1189. UMUYAGWILAGA NAKAB’AGILE CHENE.

Imbuki ya kahayile kenako ilolile ndimu nhale guti mhuli. Imhuli yiniyo ulu yugwa, umoyugwila mugwibhaga guti numo yagwilaga duhu kunguno ya bhudito bhoyo bhunuyo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, “umuyagwilaga nakab’agile chene.”

Akahayile kenako, kagalengajiyagwa kuli munhu uyo agalamulaga mihayo mitale guti numo yigigelelaga, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agitaka bhukengeji bho guidebha chiza imihayo iyo igigelaga bho nduhu guyigalucha, kunguno ya bhutungilija bhokwe bhunubho, umubhutumami bhokwe. Uweyi agalamulaga mihayo chiza aha kaya yake kunguno ya witegeleja bhokwe ubho guchola bhunhana bhunubho, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nabho bhagayibhagila imhuli guti numo yaliyagwila, kunguno nuweyi agayilamulaga imihayo imitale guti numo igizilaga, umukikalile kakwe. Hunagwene agabhawilaga abhanhu giki, “umuyagwilaga na kab’agile chene.”

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na witegeleja bho guyilamula chiza imihayo imitale guti numo igigelelaga bho nduhu uguyigalucha, kugiki bhadule gujilanhana chiza, ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Matendo ya mitume 5:7-42.

Matendo ya mitume 6: 1-5.

Daniel 13: 1-64.

Matendo ya mitume 26: 24-32.

Yohana 8: 1-11.

KISWAHILI: ILIVYOANGUKA NA KUCHUNWA NI HIVYO.

Chanzo cha msemo huo, huangalia myama mkubwa kama Tembo. Tembo huyo, akianguka atachunwa hivyo kwa sababu ya uzito wake huo. Ndiyo maana watu husema kwamba, “ilivyoanguka na kuchunwa ni hivyo.”

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huamua jambo kubwa kwa haki kama lilivyotukia bila kulibadilisha, katika maisha yake. Mtu huyo, hufanya utafiti wa kumuwezesha kulielewa vizuri lilivyo tukia jambo hilo bila kuligeuza, kwa sababu ya uaminifu wake huo katika utumishi wake. Yeye huamua kwa haki mambo yanatokea katika familia yake, kwa sababu ya umakini wake huo wa kutafuta ukweli, maishani mwake.

Mtu huyo, hufanana na wale waliomchuna tembo kama alivyokuwa ameanguka, kwa sababu naye huyaamua mambo kwa haki kama yalivyotukia bila kuyageuza katika maisha yake. Ndiyo maana yeye huwaambia watu kwamba, “ilivyoanguka na kuchunwa ni hivyo.”

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuwawezesha kuamua mambo kwa haki kama yalivyotukia bila kuyageuza, ili waweze kuzilinza vizuri familia zao, maishani mwao.

Matendo ya mitume 5:7-42.

Matendo ya mitume 6: 1-5.

Daniel 13: 1-64.

Matendo ya mitume 26: 24-32.

Yohana 8: 1-11.

ENGLISH: HOW IT FELL AND SKINNING IS SO.

The source of this saying looks at big animals like Elephants. The elephant, if it falls, it will be skinned in that way because of its heavy weight. That is why people say that, “how it fell and skinning is so.”

This saying is equaled to a person who decides a big thing rightly as it happened without changing it, in his life. Such person does a good research to enable him understand well what happened without changing it, because of his loyalty in his service. He rightly decides what is happening in his family, because of his focus on finding the truth, in his life.

This person is similar to those who skinned an elephant as he had fallen, because he decides things justly as they happened without changing them in his life. That is why he tells people that, “how it fell and skinning is so.”

This saying teaches people about being focused in solving problems enough to enable them decide things rightly as they happened without changing them, so that they can protect their families well, in their lives.

Acts 5:7-42.

Acts 6:1-5.

Daniel 13: 1-64.

Acts 26: 24-32.

John 8: 1-11.

drought-1733889__480

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.