Imbuki ya lusumo lunulo ilolile bhukuji bho ng’huni ubho bhudadulile ugulipundula ilihima. Ilihima linilo ligazwalilagwa kuntwe mpaka lyagugubija untwe gunulo. Ilyoi ligayigubijaga pye ning’huni iyo idadulila ugulipundula kunguno ligikalaga higulya ya ntwe gunuyo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “mumo igakulila ing’huni idulipundula ilihima.”
Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agabhizaga na nhinda ja gubhadalaha abhabyaji bhakwe ulu opandika jikolo, umukikalile kakwe. UMunhu ng’wunuyo, agabhitilaga nhinda abhabyaji bhakwe ja gubhabyedeleja ulu osabha kunguno ya nhinda jakwe jinijo, umuwikaji bhokwe. Uweyi agapandikaga izumo lya guduma uguibheja chiza ikaya yakwe kunguno ya nhinda jakwe jinijo, umukikalile kakwe.
Umunhu ng’wunuyo agikolaga ni ng’huni iyo igaduma ugulipundula ilihima kihamo nubhukuji bhoyo, kunguno nuweyi agigimbaga bhusabhi bho gubhadeleja abhabyaji bhakwe mpaga opandika izumo lya kuduma uguyibheja chiza ikaya yakwe, umuwikaji bhokwe bhunubho. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, “mumo igakulila ing’huni idulipundula ilihima.”
Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na widohya bho gubhakuja na gubhambilija chiza abhabyaji bhabho kugiki bhadule kupandika mbango ja kujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.
(Luka 14:11) “Kila mtu anayejitukuza atashushwa, naye ajinyenyekezae atatukuzwa.”
HATA KISOGO KIKUE HAKITATOBOA KOFIA.
Chanzo cha methali hiyo huangalia ukuaji wa kisogo usioweza kuitoboa kofia. Kofia hiyo ni kitu kinachovalia kichwani mpaka kinakifunika kichwa chote. Yenyewe hukifunika kisogo chote ambacho hakiwezi kuitoboa kofia hiyo. Ndiyo maana watu husema kwamba, “hata kisogo kikue hakitatoboa kofia.”
Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hupata kiburi cha kuwadharau wazazi wake anapotaka mali, katika maisha yake. Mtu huyo, huwaletea kiburi wazazi wake kwa kuanza kuwadharau anapopata mafanikio ya mali kwa sababu ya kiburi chake hicho, maishani mwake. Yeye hupata laana ya kushindwa kuiendeleza vizuri familia yake, kwa sababu ya kiburi chake hicho, katika maisha yake.
Mtu huyo hufanana na kile kisogo kilichoshindwa kuitoboa kofia pamoja na ukuaji wake huo, kwa sababu naye kupata maendeleo ya mali na kuanza kuwafanyia kiburi cha kuwadharau wazazi wake mpaga anapata laana ya kushindwa kuiendeleza vizuri familia yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, “hata kisogo kikue hakiwezi kuitoboa kofia.”
Methali hiyo, huwafundisha watu juu ya kuwa na unyenyekevu wa kuwaheshimu na kuwasaidia vizuri wazazi wao, ili waweze kupata baraka za kuzilea vyema familia zao, maishani mwao.
(Luka 14:11) “Kila mtu anayejitukuza atashushwa, naye ajinyenyekezae atatukuzwa.”
ENGLISH: EVEN IF THE BACK OF THE HEAD GROWS, IT WILL NOT PIERCE A HAT.
The source of this proverb comes from a image of a back of head as a person grows. No matter how much the back of the head grows, it cannot pierce a hat, because a hat is made to cover the whole head. The hat remains above the head and controls its shape. That is why people say, “even if the back of the head grows, it will not pierce a hat.”
This proverb is compared to a person who becomes wealthy and successful but then grows arrogant and begins to despise his parents. Instead of honoring those who raised him, he allows pride to control his heart. Though he may have money and influence, he cannot rise above the authority and blessing of his parents, just as the back of the head cannot break through a hat.
Because of his arrogance, such a person brings shame instead of honor. He may receive a curse rather than a blessing, leading to failure in properly building and sustaining his own family. His pride blocks his progress, just as the hat blocks the head from piercing through it.
This proverb therefore teaches humility. It reminds people to respect, honor, and support their parents, even after gaining wealth or status. By doing so, they receive blessings and succeed in raising their families well.
(Luke 14:11) — “Everyone who exalts himself will be humbled, but he who humbles himself will be exalted.”















