake. Yeye hukimalima kukila chakula walichokifanyia kazi wenzake, mpaga anafikia hatua ya kulala bila kula kwa sababu ya kukosa chakula kwenye familia yake hiyo.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyekula chakula walichokifanyia kazi wenzake bila yeye kukilima, kwa sababu naye hula mali za wenzake bila ya yeye kuzifanyia kazi, mpaga anafikia hatua ya kukosa chakula katika familia yake. Ndiyo maana watu humwambia kwambia, “kula kutamu kulima vigumu.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na uvumilivu wa kujibidisha kufanya kazi vizuri maishani mwao, ili waweze kupata mafaniko mengi zaidi katika familia zao.

Mithali 12:27.

Mithali 19:15.

ENGLISH: EATING IS SWEET TO CULTIVATE IS HARD.

The overhead saying talks about eating food of a certain person. Eating food is very tasty because of a good pleasure that the eater gets again even if he is just sitting. But growing that food is difficult because it requires patience to be exposed to the sun and from a lot of heat until the farmer gets very tired.

There was a man in a certain village who liked to eat good food, but to cultivate that food, he found it difficult, because of his inability to endure hard work in his life. That is why people told him that, “Eating is sweet to cultivate is hard.”

This saying is related to a person who is lazy to work, in his life. Such person prefers to sit idle even when during the farming time, because of his laziness, in his life. He finished to eat the food that his colleagues worked for, until he reaches the stage of sleeping without eating because of the lack of food in his family.

This person is similar to the one who ate the food that his colleagues worked for without him cultivating it, because he also eats the property of his colleagues without him working for it, until he reaches the point of not having food in his family. That is why people tell him that, “Eating is sweet to cultivate is hard.”

This saying imparts in people an idea of having strong patience enough to work hard in their lives, so that they can find more success in their families.

Proverbs 12:27.

Proverbs 19:15.

african-food-3957740_1280

1214. GUCHA GWIGUNANHA.

Imbuki ya kahayile kenako, iholelile higulya ya gucha go ng’wa munhu. Umunhu ulu ucha agagayiyagwa inguzu ja gwiyambilija weyi ng’winikili kunguno ya gugayiwa bhupanga. Uweyi agambilijiyagwa na bhanhu abha bhalimhola bho gumika na gubhahoyela abha bhachilagwa aha kaya yiniyo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki “gucha gwigunanha.”

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhagunanhaga abhanhu abha bhadidujije, umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo alinisungu lya gubhajika abhachi na gubhalombela kunguno ya bhutogwa bhokwe bhutale ukubhiye bhenabho, umuwikaji bhokwe. Uweyi agapandikaga mbango ja gwikala bho mholele chiza nabhiye aha kaya yakwe yiniyo, kunguno ya lisungu lyakwe linilo ukubhachi bha umuchalo jakwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nabho bhagabhambilijaga abhachi bho kubhabhika chiza, kunguno nuweyi agabhambilijaga abhachi bhenabho bho gubhalombela, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene agayombaga giki, “gucha gwigunanha.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na nisungu lya gubhabhiika na gubhalombela abhabhi, kugiki bhadule kupandika mbango ja gwikala bho mholele chiza na bhichabho, umukaya jabho.

Luka 23:50-53.

Waebrania 12:15-16.

Yeremia 31:15.

KISWAHILI: KUFA KUSAIDIANA.

Chanzo cha msemo huo, huongelea juu ya kufa kwa mtu. Mtu akifa hukosa uwezo wa kujitegemea yeye mwenyewe kwa sababu ya kutoweka kwa uhai wake. Yeye husaidiwa na watu waliowazima kwa kumzika na kuwafariji wale waliofiwa kwa kuongea nao kwenye familia hiyo. Ndiyo maana watu husema kwamba, “kufa kusaidiana.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwasaidia wale wasiojiweza, katika maisha yake. Mtu huyo, ana huruma ya kuwazika wafu na kuwaombea kwa sababu ya upendo wake ulivyo mkubwa kwa watu wake hao, maishani mwake. Yeye hupata Baraka za kuishi kwa amani katika familia yake, kwa sababu ya huruma yake hiyo, kwa wafu wa kwenye kijiji chake.

Mtu huyo, hufanana na yule aliyewasaidia wafu kwa kuwazika, kwa sababu naye huwasaidia wahitaji hao kwa kuwaombea, maishani mwake. Ndiyo maana husema kwamba, “kufa kusaidiana.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na huruma ya kuwazika na kuwaombea wafu wao ili waweze kupata Baraka za kuishi kwa amani na wenzao, katika familia zao.

Luka 23:50-53.

Waebrania 12:15-16.

Yeremia 31:15.

ENGLISH: DYING TO HELP EACH OTHER.

This saying talks about a death of a person. When a person dies, he loses an ability to depend on himself because of a disappearance of his life. He is helped by the living people by burying him and comforting the bereaved by talking to them in the family. That is why people say that, “dying to help each other.”

This saying is paralleled to a person who helps those who are helpless, in his life. Such person has compassion of burying the dead and praying for them because of his great love for his people. He gets blessings of living in peace in his family, because of his compassion for the dead in his village.

This person is similar to those who helped the dead by burying them, because he also helps the needy by praying for them, in his life. That is why they say that, “dying to help each other.”

This saying teaches people about having compassion for burying and praying for their dead so that they can get the blessings of living in peace with their people, in their families.

Luke 23:50-53.

Hebrews 12:15-16.

Jeremiah 31:15.

grave-1412362__480

1213. GWIWILA GULIHO UGWIYIGWA NDUHU.

Bhaliho bhanhu bha ha kaya ndebhe abho bhilomelaga higulya ya kutumama milimo yabho. Aliyo lulu, umuwilomeji bhobho bhunubho abhanhu bhenabho, bhalidiigwagwa chiza, kunguno ya gukija gwidegeleka chiza umumahoya gabho genayo. Abhoyi bhayoganyaga ulu bhaliyomba kunguno ya bhuli ng’wene guhaya adegelekwe wei duhu. Hunagwene bhagayomba giki, “gwiwila guliho ugwiyigwa nduhu.”

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kubhanhu abho bhagapangaga chiza imilimo ya gutumama aha kaya yabho, aliyo ugutimija nduhu. Abhanhu bhenabho bhagilomelaga higulya ya kutumama nimo nnebhe bhiyigwa chiza, aliyo lulu ulu lyushiga ilikanza lya gugumama unimo gunuyo, bhuli ng’wene agajaga kunimo gokwe duhu, umuwikaji bhobho. Abhoyi bhagadumaga kujibheja chiza ikaya jabho jinijo, kunguno ya kuleka uguitimija imilimo iyo bhagayipangaga guyitumama, aha kaya jabho jinijo.

Abhanhu bhenabho, bhagikolaga nabho bhahoyaga bhiigwa bho nduhu ugwidegeleka chiza, kunguno nabhoyi bhapangaga milimo yao bho mihayo aliyo uguitimiza nduhu aha kaya yabho yiniyo. Hunagwene bhagayombaga giki, “gwiwila guliho ugwiyigwa nduhu.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na ng’wigwano gogujilanija chiza, umubhupangi bho milimo yabho kihamo na guyitumama chiza, kugiki bhadule gujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Luka 11:23.

Luka 11:27-28.

Luka 15:9-10.

Marko 14:17-21.

Yohana 15:1-3.

KISWAHILI: KUAMBIANA KUPO KUELEWANA HAKUNA.

Walikuwepo watu kwenye familia fulani waliokuwa katika maongezi yao juu ya kufanya kazi zao. Lakini katika maongezi hayo watu hao walikuwa hawaelewani vizuri, kwa sababu ya kutosikilizana vizuri katika maongezi hayo. Wao walikuwa wakipiga kelele katika kuongea kwao kwa sababu ya kila mmoja wao kutaka asikilizwe yeye tu. Ndiyo maana walisema kwamba, “kuambiana kupo kuelewana hakuna.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa watu wanaopanga vizuri kazi za kufanya bila kuzitekeleza, kwenye familia yao. Watu hao huongea juu ya kufanya kazi fulani na kuelewana vizuri, lakini ukifika wakati wa kuifanya kazi hiyo, kila mmoja huenda kwenye kazi yake tu, maishani mwao. Wao hushindwa kuziendeleza vizuri familia zao hizo, kwa sababu ya kuacha kuzitekeleza kazi zao walizozipanga, katika familia zao hizo.

Watu hao, hufanana na wale waliopanga kufanya kazi zao vizuri, bila kuzitekeleza, kwa sababu nao hupanga kazi za kufanya vizuri bila kuzitimiza, kwenye familia zao hizo. Ndiyo maana wao husema kwamba, “kuambiana kupo kuelewana hakuna.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na uelewano wa kushirikiana vizuri katika kupanga kazi zao na kuzitekeleza kwa pamoja, ili waweze kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

Luka 11:23.

Luka 11:27-28.

Luka 15:9-10.

Marko 14:17-21.

Yohana 15:1-3.

ENGLISH: TALKING TO EACH OTHER WHERE THERE IS NO MUTUAL UNDERSTANDING.

There were people in a family who were talking about doing their jobs. But in their conversations, they did not understand each other well, because of not listening well to each other while talking. They were shouting in their speech because each of them wanted to be listened by others. That is why they said that, “talking to each other where there is no mutual understanding.”

This saying is related to people who plan well the tasks to be done without carrying them out, in their family. Those people talk about doing some works and get along well, but when a time of doing them comes, everyone just goes to his/her works, in their lives. They fail to develop their families well, because of stopping to carry out their planned tasks, in their lives.

Those people are similar to those who planned to do their jobs well, without carrying them out, because they also plan jobs to do well without fulfilling them, in their families. That is why they say that, “talking to each other where there is no mutual understanding.”

This saying teaches people about having an understanding that is good enough to cooperate well in planning their works and carrying them out together, so that they can develop their families well, in their lives.

Luke 11:23.

Luke 11:27-28.

Luke 15:9-10.

Mark 14:17-21.

John 15:1-3.

women-6886782_1280